Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna topic ilikuwepo hapa jana ikieleza kuhusu chanzo cha Dowans na namna Richmond ilivyomezwa kiaina na Dowans. Iliweza kuonyesha pia kuwa Dowans ni kampuni hewa isiyo na ofisi wala viongozi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naam, leo mwenge wa uhuru unaomulika hadi nje ya mipaka yetu. Unaleta Upendo pale penye chuki na heshima pale penye dharau. Kidumu cham cha Mapinduzi na fikra za mwasisi wa taifa letu baba wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Leo watz wanakumbuka kifo cha baba wa Taifa Mwl Julius K. Nyerere.Butima ndiko kumbukumbuku zinafanyika kitaifa, viongozi mbalimbali wakitaifa wapo hapa, brudani za ngoma zinaendelea na wakati...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ninapotafakari mahali Zanzibar ilipo kwa sasa kimaendeleo; Najiuliza kama inasonga mbele au inasonga nyuma, au imedumaa? kati ya mambo machache, Kumbukumbu zinasema kuwa:- - Zanzinbar ilikuwa ya...
0 Reactions
107 Replies
13K Views
Gazeti la Mwananchi la leo limepambwa na habari za mawaziri wakuu wastaafu wawili wa jamuhuri yetu ambao kwa nyakati tofauti wamezungumzia matatizo yanayoikumba Taifa letu. Mawaziri wakuu hao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkutano wa Bunge, serikali, TANESCO wakatisha tamaa KIKAO cha pamoja kati ya serikali, Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO) na Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, kimebaini kwamba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source:Gazeti la habari leo. "RAIS Jakaya Kikwete, amewataka wakazi wa Tarime mkoani Mara waache kupigana, kama wataendelea hatasita kuwahamishia mikoa mingine. Ametoa msimamo huo jana wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mitihani ya kidato cha nne ya taifa inayoendelea imechapwa huko UK. Watahiniwa binafsi wakifanya mitihani tofauti na ile ya mashule. Yote haya ni katika jaribio linaloonekana kufanikiwa la kuzuia...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
MAOFISA wa CCM kutoka makao makuu na wengine wa chama hicho mkoani hapa wameweka kambi kwenye Jimbo la Karatu kuratibu zoezi la uandikishaji wapigakura katika serikali za mitaa na baadaye...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Tunaongelea aibu na tatizo ambalo ni la muda mrefu sana, na sisi wenyewe, kaka, dada, baba, mama, wajomba zetu ni sehemu ya tatizo hili la mitihani. Biashara ya kuuza mitihani ina pesa nyingi na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani mwaka 1984 Desond Tutu alipata Nobel Peace prize, me nachoshangaa kuona mtu kama mwalim JK Nyerere hakuwahi kupata tuzo hiyo...sababu moja nayoona ni kwamba Mwalim alikua anapenda...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
ADAM LUSEKELO, 13th October 2009 I WATCH the opposition forces in Tanzania with great pity. They are presently busy flailing away at the constant political jabs from the ruling state-party...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna haja ya kujiuliza ni wapi Tanzania inaelekea. Lakini sijui Tanzania inatoka wapi na sasa iko wapi. - Kiuchumi - Kijamii - kisiasa - Kiutamaduni, n.k. Ajuaye anipe mwanga tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
2009-10-13 07:42:00 Power crisis: Tough times aheadEnergy and Minerals deputy minister Adam Malima addresses journalists in Dar es Salaam yesterday after attending a meeting that also involved...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii hapa nchini inazidi kuwa tete, hii ikiwa ni miaka 5 toka nirejee kwa moyo wote kuja kujenga Taifa. Pamoja na harakati zote hizo bado hali ya umaskini inadhidi...
0 Reactions
96 Replies
11K Views
..sehemu ya mahojiano kati ya Mzee Warioba na gazeti la raia mwema. ..mahojiano yanatoa mwangaza wa nini kilipelekea kuvunjwa kwa mahakama ya Kadhi, pamoja na zile za Machifu. Mahakama ya Kadhi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Jabir Idrissa WAHAFIDHINA wa Zanzibar wamechomwa miiba mioyoni. Hawataki kusikia madhambi ambayo kufanikiwa kwake kuna maslahi makubwa nao. Hawataki mjadala wa matatizo yanayokabili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
(Hii iliwekwa na kamanda BaK) THIS DAY The long-awaited bribery and corruption trial over the purchase of dubious military radar equipment by the third phase government of ex-president Benjamin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Mara kadhaa nimekuwa nikiwaza ni kwa namna gani taifa letu la Tanzania tunaweza sisi wenyewe watanzania tukalikwamua katika hali duni ya kiuchumi, pengine hata kijamii na kisiasa. Yamkini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom