UDSM-College of Engineering inaomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDSM-College of Engineering inaomba msaada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyambala, Dec 11, 2009.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Whilst I am not against this idea or Prof Katima whatsoever (Soma hapo chini). As an Alumni at this very institution I am inclined to believe kwamba siasa inaua hiki chuo especially the College of Engineering (Formally known as Faculty of Engineering (FOE) ).

  I am not a fan of "let the govt do everything" but hiki ni chuo cha hiyo govt. Govt hiyohiyo ambayo iko bize kuhakikisha UDOM inakamilika na kuwa kete yah uchaguzi mwakani, si mnajua 2010 is just tommor.

  1. Hivi hizi negligence tutaacha lini? JK aka Vasco Dagama hawezi kuspare just two abroad trips na hela hiyo ikatumika kwenye ukarabati wa chuo chetu?

  2. Hela za Epa? what if tukachukua 10% pale?

  This negligence of our govt is absolutely bullshit, ni lini tutaipa elimu priority stahili? Ni lini tutaacha kuingiza siasa hata kwenye mambo ya msingi?

  It can easily be seen kwamba the whole leadership in TZ ipo kwenye homa ya uchaguzi which is one yr away? Who will therefore come to the rescue of this issue?

  To be frank hii ni aibu kwa serikali na watanzania kwa ujumla period.

  Halafu bado kuna mijitu inatoka kifua mbele ooh serikali imefanya mambo makubwa!!!!!!!!!, JK anatisha, Ohh JK anaonewa wivu, Lets stop politics and do something!

  Haiwezekani tukawa bize kujenga UDOM wakati tukiacha one of the then finest Engineering institution ikijifia kama haina mwenyewe.

  Congratulations Prof Katima for this idea but we have to put the govt to task!

  Note: Attachement imembatanishwa fo the original doc.  University of Dar es Salaam
  COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY
  OFFICE OF THE PRINCIPAL
  P.O. BOX 35131 - DAR ES SALAAM – TANZANIA


  Tel.: +255 22 2410753 (Direct) or 4210501-9/Ext.2800 E-mail: principalcoet@udsm.ac.tz
  Fax: +255 22 2410114 or 2410411 or 2410029 Website: www.CoET.ac.tz
  Our Ref.: CoET/001/JHYK/ank November 22, 2009
  Fellow Engineers
  Dear Sir/Madam,
  Re: Launching of CoET Rehabilitation and Maintenance Fund
  The Engineering Education and Training in Tanzania started in 1973 when the then Faculty of Engineering (FoE) was established at the University of Dar es Salaam (UDSM). In 1979 the University established the Institute of Production Innovation (IPI) to serve as a link between the Faculty of Engineering (FoE) of the University of Dar es Salaam (UDSM) and the Tanzanian Industry in order to foster mutual utilization of knowledge and facilities. In 2001 FoE and IPI were merged into a College of Engineering and Technology (CoET).

  After over three decades of use, the infrastructure and machinery have run down and
  require a huge rehabilitation and replacement. The College Development Partners who injected huge sums to develop the superstructure, understandably, are not willing to fund rehabilitation and maintenance of the same. This task is supposed to be done by the Government. While we acknowledge the huge budget for personnel emoluments, over the years, the University has been receiving less and less moneys for capital investment and other charges; despite increasing numbers of staff, students and programmes. As a result, the area which has suffered most is Infrastructure Maintenance. As elaborated in the attached Brochure, the infrastructure is in bad state, and we can not let it continue to deteriorate, because this will have far reaching adverse effects to the quality of Engineering Education we
  are offering. In the bid to reverse this trend we are launching a “CoET
  REHABILITATION AND MAINTENANCE FUND”.

  Being one of key stakeholders to our College, we are appealing for your contribution to this Fund. In the table below we have indicated some figures which we consider to be modest, because we would like as many people as possible to be able to contribute. However, we appeal to those who have been touched by this noble cause to contribute more.

  S/N ENTITY
  MINIMUM AMOUNT
  REQUESTED
  (T.Shs.)

  1. CoET Senior Staff 30,000/= per year

  2. CoET Junior Staff 20,000/= per year
  3. CoET (FoE) Alumni 30,000/= per year
  4. Engineers 30,000/= per year
  3. Other Well-wishers 20,000/= per year
  4. Engineering Firms 500,000/= per year
  5. Research Projects in CoET funded locally 200,000/= per year
  5. Research Projects in CoET funded by development partners 1,000,000/= per year
  6. Non-Engineering Firms 100,000/= per year


  You may wish to pay by cash or cheque if you are within the neighborhood, CoET’s
  Main Administration Building - Accounts Office, Room No. 20; or directly into our Bank Account, details are as shown below:

  Account Name: Faculty of Engineering Rehabilitation
  Account Number: 2081100012
  Bank Name: NMB - UDSM Branch

  Thanking you most sincerely for your continued cooperation and support.


  Prof. J.H.Y. Katima

  PRINCIPAL
   

  Attached Files:

 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama hapa wanaweza pata msaada wowote... Labda kama ni msaada wa kumtusi JK
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata mawazo ni msaada mkuu! Na if JK is responsible and he is offcourse. He has to be put into task. It only matters if him and his leadership will take account into issues positively regardless of who has brought up the ideas.

  Tabia ya kujudge mawazo ya mtu na kuyalink na unproven motives haitatufikisha kokote.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ongea kwa niaba yako tafadhali.
   
 5. I

  Ilongo JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2007
  Messages: 292
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This is the way to go CoET. Msisikilize siasa hizi zisizokuwa na kichwa wala miguu ... Miongo karibu minne ya uhai wenu, mngekuwa na maono ya mbali msingekuwa mnatega bakuli leo hii ... Sasa hii isiwe zimamoto ... mkifanikiwa, basi iwe ni endelevu.

  Sahau kuhusu government. Kuna wale watakaobeza hii initiative, lakini mwendo mdundo. Watakaofaidika na ubora wa CoET ni watoto wetu ... wa kizazi hiki na vile vijavyo ...
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  This made my day.............Tehetehe............ TGIF
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unajua kiongozi huyu bwana Kibs yeye ukimwambia achague baina ya maendeleo na CCM nadhani atachagua CCM..ni mtu wa ajabu sana huyu. Watu wanajadili kuboresha uhandisi yeye analeta habari za JK.Inaonekana kumsifia JK kwake ni muhimu kuliko tatizo la ukosefu wa funds kwa college of Engineering.
   
 8. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  mwaka huo 79 chuo kiliweza kujiendesha vipi wakati nchi ilikuwa haina mining za dhahabu 6, ya gas 1, inakuwaje tunashindwa kuendesha sasa chuo wakati serikali sasa ni tajiri
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nadhani katibu mwenezi Kibs atakuwa na maelezo(sio majibu) mazuri kwa swali lako.

  Nadhani serikali yetu, kama ilivyo wananchi wake, wengi wetu, tunapenda shortcuts. Tunadhania nchi inaweza kuendelea bila kuwekeza kwenye maendeleo ya sayansi na teknolojia ili jamii iweze kuwa modern stage by stage. Tatizo la kukosa viongozi wenye maono at the same time general attitude yetu ya kutaka kuvuna tusipopanda ndio bottom line. Sometimes huwa naona aibu sana kuwa mtanzania aisee..
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Shame upon us,How come chuo kiombe msaada kwa jinsi hii? jamani tutafika kweli?Wakati huohuo mnasisitiza watu wasome sayansi ili wawe mainjinia ,wataenda kusomea wapi?
   
 11. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  The way I see it ni kwamba tumezoea mno zima moto, shortcuts na popular-but-non-sustainable solutions. Siasa mbele mengine bidae!
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Hii inaonyesha ni jinsi gani elimu isivyotiliwa umaanani katika nchi yetu. Leaders are busy after statistics. They want to use them for their political agenda.
  Hivi kweli tutaweza kufika salama kwenye knowledge based economy kwa approach hii? I wish Makamba could answer this.Anatetea sana hizi safari na madudu mengine yasiyo na kichwa wala mguu kwenye hii system
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ziondaughter safari ni ngumu................ Inatia huruma na aibu. Just imagine wajerumani wakitusikia. They had been sponsoring the college, by then faculty for about 2.5 decades. Leo is like a forgotten Orphanage somewhere in downtown Bombay. Hiyo nchi sijui ina laana gani???????????

  This is another proof kwamba Mkulu na serikali yake ni dhaifu, yeye ni kutalii tu......... Pamoja na kwamba ana amini anaonewa wivu au kuna chuki dhidi yake kutoka kwa walioshindwa uchaguzi in 2005.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Naona Prof Katima ameona hana namna ila kukimbilia kwa wale waliosoma Eng, maana wanaweza kujua umuhimu wake. Aibu kweli!!! Kweli uongozi tulionao ni dhaifu kuliko maelezo. Wamekuwa kama watalii badala ya kuwa waongozaji
   
 15. I

  Ilongo JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 25, 2007
  Messages: 292
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Safari zipi zilizoifanya FoE na sasa CoET idumae kwa miongo karibu minne tangu ianzishwe. Tusitafute majibu mepesi kwa maswali magumu. Hii ni issue siyo kwa serikali tu, hata kwa hivi vyuo vyenyewe. Kama tukiwategemea wanasiasa ndiyo watufanyie kila kitu, nakuhakikishia hatutafika popote. Ni lazima tufike mahali tuonyeshe kwamba bila wao tunaweza kujisimamia wenyewe ... na ninalazimika kuamini kwamba FoE (CoET) walizembea sana kuliona hili likitokea kwa sababu ya kutegemea misaada ya wafadhili kama Ujerumani, Sweden, Denmark, n.k. na hawakuwa na agenda ya je, hawa wafadhili wakisitisha huduma zao itakuwaje?

  Ni lini serikali ilizuia vyuo kuwa na miradi ya kujiendesha kama siyo kukosa maarifa kwa waliopewa dhamana ya kusimamia na kuviongoza vyuo hivyo?

  Wakati umefika sasa wa kubadilika kifikra ... tusiweke siasa katika kila kitu. Hizi siasa ndizo zinadumaza akili zetu. Kama tumelogwa vile!!
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kiongozi,

  Suala la sustainability ya mipango yetu ni tatizo sana sana. Nakumbuka kuna thread ya Bw. Zitto kumfagilia Chenge kwamba aliidhinisha funds kwa ajili ya barabara za huko Kigoma, nilijaribu kukataa hili suala la ujenzi wa miundombinu kwenda staili ya kisiasa, kiajaliajali na njia ya ku-lobby badala ya kuwa na roadmap ya kitaalamu hata kama kuna ukosefu wa fedha. Wengi walipinga hoja yangu na najua wataendelea kupinga hili lakini its is fair kusema hatuwezi kuendelea kwa staili hii. This method will never do the trick.

  Binafsi nakataa kuwa nchi yetu ni maskini. Wengi wa watu wetu ni kweli wana kipato kidogo lakini si mafukara. Hata ukipita huko na huko majiani, barabara kuu na mitaani unakuta vijana na akina mama wakiwa na bidhaa mikononi n.k. wakitafuta wateja. Wakulima wadogo pamoja na serikali kutokuwa na mipango ya maana bado wanacho cha kuonesha..achilia mbali watu wengine ktk kada mbalimbali za maisha.etc

  So it is not like watu wetu hawana kitu kabisa au hawana spirit ya kufanya kazi na kujiletea maendeleo yao.

  Nadhani taifa linahitaji mass modernization. Modernization ambayo ni sustainable kama ulivyosema, kwenye shughuli zao za kujiongezea kipato na hata maisha yao binafsi, nia ni kuongeza uzalishaji na kila mtu kufikia surplus. Ikifikia hatua ya watu wa kipato cha kati na kipato cha chini kutengeneza surplus, in 1 and a half to 2 decades taifa litafikia level za nchi kama Malaysia.

  Sasa kazi ya kuweka misingi na ku-spark modernization ni lazima tuwe na know-how na kuwapa watu wetu, nayo hakuna njia ya mkato kuipata hiyo knowledge. Taasisi za kutoa hiyo knowledge lazima ziwe sustained na kuchekiwa relevance ya products wanazotoa etc etc..right now it is sad, I don't see the roadmap, and I am sure the way things are we have failed before, we are failing now and we will continue to fail ad infinitum.
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nampongeza sana Eng. Prof J.H.Y. Katima kwa wazo zuri kwa kuwa hata nami nilisoma hapo miaka kadhaa iliyopita ninawajibu wa kuliona hili jambo ni muhimu hasa baada ya serikali kulisahau na sidhani kama kuna engineer ataipigia kura sisiemu tena! Pamoja na jambo hili pia Hii institute ingefanya mpango wa kuwasaidia wahitimu ili kukuza professional yao pia kuwapatia mwanga wa maisha bora baada ya kuhitim u siyo kuwaacha wakikimbizana mitahani na kuangukia kwa waarabu na wahindi na kunyonywa ujuzi wao pasipo kujaliwa! Maana ndiyo wao sasa pia wamegeukiwa kuichangia CoET sasa kama hakuna mikakati ya kuwakuza kiuchumi na kitaalam watapata wapi hata hiyo pesa ya kukichangia chuo na kukiendeleza? Pia wangetoa kipaumbele kwa wahitimu kupiga Masters na PHD(s) hapo hapo na siyo kuawatupilia mbali
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Hatuwezi kutia mguu salama kwenye competition iliyoko mbele yetu kama tunawaachia hawa wasanii waendelee kuharibu mambo hivi ilivyo.
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Dharau iliyopo kwa ile miundo mbinu naweza kudiriki kusema ndio dharau iliyopo kwa Proffesion ya uhandisi hapa Tanzania.Nchi inahitaji sana wahandisi lakini haijui jinsi ya kuwatumia.Na ndio maana wengi wanabadilisha fani na wengine wanatokomea nje ya nchi.Muhandisi ambaye atafanikiwa basi ujue katumia nguvu zake nyingi sana kutoka na kuonekana mtu,vinginevyo ni ufisadi tu ndio unaendelezwa.
  angalia hao ERB waliopewa zamana ya kuwatetea wahandisi nao hawana hata meno yanayostahili kutetea maslahi ya wahandisi.
  Ifike mahali maneno yetu yawe na matendo zaidi,lakini kuchangana siasa na professions ndio hasara zake kama hizi.
   
 20. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yea it is true ziondaugheter uhandisi hapo nyumbani is just taken for granted, I biliv viongozi staili ya jK they even think we can do without. I worked there for 10 yrs, but materially-speaking I could not achieve even a quater of what I achieved working hapa uighaibuni for 1.5 yrs. You work with the people who respect the proffession, implement your ideas and get rewarded accordingly. Inaumiza sana, I am just wondering watoto wangu wakiliona hili tangazo, juu ya nini???????/ Chuo ambacho baba anakisifia kila siku. What a shame anywayz tummuunge mkona Prof. Katima.
   
Loading...