Chukua Chako Mapema-Tanzania haina mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chukua Chako Mapema-Tanzania haina mwenyewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamasala, Nov 26, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimefikiria sana kuandika thread hii.Najiuliza kama sisi ni Watanzania Damu mbona hatutaki kuchukua hatua za EPA,BoT twin tower,Meremeta,Richmond,Dowans na ufisadi mwingine?Jeshi letu kujihusisha na Meremeta wa a big scandal.

  Tangu uhuru hatujawahi kuwa na mediocre cabinet kama hii.Ni comedy kwa kweli.How comes PM anasimama Bungeni na kuzungumzia kunengua kwenye taarab na kumtetea Mkapa kwamba sio fisadi.Kila mtu anajua kuwa ANBEN na Kiwira scandal?Kampuni hizi zilifunguliwa akiwa ikulu?Hata

  Bunge ,Serikali na Mahakama it seems ni kitu kimoja ,hakuna separation.
  Wanasheria wetu is a joke.Angalia akina Masha ,Mkono walivyojihusisha na ufisadi wa hali ya juu,kama wanasheria na wabunge pia.Huyu Masha ni waziri wa mambo ya ndani!

  Nafikiri ni Tanzania tu ambapo utapata wabunge na Cabinet wenye Phd fake.hata hawaoni aibu kabisa kujipatia Phd fake.Morality imeshuka kabisa.
  Wahindi wa Tanzania wamechangia kikubwa CCM.Kama Jitu Patel,Rostam na wengineo wangekuwa nchi nyingine tusingewasikia tena.Ukimuuliza Mganda yeyote kama Idd Amin alikuwa sahihi kuwachuck out,99.9 percent he was right.Awe M-Acholi,MLuo,Msoga,Mnyankore,Mtoro
  wanakubaliana na Amin hatuo hiyo.Ndio maana business Uganda inatawaliwa na mzawa.Tusipokubali kuwa Mhindi ni corrupt,basi sio wa Tanzania.

  May be Mwinyi,Mkapa na Kikwete sio watanzania damu.
  Najiuliza nani atakuja kusort out this country ?Wanafunzi wetu sehemu bado wanakaa chini,hospitali havina vitanda(Angalia Naomi Campbell alivyokuwa pale Temeke Hospital)

  Hela zetu za pato la taifa zinaishia South Afrika,Malaysia,Uarabuni na Canada(kutokana na mikataba ya madini).Bila kusahau Mzee Chenge na offshore account zake za deal ya Radar!

  Tunaona incompetence Tanesco!Nobody can stop this guy ,Dr Rashid.Analipwa fortune kuendesha Tanesco ambayo inashindwa kusupply umeme kwa 10 percent ya Watanzania.Tangu the late Salvatory Mosha,
  shirika hili ni ukabila,udini na incompetence.

  I cry for my beloved Tanzania.Nani atatuokoa?
   
Loading...