Sidanganyiki marufuku?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,519
7,549
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.
 
Inawezekana wao ndio mabingwa wa kuwadanganya wananchi ati leta card yako tuiandikishe

Mbinu ya CCM hiyo
 
Nimesikia wakisoma magazeti na hiyo ikisomwa.
Ile nayenyewe ilikuwa inafanana na waraka.
Miye nilipenda pale "Mmezidi kututimulia mavumbi tu"...
 
mie hapo ndo ninapochanganyikiwa na hii Chukua Chako Mapema
Hilo Tangazo lina tatizo gani na linapotoshaje jamii wakati linafundisha
tatizo hawa wanapenda ukweli ukae nyuma ya pazia siku zote
Kitu ambacho hakiwezekani
 
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.

sio kweli
 
Too late and too bad for damned them...
Wanaliondoa baada ya kwamba limekaa vichwani mwetu!
Mimi na watu wa nyumbani mwangu Hatudanganyiki.
 
I like it:'SIDANGANYIKI'. It says it all! Lakini kama walivyosema wengine, neno hilo limetisha kundi fulani!
 
mie hapo ndo ninapochanganyikiwa na hii Chukua Chako Mapema
Hilo Tangazo lina tatizo gani na linapotoshaje jamii wakati linafundisha
tatizo hawa wanapenda ukweli ukae nyuma ya pazia siku zote
Kitu ambacho hakiwezekani

Wao wanachokipenda ni kuwa na wapiga kura mbumbumbu, wasiojua haki zao wala elimu ya uraia, ndiyo maana wanashindwa kuboresha Elimu watoto wanasomea chini ya miti ili wasielevuke. Mpaka sasa nina uhakika kuwa kwa 99.9 % ya wasomi wasio na direct benefits toka CCM (Yaani baba ni waziri, au kapewa kitengo achukue chake mapema) ama hawapigi kura kwa kujua kuwa ni kupoteza muda kwani CCM watajitangaza wameshinda au hawaipigii CCM kura kabisa.

Hili CCM inalijua kuwa kuwaerevusha watu wa Tanzania ni kujichimbia kaburi kwani "You can fool some people for time but you can't fool all the people all the time", huu utakuwa uchaguzi wa nne wa vyama vingi ambapo CCM pamoja na ahadi zote toka 1995, acha kipindi cha 1961-1995, kuwa hawana walilolifanya zaidi ya watendaji na viongozi kujilimbikizia mali huku wananchi wakizidi kupigika.

Nafikiri sasa umefika wakati wajue kuwa Ujanja wao una mwisho na njia pekee ya kuwaibia kura wapinzani ni kutekeleza ahadi na kuboresha maisha na uchumi ili mashabiki wa upinzani wasiwapigie kura wapinzani bali waipigie CCM, badala ya kupanga mikakati haramu ya kuvuruga chaguzi na kujitangaza washindi. Ina gharama yake hii na siku wananchi watakaposema basi ndiyo watajua kuwa heri kukinga kuliko kutibu.
 
aaah ahah jana nimeangalia news na kugundua eti ni kweli Tangazo la sidanganyiki inabidi libadilishwe kwa sababu walionyesha stashahada ya mtu

" hivi mbona vitu vingine ni vidogo sana vinavyowasumbua watu " badala ya kufanya mambo makubwa mnaangalia stashahada ya mtu

kweli nji hii lol:D
 
thinkers_cartoon.jpg
 
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.

Ni kweli serikali ya CCM imepiga marufuku lile Tangazo, ila sababu waliyotoa ni kwamba tangazo linapotosha ukweli kwani vitambulisho vya kura havitumiki kwenye chaguzi za serikali za mitaa.

Badala ya sisi kuanza kubeza maamuzi, nadhani tukubali kwamba tangazo linahitaji kuwa sahihi na kubeba maudhui madogo na makubwa kwa usahihi!! wenye tangazo wamemislead na serikali imewanasa kwani ka hakika linawahusu viongozi wengi walio madarakani

cha kufanya ni kuondoa hiyo segment inayoonyesha vitambulisho vya kura vinatumika ili liwe sahihi na kulirudisha hewani, halafu kuiongezea sauti ile sehema ya

SIDANGANYIKIIIIII!!!!!!
 
Well, 2010 naiambia CCM! Hatudanganyiki! Tutakula huo wali, tutakunywa soda na bia, tutavaa fulana, khanga, vitenge na kofia, lakini KURA zetu HAMPATI NG'O!

./Mwana wa Haki

PS. Hatujasahau mlivyotupotezea fedha zetu za DECI!
 
aaah ahah jana nimeangalia news na kugundua eti ni kweli Tangazo la sidanganyiki inabidi libadilishwe kwa sababu walionyesha stashahada ya mtu

" hivi mbona vitu vingine ni vidogo sana vinavyowasumbua watu " badala ya kufanya mambo makubwa mnaangalia stashahada ya mtu

kweli nji hii lol:D

Lets take it to their face, tubadili hicho ki-segment na kulirudisha hewani! HATUDANGANYIIIIIKIIII!!!
 
Back
Top Bottom