UFISADI kwenye Balozi zetu nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UFISADI kwenye Balozi zetu nje

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Nov 27, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Tazama wanacvyofuja pesa za walipa kodi kuanzia ukurasa namba 62 ndani ya PDF document hii hapa:


  http://nao.go.tz/files/SERIKALI%20%20KUU.pdf
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,285
  Trophy Points: 280
  GT,
  Balozi zetu kazi zake kula hela, haswa anapokuja Mkulu, kwanza PCCB wakmaliza double payment ya wabunge, wabishe hodi Ikulu, msafara wote wa mkulu, husign posho kwa $$, wakifika huko hukuta Balozi kshalipa kila kitu, kula bure, kulala bure, sijui hizo posho zilikuwa za nini. Ben akija US kwa wa ziara, hoteli anayofikia hulipiwa two exra rooms za vijana wake wakiwa huko, hivyo vyumba vitalipiwa wakati wote, walale, wasilale alimuradi baba yupo.

  Ili pia lazima tukubali baadhi ya balozi zinaingia matumizi ya ziada kutuhudumia sisi wabongo tunapokubwa na matatizo, kuna Mbongo alipata problem Italy, alicolapse from no where, jamaa was in comma, ubalozi ulimbail out kuanzia hospital billls mpaka kumpa chochote mpaka alipozinduka, na alisaidiwa mpaka aliporejea home. Huu ni mmoja wa mifano ambapo ubalozi umefanya matumizi mabaya kwa nia njema.
   
 3. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Mkuu Pasco, heshima yako sana kwamba Ubalozi hulipia hao wakuu hizo dataz hazijakaa sawa, infact kwa uzoefu nilionapo na Ubalozi ninasema tena bila kufikiri mara mbili kwamba never happened!

  - Seriously, mkuu hakuna ubalozi wowote wa Tanzania nje ulio na pesa zisizokuwa na sababu zinazoweza kusubiri kulipia viongozi wa kutoka Tanzania, muwalaumu kwa mengine lakini la matumizi ya pesa siku hizi simply ni kwamba haliwezekani,

  - Siku hizi na ilianzia under Luhanjo akiwa katibu mkuu wa huko, hela za ubalozi haziwezi kutumiwa na ofisi bila makubaliano ya kamati maalum za ubalozi zinazowahusisha maofisa wote wa ofisi hizo, balozi hana ubavu tena kama zamani wa kuamua tu kuchoma hela za ofisi,

  I mean mnyonge mnyongeni, lakini kwa hili mkuu ninasema msalieni mtume japo kidogo jamani!

  Respect.


  FMEs!
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kwa hili naungana nawe FMES maana kuna wakati wanagoja hata mishahara inachelewa . Tunaweza mwaga data zikitakiwa
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Sasa huo ufujaji unatokana na nini?
   
 6. J

  Jews4ever Member

  #6
  Nov 28, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GT umesahau za balozi za nchi za uarabuni,zinafuja hela kwa private issues including futari za ramadhani na eid
   
 7. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Bla bla blaaaa teh teh
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,285
  Trophy Points: 280
  Utetezi wako kwa Balozi zetu ni mzuri, mimi nilidhani kueleza kuwa Wanabalozi wetu wanatumia hela za ubalozi kuwakirimu wakulu na kuwasaidia Wanugu wenzetu wanaofulia, pale mazingira yanaporuhusu, nikidhani huu ni utetezi safi wa kuhalalisha ulaji kumbe sivyo!,

  Hii inamaana kuwa kwenye Balozi zetu nao wanavijiEPA vyao ili kutimiza lile neno kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?
   
 9. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mnakumbuka Pro Mahalu huko Italy,na mke wa Kitine matibabu yake ?
   
Loading...