Tanganyika Independence Act 1961 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika Independence Act 1961

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Spear, Nov 25, 2009.

 1. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tanganyika Independence Act 1961 (c.1)

  This version of this statute is extracted from the UK Statute Law Database (SLD). It is not necessarily in the form in which it was originally enacted but is a revised version, which means that any subsequent amendments to the text and other effects are incorporated with annotations.

  There are effects on this legislation that have not yet been applied to SLD for the following years: 2006 and 2009. See the Tables of Legislative effects and the Update status of legislation page on the SLD website.
  [​IMG]Tanganyika Independence Act 1961

  1961 CHAPTER 1 10_and_11_Eliz_2

  An Act to make provision for, and in connection with, the attainment by Tanganyika of fully responsible status within the Commonwealth.
  [22nd November 1961]

  Annotations:

  Modifications etc. (not altering text)

  C1Power to repeal Act (except s. 1) given by Tanzania Act 1969 (c. 29), s. 5

  1 Fully responsible status of Tanganyika

  (1)On the ninth day of December, nineteen hundred and sixty-one (in this Act referred to as the appointed day) Tanganyika (the limits of which are defined in Article 1 of the Tanganyika Order in[S.R. & O. 1920 No. 1583.] Council, 1920) shall become part of Her Majesty's dominions under the name of Tanganyika and as from that day Her Majesty's Government in the United Kingdom shall have no responsibility for the government of Tanganyika.
  (2)No Act of the Parliament of the United Kingdom passed on or after the appointed day shall extend, or be deemed to extend, to Tanganyika as part of the law thereof, and the provisions of the First Schedule to this Act shall have effect as from that day with respect to the legislative powers of Tanganyika.
  (3)Subsection (1) of this section shall not affect the operation in Tanganyika of any enactment, or any other instrument having the effect of law, passed or made before the appointed day, or be taken to extend any such enactment or instrument to Tanganyika as part of the law thereof.
  2. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1

  Annotations:

  Amendments (Textual)

  F1S. 2 repealed by British Nationality Act 1981 (c. 61, SIF 87), Sch. 9

  3 Consequential modification of other enactments

  (1). . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1
  (2)As from the appointed day-
  (a)the expression "colony" in the M1Army Act 1955, the M2Air Force Act 1955, and the M3Naval Discipline Act 1957, shall not include Tanganyika; and
  (b) (b) in the definitions of "Commonwealth force" in subsection (1) of section two hundred and twenty-five and subsection (1) of section two hundred and twenty-three respectively of the said Acts of 1955, and in the definition of "Commonwealth country" in subsection (1) of section one hundred and thirty five of the said Act of 1957 the word "or" preceding the words "Sierra Leon" shall be omitted and at the end there shall be added the words "or Tanganyika" .
  (3)No Order in Council made under section one of the Army and Air Force Act 1961, shall operate to continue the Army Act 1955, or the Air Force Act 1955, in force as part of the law of Tanganyika.
  (4)As from the appointed day, the provisions specified in the Second Schedule to this Act shall have effect subject to the amendments respectively specified in that Schedule, . . . F2
  This subsection shall not extend to Tanganyika as part of the law thereof.
  Annotations:

  Amendments (Textual)

  F1S. 3 (1) repealed by Interpretation Act 1978 (c. 30, SIF 115: 1), Sch. 3
  F2Words repealed by Statute Law (Repeals) Act 1969 (c. 52), Sch. Pt. VI
  Modifications etc. (not altering text)

  C1The text of S. 3(2) (b) is in the form in which it was originally enacted: it was not reproduced in Statutes in Force and does not reflect any amendments or repeals which may have been made prior to 1. 2. 1991.
  Marginal Citations

  M11955 c. 18.
  M21955 c. 19.
  M31957 c. 53.

  4. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . F1

  Annotations:

  Amendments (Textual)

  F1S. 4 repealed by Statute Law (Repeals) Act 1976 (c. 16), Sch. 1 Pt. XIII

  5 Short title and interpretation

  (1)This Act may be cited as the Tanganyika Independence Act, 1961.
  (2)References in this Act to any enactment are references to that enactment as amended or extended by or under any other enactment.


  Tuwe wakweli katika kuweka Historia ya nchi kama ilivyo kwa faida ya vizazi vijavyo,siku ya tarehe 9/12/1961 ni siku ya uhuru wa Tanganyika na sio kama tunavyo wadanganya watu wetu kuwa ilikuwa ni siku ya UHURU wa TANZANIA.ukisoma hapo utagunduwa hapana neno United Rep of TANZANIA.
   
 2. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spear,
  Mkuu si ndio maana tumejibatiza wenyewe humu na kujiita WADANGANYIKA, kwani sisi kila tuambiwalo ni Hewala bwana. Hatujui kuuliza, Kubisha au Kukana inaelekea Tupotupo tu.Ukija kwa Wanasheria wetu ndio hao, wote Wachumia Tumbo.
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Jujuman,
  What is the problem? Tanganyika tulipata uhuru Desemba 1961. Tanzania ilizaliwa 1964. Amedanganyika nani?
   
 4. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Tatizo wewe hulioni? au umelifumbia macho? tunambiwa tunashehrekea Uhuru wa TANZANIA na sio Uhuru wa TANGANYIAKA kama aliyoutowa Muengereza 9/09/1961 sasa Tanzania kaitawala nani ? na lini akaipatia Uhuru huo,mbona hakuna kumbukumbu zinazo onesha kutawaliwa kwa TANZANIA baada ya kuzaliwa kwake 1964.
   
 5. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spear,
  Ndio maana vitabu vimehimiza tusameheane. Pia vimeongezea kuna wenye macho ambao hawataona na wenye masikio ambao hawatasikia.Yaelekea kuna kundi la Wadanganyika limekumbwa na ubashiri huo.
   
 6. J

  Jujuman JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Jasusi,
  Tanganyika 09 12 1961 Uhuru.
  Zanzibar 10 12 1963 Uhuru.
  Zanzibar 11 01 1964 Mapinduzi.
  Tanganyika + zanzibar 26 04 1964 Muungano = Tanzania
  Linapopatikana jina Tanzania kuna Muungano sio Uhuru.
  Unaonaje Jasusi mpaka hapo kuna tatizo au hakuna??   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Jujuman,
  Mimi sioni tatizo. Tunaposherehekea uhuru Desemba 9 tunasherehekea uhuru wa Tanzania ambayo kabla ya kuungana na Zanzibar ilikuwa Tanganyika. It is all in the mind. No problem.
   
 8. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Unapomuona Binadamu wanawakana au anakana chimbuko lake ujuwe wanamatatizo ya mental promblems.
   
 9. Sungi

  Sungi Senior Member

  #9
  Nov 28, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Good research ... lakini United Republic of Tanzania was born April 26, 1964. Kwa hiyo hii Statute ya 1961 haina uhusiano wowote na Jamhuri ...
   
 10. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #10
  Nov 28, 2009
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wakuu,
  Labda hapa kumbukumbu zimewekwa vizuri zaidi;
  Tanganyika chini ya Utawala wa Uingrereza
  Mwaka 1919, baada ya Ujerumani kushindwa vita ya kwanza ya dunia, Deutsch Ostafrika ilitwaliwa na Uingereza chini ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa awali (League of Nations), na ikapewa jina jipya la Tanganyika. Mwaka 1945 Umoja wa Mataifa wa awali ulivunjwa na kuundwa upya , Umoja wa Mataifa wa sasa ukachukua nafasi ya ule wa awali, (United Nations). Nchi zote zilizokuwa zimeshikiliwa chini ya Umoja wa Mataifa wa awali ,ziliwekwa chini ya Baraza la Udhamini la Umoja wa Mataifa wa sasa, Tanganyika ikiwa mojawapo.

  Uingereza ilipewa mkataba wa kuitawala Tanganyika kwa niaba ya Umoja wa Mataifa, hadi itakapokuwa na uwezo wa kujitawala. Mwaka 1961 Uingereza ilifuta mkataba wa udhamini wa Umoja wa Mataifa na kuiweka chini ya himaya yake ili kuliwezesha bunge lake kuwa na mamlaka ya kutoa uhuru kwa Tanganyika. Kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu tarehe 9 Desemba mwaka 1961 hadi Tanganyika ilipokuwa Jamhuri mwaka 1962, Tanganyika ilikuwa sehemu ya himaya ya Uingereza.

  Uhuru kamili wa Tanganyika
  Tarehe 9 Desemba 1962, Tanganyika ilijipatia uhuru kamili kwa kuwa Jamhuri. Bunge la Tanganyika lilifuta sheria ya Bunge la Uingereza iliyokuwa imeiweka Tanganyika chini ya himaya ya Uingereza na kutunga katiba mpya ya Jamhuri ya watu wa Tanganyika. Miaka miwili baada ya uhuru, Tanganyika iliungana na Zanzibar na hatimaye ikapatikana Tanzania.

  Source: NCCR Policy Booklet
   
 11. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2009
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Annotations:

  Modifications etc. (not altering text)

  C1Power to repeal Act (except s. 1) given by Tanzania Act 1969 (c. 29), s. 5


  Hapa ni Lugha ya kisheria.. sijui unaamanisha nini.. Lakini annotation imetambua na kutaja sheria ya Tanzania.
   
 12. a

  alibaba Senior Member

  #12
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Spear,
  Bila jazba tutaelewana tu,haya ni maswala ya nyumbani.
   
 13. a

  alibaba Senior Member

  #13
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sungi,
  Uko sawa kabisa Tanzania (jamhuri ya muungano) imezaliwa 1964 kwa Muungano. Sio UHURU hizo Nchi mbili zilishapata Uhuru katika wakati tofauti. Sasa vipi tusherehekee uhuru wa Tanzania. Tunaona hapa nakala ya waraka wa sheria ya uhuru wa Tanganyika. nina hakika utakuwepo wa Uhuru wa Zanzibar. Je upo waraka kama huu kwa TANZANIA?
   
 14. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na ndio hapo sasa niliposema hii siku inayoitwa ni siku ya uhuru wa TANZANIA ni upotoshowaji wa makusudi na Kuwanyima waTanganyika wenye mapenzi uchungu na chimbuko lao, ambalo lilikuwa huru siku hiyo ya 9/12/1961hayo mambo ya TANZANIA yalifuatia baada ya Uhuru kutolewa na wakoloni.kinachofanyika hapa ni typical sisi wafrika kuzidi kujigubika katika giza la ujinga .
   
Loading...