Ni aibu kwa JK kuendelea kuwa kimya kwa malalamiko yote haya ya wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni aibu kwa JK kuendelea kuwa kimya kwa malalamiko yote haya ya wananchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkongo, Dec 18, 2009.

 1. mkongo

  mkongo Member

  #1
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajameni, Pamoja na kuvurunda serikali na mawaziri wake, hii ni pamoja na baadhi ya kauli za viongozi zinazotetea mafisadi... nimuweke JK kwenye nafasi gani? Hii inaonyesha moja kwa moja kwamba na yeye ni fisadi na anashirikiana na mawaziri wake kutetea usifadi. Sio lazima kugombea kipindi cha pili kama umeshindwa kazi achia ngazi wengine wenye huruma na nchi na watanzania wafanye kazi. Ni hayo tu wajameni.
   
 2. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  malalamiko magazetini hayamsumbui mwanasiasa labda mashinikizo kwa maandamano
   
 3. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ameshasema asilimia 70 mnafuata upepo!
   
 4. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Mkuu unauhakika amevurunda au unaongea bila kuwa na utafiti wa kina?tafadhali jaribu kuwa makini katika kutoa maoni yako kuhusu utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  70% inatosha sana kama wote tutafuata upepo wa kumuondoa..........
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,435
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  1. Idadi ya migomo....(hadi wa primary walimgomea)
  2. Polisi walishawahi kutishia kugoma..........
  3. Walimu........
  4. Wanafunzi..........
  5. Rushwa imepanda............
  6. Mfumuko wa bei (toka mafuta hadi vyakula).........
  7. Load lisences bei juu..........
  8. Mafisadi...........
  9. Mikataba..............
  10. endeleeeaaaaaaaaaaa..........
   
 7. m

  mwakipesile Member

  #7
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  KAKA NADHANI WEWE UPO KUNDI LA AKINA LOWASA, HAKUNA HAJA YA TAFITI KUJUA KAMA JK a.k.a Mzee wa Bembea KUWA NCHI IMEMSHINDA.
  ANGALI HATA MFUMKO WA BEI, THAMANI YA FEDHA YETU. NADHANI INATOSHA MWAKANI AKACHEZE NGOMA KWAO BAGAMOYO AU APEWE UWAZI WA UTALII.
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Mtu akipenda bwana, Chongo kwake huona ni kengeza!!!!!
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nyuki usiwe na ugonjwa wa kupenda! Yameorodheshwa na watu wengi mapungufu ya serikali ya Jakaya wala sina haja ya kuyarudia lakini kwa maradhi ya kupenda uliyonayo unaona hata hizo sekondali za YEBO YEBO zilizotapakaa kwenye kata, zisizokuwa na waalimu wala vifaa ni ushahidi wa achievements za muungwana; not to mention a mushroom of heath centres with neither medicines nor attendants!!
   
 10. mkongo

  mkongo Member

  #10
  Dec 18, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri umeshapata majibu Nyuki... acha kupenda utaona yote.
   
 11. M

  Magezi JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hakuna lolote ni uozo tu. Niambie ni kipi serikali ya Kikwete itajivunia ktk hiimiaka 5??
  1. TRL uozo
  2. IPTL uozo
  3. Richmond uozo
  4. mikataba ya madini uozo
  5. Kiwira uozo
  6. n.k.
  sasa hii serikali itajivunia lipi??
   
 12. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nani asie jua familia yako inafaidika na mzee wa kubembea? au niweke data hapa?
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145  Mkuu hebu weka data make hawa ndo wanatetea ujinga wa mafisadi wa CCM.
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Rais TZ ni pambo, Bunge ni Pambo, Baraza la Mawaziri ni Pambo. Tanzanians are the people in this great planet who can live without LEADERSHIP (president, government, parliament) and get away with it.

  One day we will have a president!
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hana lolote la maana alilofanya. Amevurunda tu. Hii inadhihirisha zaidi ya 80% ya watanzania waliopiga kura 2005 walikuwa ni WAPUUZI
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  11. Fire extinguishers.....uozo mtakatifu!
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika kama Kiwira, mikataba ya madini, plus IPTL ni vya kikwete. Ni vizuri kufanyia research hoja zenu kabla ya kuandika. Cha kujivunia anacho. Chuo kikuu cha Dodoma hujakiona?
   
 18. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #18
  Dec 20, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Load Lisences ndo nini mkuu?
  Mkapa anamakosa mengi kuliko Kikwete, Kikwete ni Chaguo la Mungu!
   
Loading...