Ufaransa wamjadili dk. Rashidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufaransa wamjadili dk. Rashidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tina, Nov 27, 2009.

 1. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  N° 1274 28/11/2009 TANZANIA Head of Tanesco in a tight spot

  [​IMG] An audit report is embarrassing for Idris Rashid just as the question of renewing his mandate at the head of the Tanzania Electric Supply Company is being raised.

  Just as his mandate as managing director of the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) is about to expire in December, Idris Rashid is taken to task in the preliminary report by the Controller and Auditor General (CAG) for “squandering” 1.4 billion shillings (€ 690,000) on refurbishing the residences of Tanesco’s directors, including his own. The CAG is also investigating a bank loan of Tsh 300 million (€ 150,000) that Tanesco contracted and may also have been “squandered”.

  The Minister for Energy William Ngeleja will now have to study the CAG’s report and determine whether Rashid had indeed ordered this expenditure so that he could subsequently purchase his official residence for a lower price after it has been renovated. Questions were raised in Parliament about this matter by an MP in the ruling party, Richard Ndassa. Tanesco’s managing director is also reproached for spending Tsh 180 million (€ 90,000) on a luxury car and six other vehicles for Tsh 160,000 each (€ 80,000) for the company’s directors, flagrantly contravening the directives issued by Prime Minister Mizengo Pinda.These disclosures occurred just as President Jakaya Kikwete has to decide whether to renew Rashid’s mandate at the head of Tanesco, or replace him. Nevertheless, Rashid has plenty of support, beginning with the chairman of Tanesco’s board, Peter Ngumbullu.

  But he also has his detractors, who are all too eager to remind all and sundry that Rashid has been questioned by the UK Serious Fraud Office (SFO) in his capacity as a former governor of the Bank of Tanzania (BoT), as part of the investigation into the sale of civilian radar equipment to Tanzania by the British company BAE Systems.


  SOURCE: The Indian Ocean Newsletter (www.africaintelligence.com)


  Haya wadau, hiyo taarifa imetolewa leo na Africa Intelligence yenye makao makuu jijini Paris, France, ambayo hutoa online newsletter inayoheshimika duniani.
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Dr. rashidi alistahili kuwa keko nashangaa bado wanataka kumpa ulaji mwingine ili asiseme alioiba nao.
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,085
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  Naomba huyo Zitto asome hii na aache kubwabwaja! Zitto asahahongwa nyie mtaskia karibuni! Atatoka Chadema katika kukidhoofisha
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Nov 28, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mpaka muda huu simweli Zito kweli haioni hofu juu ya mwenendo wa Dr Rashid ama ?
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mh Zitto upo hapo?
  So much for the BEST CEO IN THE COUNTRY!
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Hawa blue boys wa wakulu wa Tanzania kazi ipo
   
 7. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Nevertheless, Rashid has plenty of support, beginning with the chairman of Tanesco’s board, Peter Ngumbullu."

  Je Mzee Ngumbulu amepona? Miezi kadhaa iliyopita alikuwa nje akitibiwa na kipindi hicho alikuwa hajitambui. Waandishi wa magazeti wanaweza wakawa wanazungumzia mambo yasiyokuwepo!
   
 8. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Why Zitto? Must he always be right? He has the right to an opinion, may be right or wrong!! I believe he knows that pretty well too!!
   
 9. M

  Mpambanaji K Member

  #9
  Nov 28, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  zitto, amehongwa na ushahidi upo. atuambie hela alizopokea barclays kama sio kwa ajili ya kutetea downs ilikuwa ni nin? inawezekana na JF imehongwa ni nini mbona wameondoa message yangu kuhusu zitto ndani ya thread inayomuunganisha dk rashid?
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Exactly Mkuu Mpigafilimbi, but one must have the grace of saying "sorry I was wrong there" and we move on.This is politics bwana.
  Mwinyi alijiuzulu baada ya watu kufa chini yake ,sorry yake ilikuwa kujiuzulu na leo anapeta.
   
 11. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tina hii habari ukiisoma utaona kabisa imeandikwa na Mtanzania mwenzetu wala sio wafaransa, alafu jambo lingine ni kuwa kwa Newsletter za online ni rahisi sana kutoa press realese ili mradi uwe na uwezo wa kulipia. Utanishawishi vipi kuwa hii habari haijatolewa na nyie mnaomchukia Dr. Idris na hamtaki kukubali mafanikio yake kama ambavyo tumeelezwa hapa.

  Kama kuna ufisadi wa wazi uliothibitishwa kwanini kuwa na mjadala wa kumpa kazi tena au hapana? hata huyo mwenyekiti wa bodi atakuwa wa ajabu sana kama atampigia debe mtu ambaye CAG ameona ameliibia taifa kwa vitendo vya kifisadi. Mimi naona ni watu wachache wenye interrest zao binafsi wasio taka Dr. Idris ashike nafasi hiyo kwa vile hawawezi kufaidika na TANESCO kwa kujichotea mafungu wafanyie kampeni ndio wanatengeneza hizi story
   
 12. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna hitaji Serikali yenye uwezo wa kutenda kazi ..! System ya serikali yetu ya Tanzania imekufa au haipo kabisa kwa sasa.

  Kila mwenye kupata nafasi ya kuiba hufanya hivyo akijua kwamba hakuna kuwajibishana. Hili ni tatizo na lisipo tafutiwa ufumbuzi wa maana tutabakia kupelekana Mahakamani ya danganya toto kisha Mafisadi wana shinda Kesi..

  Hii si tu kwamba inatu chafulia Jina La watanzania bali inalididimiza Taifa hili kila kabisa..
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Nov 28, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  Tina naona mnafuata mkondo ule ule wa kupotezeana muda kumjadili Rashid kwa sababu Zito kasema hivi au vile, for intelectual this has nothing to do with our current priority.Suppose Zitto kanunuliwa , ok, mkiwaaminisha watu wote dunia hii kuwa kanunuliwa tutakuwa tumetatua matatizo yetu?

  Nchi hii ukifuatilia kila shirika kuna uozo, Tina hata yule mjomba wako(mfano) unayemuamini sana haujui black box yake!

  Zitto inawezekana anamfahamu Rashid upande mmoja na hamjui upande mwingine, hii inatokea kwa mtu yeyote!

  utoaji wa comment kunatokana na ufahamu wa mtu, ama sivyo kwa tanzania ya sasa huwezi ukam-comment yeyote.

  Hapo juu unataka kuthibitisha kwa hiyo note, basi Rashidi fisadi na Zitto naye humohumo, hujamsikiliza Rashidi....

  Our priority now is how we can remove CCM from power, Tanaseco , mawaziri nk wote ni hao hao!

  Huwa nashika kichwa kila siku nikisoma Zito hivi, mara vile we are wasting time and intelectuality kwa kumjadili Zito, WHO IS ZITTO ANYWAY?? ndiyo mbunge, lakini ni mwanadamu, zitto siyo mwana CCM maskini ya Mungu, na sidhani leo HII KAMA BODI YA TANESO ITAMWEKA RASHID KWA SABABU ZITO KASEMA!!! we are making our self lower than we think we are by discussing Zitto, forum imegeuka kijiwe

  Kala rushwa, mara fedha zake kapokelea barclays, mara hivi........where are we going with this

  Zitto kama kala rushwa tola CCM atakuwa sawa tu na mafisadi wengine akina RA, EL cHENGE, our priority sio kumjadili Rostam au EL....ni kuwaondoa madarakani, unless uniambie juhudi za kuwajadili hawa jamaa kwa miaka 5 sasa zimefikia wapi... kila kona wanapigiwa makofi na kukaribishwa, ...... acha haya wafanye wasiojua.

  MY QUESTION ALWAYS IS what if these allegations are false? maana hakuna mwenye uthibitisho. tumepata madocumet kibao ya kila ufisadi tukose ya Zitto??? kila nikisoma mawazo ya Zitto naona anatoa kama mtu mwingine yeyote.Hao wabunge wengine 300 mbona wako kimya

  Last Tina, kama unataka mabadiliko nitataka uniambia how can we trust these politicians from other parties? kama tusipofikia kuwaamini hwa jamaa , trust me CCM will rule forever! maana kila mpinzani atatungiwa lake!! kama utamaduni huu wa kusingizia watu utaendelea hivi, eventually tutabaki tunawajadili wana CCM tu ''huyu msafi huyu mchafu wakati wote wachafu tu'' mwihowe hatuendi popote simply we have lose direction, hatujaficus tunataka nini

  I believe JF is more than this scraps mabazo tukilala na kuamka tunazikuta,

  c'mon we can do more than this!

  Tuko vitani, na kama katika sisi wapiganaji kuna mmoja katusaliti, hatumtafuti aliyetusaliti tutawajadili vita ikiisha, tushinde kwanza..

  kutowaza kushinda ndio usaliti mkubwa sana kuliko chochote kile
   
 14. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Why are you guys so obsessed with Zitto? It seems like there are people in this forum who have personal vendetta against Hon. Zitto. For God sake, you people should not only stop this nonsense but also have a life. Can someone please tell me why Zitto is at fault on this issue? is he the one who selected this goon "Dr. Rashid"for that position? We are wasting our precious time prosecuting the wrong person, mind you guys, the bucks stop with the president! .

  Let me put it bluntly, Kikwete doesn't care much about our nation interest compared to the welfare of his cronies. Watanzania, even though it is sad but it is also true that we have made a big mistake to elect JK and we are going to pay dearly. You don't have to be a neurosurgeon to realize that our country is heading in the wrong direction and this one among classic examples that vividly shows how corrupt Kikwete's administration has became.
   
 15. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf tuambieni.je hiyo thread ya muungwana mliondoa?
   
 16. O

  Ogah JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hakuna anayemlaumu/aliyeobssessed na Zitto kama unaelewa hoja ya mleta hoja.........na hakuna anaye-prosecute anybody here.............. hii mambo ya kufukia mashimo ndio yanayotu-let down kila kukicha.........

  .......Mh Zitto kama mtoa hoja lazima ajibiwe kwa hoja....na Tina amekuja na hoja.....pia lazima mtambue nafasi ya Zitto kwenye jamii..........watu kama hawa wanaweza kutuingiza mtoni kirahisi mno......mkiwa na hii attitude ya kufikia mashimo...............Zitto lazima ajibiwe ipasavyo...........kauli zake chache hapo JF zimeshachukuliwa magazetini....na sasa hata wananchi huko vijijini wanamsoma na wananchanganyikiwa na matamshi yake..............let find and put RECORDS Clear........hakuna cha obssession hapa...........

  Hapa JF tunamkoma Nyani...........hakuna jiwe litaachwa unturned.......mambo yanajadilika......... watu na waendelee na mjadala.....
   
 17. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2009
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Message has been deleted ...
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Webby,

  Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja.........however.....unaonaje hizi doubts zikiwa cleared?..........hii ya Dr Idriss kuwa "CEO Bora" unalionaje hilo....limetoka kinywani kwa kiongozi "anayeng'ara" kama Zitto...........no way........tusiachie hivi vitu hivihivi.....vitakuja kutuhukumu huko mbeleni..........
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Tina,

  Mbona juzi nimesikia kuwa "The best CEO wa mashirika ya Tanzania kwa sasa?"

  Au ukimlinganisha na wengine ambao ndiyo wabovu zaidi, jamaa anakuwa walau ana nafasi?

  Naweza kwa upande fulani kuamini ukilinganisha na mashirika kama ATCL.
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Nov 28, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  Ogah

  There is no doubts kuwa kama hii ishu ya Tina ni kweli huyu sio CEO bora. Na Brooklyn in other thread nilikubaliana naye aliposema.Kuwa Rashid kama ni msafi asisingizie siasa angejiuzulu mapema.

  Upande wangu ndugu Ogaha, I dont trust any leader under this CCM regime. Lakini kwa hali iliyopo nikasema inawezekana Zitto hana za upande wa pili wa Idrissa.Kamtetea kwa ufahamu wake.Certainly, akijua upande wa pili basi atabadilika, asipobadilika! ndiyo nimemwambia Tina, kanyaga twende.....tuangalie our goal,,CCM waondoke tutaumia mioyo na kichwa kila siku ukifuata mambo ya mtu mmoja mmoja! Na tusipende kulazimisha kuwa aonekane ameshindwa, kama Zito fisadi bado anaweza akaja, akaomba msamaha na kukiri kuwa amekosea, na akatueleza msimao wake umebadilika, what is HE IS LYING? what if atakachosema na kukiri sio akifanyacho mafichoni.Tunapenda sana ligi ya maneno na hili ndio tatizo letu; tukisikia Zito kawa up\nde wa Tina tutafurahi.........LAKINI CEO IDRISSA BADO YUPO PALE PALE!!!(nadhani umenipata)

  La muhimu ni kuwa Zitto alindwe na tuhuma zake zithibitishwe asituhumiwe bila vithibitisho, na maoni yake yachukulie kama mtu yeyote, hayabadili msimamo wa CCM labda kama angekuwa waziri mkuu!!tukiruhusu hilo adui CCM ataongoza milele.
   
Loading...