Nyerere's adviser is dead

Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,812
1,054
Sadleir_585x350_618117a.jpg
randal sadler whose sympathy for the tanzanian nationalist cause won him the adminiration of Nyerere,has died aged 85.Of irish descent,became tanganyika youngest district commissioner.After independence.he stayed on at nyerere request.Is much reknown for his handling of the 1967 famine.- timesonline.co.uk
 
Mungu aiweke roho ya marehemu mahari pema peponi
tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
Amen
 
mwinyi1.jpg

Mwinyi (wa pili kutoka kushoto) akishuhudia mchezo wa bao kati ya hayati Mwalimu Nyerere (wa pili kutoka kulia) na mzee mmoja wa Butiama(jina halijulikani).Wengine wanaoshuhudia ni Mama Maria Nyerere(kulia) na kaka yake Nyerere,Chief Burito(wa tatu kutoka kulia).Picha ilipigwa Butiama.
 
Umenikumbusha mbaaaali sana. Weka na kapicha ka huyo mshauri basi.
 
mwinyi1.jpg

Mwinyi (wa pili kutoka kushoto) akishuhudia mchezo wa bao kati ya hayati Mwalimu Nyerere (wa pili kutoka kulia) na mzee mmoja wa Butiama(jina halijulikani).Wengine wanaoshuhudia ni Mama Maria Nyerere(kulia) na kaka yake Nyerere,Chief Burito(wa tatu kutoka kulia).Picha ilipigwa Butiama.

Picha inanifurahisha sana hii..
Hivi kipindi hicho ilikuwa ni mwaka gani, na Mwinyi alikuwa nani wakati huo?

Pole sana Mshauri wa Mwalimu, na Mungu akulaze mahali pema peponi.
 
mwinyi1.jpg

Mwinyi (wa pili kutoka kushoto) akishuhudia mchezo wa bao kati ya hayati Mwalimu Nyerere (wa pili kutoka kulia) na mzee mmoja wa Butiama(jina halijulikani).Wengine wanaoshuhudia ni Mama Maria Nyerere(kulia) na kaka yake Nyerere,Chief Burito(wa tatu kutoka kulia).Picha ilipigwa Butiama.

Daah hiki kitu sijui umekiibua wapi homiiii......!

RIP Mshauri wa JKN!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom