Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasomi wapendekeza liundwe Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali MJADALA kuhusu masuala ya dini na siasa umeanza kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari kuwa tatizo la umeme Tanzania ni sugu, sikulipokea kwa mshangao hata kidogo. Picha ya tatizo hili nililielewa pale Rais mstaafu Mwinyi akiwa madarakani, alipolieleza tatizo kama limetokana...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Ninapata message kwenye screen sasa kwamba JK atakuwa anahutubia Taifa ama atakuwa anaongelea mambo mbali mbali , je ni kweli ama ni habari za mtaani ? Mwenye nyeti azimwage hapa tujue namna ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaandika nikiamini bila shaka yoyote kuwa hotuba za baba wa taifa zinafaa sana kutumika katika kufundisha somo la uraia katika shule zetu za msingi, sekondari na vyuo. Hotuba za Nyerere...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Na Jabir Idrissa SIJATHUBUTU hata mara moja kusifia Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC). Sijadanganyika. Wala si kawaida yangu kusifia mtumishi au taasisi, labda pale inapokuwepo sababu ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
THIS DAY The Tulawaka gold mine in Biharamulo district, Kagera region has sold gold worth $66.6 million (approx. 87bn/-) over the past nine months alone, as the government continues to get a...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Urgent Alert - Organizations and Individuals: Sign-On Letter Demand Withdrawal of Proposed Legislation in Uganda Expanding LGBT Sanctions, Including DEATH PENALTY! CHAMP urges you to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa najiuliza tu kama huko kwenye kisima chenu cha wateuliwa mmeishiwa wateule? Au ndiyo kujipanga vya eneo la 12 ili goli la mkono wa Mungu mtufunge? Kama mmeishiwa na sasa mmebakia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mjumbe wa kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Unyamikumbi, katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida amefukuzwa uanachama kwa madai kwamba alikuwa akifanya kampeni za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii klabu ni maarufu sana pale Kariakoo. Ni klabu ya mtaani ambayo ni jamaa hukaa wakipiga gumzo, kucheza bao, karata na kubadilishana mazungumzo. Zaidi, klabu hii imetumika katika harakati...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
TANZANIA ELECTION MONITORING COMMITTEE (TEMCO) P. O. BOX 35039 DARES SALAAM TEL. 255-22-2410207 FAX: 255-22-2410084 PRESS RELEASE TEMCO TO OBSERVE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sina uhakika kama ulishawekwa hapa, mods kama ulishawekwa naomba muunganishe thread. Nimeu attach kwa hii msg.
0 Reactions
126 Replies
14K Views
Whatever we are doing in this world, so long as we are still living, we will one day be accountable for it. The life we are having here is a trust(dhamana), and we must one day say what we did...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je mtu mwenye akili timamu anaweza kujustify hizo pesa za bw.Ndalo alizotumia eti kwa safari za kikazi?Sam Six anaweza kuwa humo pia!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ex-president of Tanzania Benjamin Mkapa nicely summed up his experience and that of many other countries: “We privatized everything the state had. Everything was bought by foreign capital because...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
INAPOBIDI kusifu huna budi kufanya hivyo, na pia una wajibu wa kukosoa ili kuweka mambo sawa. Umaarufu wa mtu unapimwa kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kudumu muda mrefu katika eneo fulani la...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Aim is for IPTL to generate much-needed electricity, with case pending in court By Zuwena Shame 20th October 2009 Energy and Minerals minister William Ngeleja The government and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
..habari hii imenipa moyo sana. ..mkoa wa Rukwa una ardhi nzuri kwa kilimo and it is about time uweze kufikiwa kwa barabara za uhakika. ..kwa wenye uelewa wa maeneo yatakapita hizi barabara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wabunge wacharuka, washangazwa na Sauli Giliard UJENZI wa ofisi ndogo za Bunge zilizopo jijini Dar es Salaam umeishtua Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), ambapo mkataba wa awali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom