Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Madiwani Korogwe wamtimua mhasibu, DED amkingia kifua Tuesday, 29 September 2009 16:30 Na Yusuph Mussa, Korogwe BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe wamemtimua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waliofanyiwa mtihani IFM wakalia kuti kavu Thursday, 01 October 2009 08:19 Grace Ndossa na Neema Kalaliche WANAFUNZI wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) waliofanyiwa mtihani wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RAIS wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amani Abeid Karume amesema hali ni shuwari Zanzibar na kuwataka wanasiasa katika Kisiwa cha Pemba kupingana kwa hoja na wale...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam, Niko ndani ya ukumbi huu wa AICC unapofanyika mkutano wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola. CBA. Kinachoendelea sasa ni wajumbe wameshakaa sehemu zao, unasubiriwa ujio wa Rais...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jana katika taarifa mbalimbali za habari, Makamu wa Rais Mh. Dr. Shein alisikika akiwahutubia wananchi kwamba serikali inatambua matatizo ya waalimu kama ambavyo yeye na viongozi wenzanke...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM), Serikali yake na watendaji wa umma (civil servants) wanatangaza na kuhamasisha sera/kauli mbiu mpya ya KILIMO KWANZA. Taifa letu limepita katika vipindi mbalimbali...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Godfrey Dilunga UNAPOZUNGUMZIA uwezo wa kiuongozi wa Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, yapo masuala muhimu ambayo ni lazima kuyataja, kuyatafakari na hata kuhoji. Masuala kama kifo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aliwachachafya maprofesa Mlimani Alikwenda vitani Vietnam na Msumbiji Na Born Again Pagan KWA wale wenye kupenda kumjua Yoweri Kaguta Museveni, mwanafunzi wa Mlimani, someni yafuatayo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kule nako kuna madudu kibao yanaendelea na pamoja na uhuni unaofanywa na baadhi ya watu kama vile kutolipa intime ni ukweli usiopingika kuwa itakuwa ni project ambayo CCM na JK atajivunia sana...
0 Reactions
76 Replies
13K Views
wana jamvi mimi ni mchanga kwenye siasa ila najaribu kufuatilia kwa karibu yanayojiri kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.... kwenye taarifa ya habari ya saa2 usiku TBC1 mzee Msekwa alikuwa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Akiongea na BBC Juma Duni Haji "Babu" amesema wameshinikiza tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa kuwa iliyopo inafanya kazi kama kamati ya CCM kwa kukipendelea chama hicho kikongwe. Duni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume kuwahakikishia wananachi na wageni kuwa Zanzibar ni shuwari na atakayetaka kutembelea anakaribishwa mripuko mkubwa umetokea katika nyumba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kawaida kuona wanasiasa wakiwarubuni wananchi kwa kuwapa maneno matamu sana na yenye matumaini hapo mbeleni. Lakini cha kushangaza utekelezaji wake ni karibia na kipindi cha uchaguzi ndo utaona...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CHAMA cha Wananchi (CUF) jana kilitekeleza azma yake ya kuzipinga Tume za Tanzania na Zanzibar( Nec na Zec) kwa maandamano na kusisitiza kuwa tume hizo zivunjwe, ili ziundwe tume mpya huru...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesoma magazeti ya leo asubuhi SPIKA 6 anatoa statements za kudai kuwa hatuna gharama tuliyoingia kwenye mkutano huu Jambo hili sitaki kuliamini kwa sababu SPIKA 6 si mwadilifu yapotokea madili...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
WAKATI Chama cha Wananchi (CUF) kimepanga kufanya maandamano makubwa kuanzia Buguruni Sheli hadi kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, msajili huyo amepiga marufuku maandamano kufika katika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
France's Economy Minister Christine Lagarde attends a session at the World Economic Forum (WEF) in Davos on January 31, 2009. By OLIVER MATHENGE Kenya will after all not be the first East...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Arusha; Tarehe: 29th September 2009 Habari Leo SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, ametangaza rasmi kuwa amejitoa mhanga kupambana na ufisadi ili nchi isiangamie...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ASEMA WALIOJIPENYEZA MADARAKANI, SASA WANAUMBUKA Daniel Mjema, Same RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amelipua kombora jingine kwa viongozi wanaotuhumiwa kwa ufisadi, akisema kuwa...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Mimi kama Mtanzania nimeshidwa kuvumilia na mwendendo wa viongozi wa Serikali yangu yangu ya Tanzania kwa kutokuwa makini na kutoelewa nini maana ya uongozi, Maslahi ya mtu binafsi yamewekwa mbele...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom