Mrema wa TLP atangaza kumvaa Kimaro wa CCM VunjoMwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema, anawania kiti cha bunge Vunjo.*Kimaro ampuumza asema 'alifulia, atafulia tena'
Na...
Sipendi na ninapinga mawazo ya wabunge kujimirikisha majimbo utadhani wameyazaa wao.
Mbunge anaposema kuna watu wanazunguka zunguka katika jimbo langu, ni upuuzi!. Anatakiwa aseme kuna watu...
Tender for supply of friendlier laws?
The main entrance to the National Assembly. Members will debate the amendments to the Public Procurement Act in January. Picture: LEONARD MAGOMBA...
Maswali yako hapa
http://www.youtube.com/watch?v=RVzzo0CgK8Y&feature=related
Je mheshimiwa Rostam baada ya kupewa ushahidi au vielelezo alivyodai je alijibu haya maswali rahisi kutoka kwa...
CCM yanawa mikono kwa mashambulizi ya Sophia SimbaKatibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, chama chake hakihusiki na mgogoro unaomhusu kada wake Sophia Simba.*Hakihusiki na mgogoro wake na Anne Kilango...
-Nina wazo la kuanzisha serikali mbadala ya Tanzania, nia kubwa ni kupanua wigo wa mawazo katika sera na uendeshaji wa taifa letu. Sina nia ya kuwa kiongozi kabisa katika serikali hiyo...
Ubadhirifu zaidi wagundulika Miundombinu
Na Muhibu Said
26th November 2009
B-pepe
Chapa
Maoni
Waliotafuna bn 2.6/- za Temesa wasambaza uongo
Wadai fedha zilizoliwa ni...
Wafanyabiashara wa mafuta waikosesha TRA mapato
Na Lulu George
27th November 2009B-pepeChapaMaoni
Mamlaka ya Mapato (TRA).
Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Tanga imeshindwa kufikia malengo ya...
Na Sadick Mtulya
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinaonekana kimeanza kuziogopa fedha za mafisadi, baadala yake kimeanza kuchangisha fedha kupitia kwa wananchama wake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa...
Tanganyika Independence Act 1961 (c.1)
This version of this statute is extracted from the UK Statute Law Database (SLD). It is not necessarily in the form in which it was originally enacted but...
Habarini za jioni wana jf;kuna habari za kusikitsha hapa
lile sakata tulilokuwa tunalijadili kuhusu kutoelewana
kati ya mwenyekiti wa uwt..mama sopha simba na katibu wake limepata ufumbuzi.....kwa...
Amatus Liyumba.
Shahidi wa sita katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, amedai mahakamani kuwa mabadiliko ya mradi...
Hizi habari za mauaji ya albino zinasikitisha na kututia aibu kubwa.
Hebu angalieni Associated Press walivyoandika
http://news.yahoo.com/s/ap/20091128/ap_on_re_af/af_africa_albino_killings
CCM yaanika vyanzo vya bajeti ya uchaguzi 2010
Imeandikwa na Na Mwandishi Wetu; Tarehe: 28th November 2009 @ 23:59
Habari Leo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka hadharani mkakati wake wa...
Leo nilikuwa nasikiliza habari katika magazeti vichwa vya habari vilivyowekwa kwenye magazeti haya nimejikuta katika mshangao sana
Hivi huwa mnafatilia habari kwa kina kabla ya kuzitoa hewani...
Tazama wanacvyofuja pesa za walipa kodi kuanzia ukurasa namba 62 ndani ya PDF document hii hapa:
http://nao.go.tz/files/SERIKALI%20%20KUU.pdf
Orodha ya Balozi zilizokuwa na maswala...
Asha Baraka ajitosa ubunge Kinondoni
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Asha Baraka, ameingia matatani kwa kudaiwa kuanza kufanya mikutano ya siri na...
N° 1274 28/11/2009 TANZANIA Head of Tanesco in a tight spot
An audit report is embarrassing for Idris Rashid just as the question of renewing his mandate...
Ndugu WanaJamii Forum
Nimeona habari hii ya ajabu katika gazeti la Daily News ambapo bila aibu wala soni Waziri Marmo anadai kuwa madai ya mauaji ya wachimbaji wadogo wa dhahabu kule Bulyanhulu...
Ni kutoka Italia alikokuwa balozi
Nyerere alishangaa na kuhoji ni balozi wa aina gani huyo? Akatolewa Italia na kupelekwa Sumbawanga, Rukwa
Mwandishi wetu, Godfrey Dilunga, wiki iliyopita...