NCCR-Mageuzi mahakamani.

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010,

Swali je ktk muda mchache huu uliobaki itawezekana?, na je isipowezekana nini kitafuata?
 
Hongera NCCR Mageuzi hatua mliochukua ni nzuri ingawa muda unaweza kuwa kikwazo.Vyama vingine vya upinzani waunge mkono NCCR Magezi kwa hali na mali.
Tume huru ya uchaguzi ni eneo ambalo CCM hawataki kulisikia kwasababu wanajua tume ya sasa imekuwa ikiwasaidia kupata ushindi wa kishindo.

NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010,

Swali je ktk muda mchache huu uliobaki itawezekana?, na je isipowezekana nini kitafuata?

Nchini Rwanda siku hizi kesi huchukua kati ya wiki na mwezi kumalizika! Kama nia ipo kesi hiyo inaweza kuisha within weeks na Tume huru kuundwa na handing over kufanywa in a month's time!!
 
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010,

Swali je ktk muda mchache huu uliobaki itawezekana?, na je isipowezekana nini kitafuata?
wataendelea kuburuza!wanaojua wanajua tu!na wataendelea kujua tu kwamba CCM ina wanachama ndani ya vyama vya upinzani
 
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010,

Swali je ktk muda mchache huu uliobaki itawezekana?, na je isipowezekana nini kitafuata?

Hii kesi itakwisha mwaka 2015 Agosti, lakini itakwisha in favour ya wajukuu zetu sio sisi.
 
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010,

Swali je ktk muda mchache huu uliobaki itawezekana?, na je isipowezekana nini kitafuata?

hawa mabwana uchaguzi umekaribia wanajitafutia umaarufu tu hawana lolote hata kidogo,
 
serikali ikidhani ni UTANI hawa wakulu wanafanya watashangaa uchaguzi unasitishwa kwa amri ya mahakama. Serikali iwe sikivu kupunguza mlolongo na failure
 
Hongera sana NCCR, mie nilitegemea kuwa chadema ndo wangekuwa wa kwanza baada ya kulizwa kule busanda na kwingineko. hii ni hatua kubwa sana haiwezekani raisi amteuwe wasimamizi na mambo yanakuja kuwa mabaya zaidi ma DED wanaposimamia uchaguzi kwa kweli kunakuwa hakuna haki kabisa. Hata kama haitawezekana mwaka huu lakini huu ni mwanzo na mengine ya mgombea binafsi itafuata.
 
Ili kesi hiyo iweze kuleta mafanikio yanayotarajiwa, inabidi Katiba ibadilishwe ili uundwaji mzima wa Tume ya Uchaguzi ubadilike pia.

Sidhani kuwa mahakama inaweza kupingana na Katiba katika hili. Kwa maana hata kama watakubali kuwa Tume ya Uchaguzi ina mapungufu, na wakataka yabadilishwe, itabidi mabadiliko hayo yafanyikie Bungeni. Sina uhakika sana kama hili linaweza kufanyika katika muda uliobaki.
 
Back
Top Bottom