Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Lini hasa tutawaweka KITIMOTO Mawaziri wetu ili watueleze wanaifanyia nini nchi yetu na tutegemee nini zaidi toka kwao. Utaratibu wa kila wiki kwa Mawaziri angalau wawili kuongea na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF naomba kuuliza; -Malengo/shabaha za semina elekezi kwa watumishi wa serikali kule Ngurdoto zilikuwa nini? -Mpaka sasa tunaweza kufanya tathmini yoyote kupima kama malengo hayo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lile eneo la Ukonga Banana ambalo mwana-ubalozi wa Canada alimtemea trafiki mate lilianza kutengenezwa tangu Ijumaa (11.12.2009), siku moja tu baaba ya tukio. Sijui ni kwa sababu ya tukio hilo au...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Hi hii ni kweli..???
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Waziri Chikawe asema Kikwete hawezi kuwabana mafisadi *Asema Rostam, Dk Hoseah hawakamatiki *Asikitika DPP, DK Hoseah kuparuana...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kumekuwaa na hoja mbali mbali za kumshtaki, kumwondolea kinga Raisi mstaafu mkapa kuanzia kwenye magazeti, bunge, mpaka ndani ya JF. Je ni makosa gani ambayoo utawala wa Mkapa ulifanya kwa sasa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wajameni, Pamoja na kuvurunda serikali na mawaziri wake, hii ni pamoja na baadhi ya kauli za viongozi zinazotetea mafisadi... nimuweke JK kwenye nafasi gani? Hii inaonyesha moja kwa moja kwamba...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yale maandamano ya kumuunga mkono JK yaliyokuwa yameandaliwa na waliokuwa wamejinadi kuwa taasisi za kidini hayatakewepo. Akithibitisha kutokuwepo kwa maandamano hayo mmoja wa waandaaji na ambae...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri kama njia ya kujipanga upya kukabiliana na ufisadi. Rai hiyo imetolewa juzi na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati macho na masikio ya watanzania wengi ni kusubiri kwa hamu kuhusu “Nani na Nani’ watakuwepo kwenye baraza na watakuwa ‘wapi’; mjadala wa MUUNDO umetawaliwa zaidi na kutazama “sura”. Mjadala...
0 Reactions
79 Replies
13K Views
Aliyekuwa waziri mkuu Joseph Warioba Nkwazi Mhango INGAWA hii inaweza kuonekana kama kejeli, kuna ukweli usiopingika kuwa wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi wanamuonea Mwenyekiti wa chama chao, Rais...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
I'm sorry to say this but the way things look from where I stand; we are simply screwed individually and as a nation! Or.. we are screwing ourselves.. otherwise, how can we explain the reality...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Chanzo: Raia Mwema WAKATI Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikisubiri matokeo ya kamati teule ya rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, habari zinasema kwamba Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Natumaini wengi wetu tumepata taarifa kuhusu matokeo ya darasa la Saba. Inatia aibu na kusikitisha sana kuona kuwa Hisabati ndiyo somo linaloongoza kwa wanafunzi kufeli. Zaidi ya asilimia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Whilst I am not against this idea or Prof Katima whatsoever (Soma hapo chini). As an Alumni at this very institution I am inclined to believe kwamba siasa inaua hiki chuo especially the College of...
0 Reactions
119 Replies
13K Views
Na Aristariko KONGA UCHUNGUZI wa matumizi mabaya ya fedha katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umemuumbua Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Idris Rashidi. Miongoni mwa mambo ambayo yamegundulika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza? Huu mtindo wa wafanyabiashara haswa hawa wenzetu wenye asili ya Kiasia kutaka publicity wanapotoa misaada inanikera! Hebu angalieni hii picha hapa chini ya huyu mhusika wa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010, Swali je ktk muda mchache huu uliobaki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mjadala umeshakuwa wa wazi sasa ambapo mwanzo tulikuwa tunanong'ona. Je unadhani kuna mwanaccm ambaye ni kuntu kupokea kijiti kutoka kwa muungwana??? lete jina na wasifu tuchambue hapa...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Kutwa leo ndani ya Kikao cha Baraza la Mawaziri (Extra Odinary Meeting)Walioko kiungani tupeni yanayojili.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…