Ngome ya Siasa ya Mbunge wa Kyela (CCM) Dkt Harrison Mwakyembe imesambaratishwa vibaya na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya wapambe wake karibu wote kuangushwa kwenye uchaguzi...
kikao hiki muhimu kinchohusisha kumwaga lazi kwa mafisadi kama chanzo cha kuivuruga CCM ndo kinaendelea hapa bungeni Dodoma.
Wait for more information.
Date::11/4/2009Kujisafisha kwa Dk Hoseah kwasababisha kujipalia moto
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imesema hakuna azimio lolote katika taarifa yake...
Cabinet minister in conflict of interest
THIS DAY
Home Affairs Minister Lawrence Masha has been caught in a fresh conflict of interest row over the multi-million-dollar national identity cards...
Na Hawa Mathias, Mbeya
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka serikali mkoani Mbeya kufanya uwezekano wa kuhamisha gereza la Songwe na kulibomoa ili kuanza uchimbaji wa madini ya alminium ambayo...
Aziza Athuman na Minael Msuya
MSAJILI wa vyama vya siasa nchini , John Tendwa jana alisajili chama kipya cha siasa kinachojulikana kama Alliance for Tanzania Farmers Party (ATFP).
Chama hicho...
I have come to the conclusion that the main problem with our country is when it reaches the point where we actually have to do something. We are like an artist who can imagine the most beautiful...
Sote tunaelewa kuwa tangu mwanzo Hosea na TAKUKURU yake waliisafisha Richmond. Serikali nayo imekuwa inamshupalia kila anayehoji Richmond. Serikali iliweza hata kuficha kumbukumbu kuhusu Richmond...
Wabunge katika nchi zote wanatakiwa kuwa mfano kwa jamii wanayoingoza na hasa kwa vijana. Jamii inategema kuwa sheria na kanuni zinazotungwa na wabunge kwanza kabisa zinatakiwa ziheshimiwe na...
Sahara Sun 'to help power Europe'
Energy from the Sahara plants is expected to supply Europe by 2015
A sustainable energy initiative that will start with a huge solar project in the Sahara...
Wadau naomba mtu yeyote mwenye document za ukubwa wa vitongoji (wards) zetu anipatie au hata links.
Nahitaji za wilaya tatu za Dar ( Ilala, Kinondoni na Temeke) nimejaribu kwenye sensa ripoti...
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kupiga wimbo wa taifa katika kikao cha baraza la wawakilishi kijacho kutokana na marekebisho ya kanuni za baraza la wawakilishi zilizofanywa...
2009-11-02
Govt's IPTL pledge fails to materialise
Pedestrians work past the IPTL power plant in Dar es Salaam yesterday. The plant did not start producing power yesterday as promised by the...
Kamati ya Mwinyi yaonywa Dodoma Monday, 02 November 2009 07:47 *Yatakiwa isilenge kuziba midomo wabunge
*Wabunge waapa hatutaburuzwa na serikali
Na John Daniel, Dodoma
Majira
BAADHI ya...
Sasa apeleka suala lao kwa Mwanasheria Mkuu
Asema huko ndiko uamuzi dhidi yao utatolewa
Athibitisha vyuo walivyosoma havitambuliwi
Spika wa Bunge, Samuel Sitta, amesema suala la mawaziri...
leo tena majira ya saa sita na robo usiku mbunge wa RUANGWA mkoani LINDI MHE. SIGFRIDI N'GITU ameaga dunia katika hospitali ya moi kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu, mungu amlaze marehemu...
Chiligati Watanzania siyo mabwege!
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, John Chiligati amesema kitendo cha Rais Jakaya Kikwete, kutoa ardhi kwa wawekezaji si kuiuza nchi badala yake ni...
Jiji laanza kufaidi Mapato Kituo cha Mabasi Ubungo
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kazi ya kukusanya mapato katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo...
Ni katika sakata la Richmond
Kila mmoja apanga kujinasua
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI
HATMA ya Edward Lowassa kujinasua kwenye kashfa ya mkataba tata wa kampuni ya Richmond, ipo mikononi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.