Polisi yazuia maandamano ya kumtetea JK

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Yale maandamano ya kumuunga mkono JK yaliyokuwa yameandaliwa na waliokuwa wamejinadi kuwa taasisi za kidini hayatakewepo. Akithibitisha kutokuwepo kwa maandamano hayo mmoja wa waandaaji na ambae angekuwa mzungumzaji alisikika akisema,'Unajua bwana mkuu wa jeshi la polisi amesema hayatakuwa na tafsiri nzuri kwa walio wengi na inawezekana kusemwa kuwa mkuu anatumia dini kuvuruga nchi. Pia mzee mwenyewe yaani rais amezungumza nasi kutoka Moshi katusihi tuachane na huo mpango kwa sasa' hayo aliyasema mwalimu huyu wa mihadhara ya usiku kijuweni kwake wagati wa gahawa ya jioni leo.
 
Maandamano ya kumuunga mkono Fisadi? Bora kajisemea mwenyewe maana ni aibu huku unachota pesa ya walipa kodi halafu nafsi yako inakupinga.
 
Wait a minute!maandamano yamevunjwa kupitia kwenye kijiwe cha ghahawa?kijiwe cha mihadhara ya usiku wapi huko?Halafu wapi source?
 
Huyu jamaa naona ni mzushi, kwanza postiyake ameiweka usikuwa manane kwa saa za bongo, mgahawa ghani huo watu wanakutana mida hiyo? Au walikuwa night club wakati wanatoa tammko hilo?
 
Wewe Wacha acha kumtukana Rais wangu kwa kumwita fisadi.Tafadhali aisee acha hizo
 
Source ni kwa mujibu wa kauli ya mmoja wa waliotarajiwa kuzungumza ktk maandamano hayo. Yeye ni mhadhiri wa kiislam anaetokea mkoa wa Mbeya
 
Mzushi? Sasa wewe toka na bango lako ulilokuwa umeandaa eone kama utawakuta wenzako.
 
Niliiona kwenye habari..Ni kweli yamesitishwa , maana yangevaa sura ya dini mojakwa moja.
 
Maandamano ya kumuunga mkono Fisadi? Bora kajisemea mwenyewe maana ni aibu huku unachota pesa ya walipa kodi halafu nafsi yako inakupinga.

Mkuu punguza munkari japo ni kweli kwamba inauma sana
 
Yale maandamano ya kumuunga mkono JK yaliyokuwa yameandaliwa na waliokuwa wamejinadi kuwa taasisi za kidini hayatakewepo. Akithibitisha kutokuwepo kwa maandamano hayo mmoja wa waandaaji na ambae angekuwa mzungumzaji alisikika akisema,'Unajua bwana mkuu wa jeshi la polisi amesema hayatakuwa na tafsiri nzuri kwa walio wengi na inawezekana kusemwa kuwa mkuu anatumia dini kuvuruga nchi. Pia mzee mwenyewe yaani rais amezungumza nasi kutoka Moshi katusihi tuachane na huo mpango kwa sasa' hayo aliyasema mwalimu huyu wa mihadhara ya usiku kijuweni kwake wagati wa gahawa ya jioni leo.

Nasikia maandamano yalipangwa kumalizwa na ALBADIR nzito ya kuwalaani na kuwaombea wapate MABUSHA wooooote wanaomsema vibaya Rais Fisadi.....! Kudadadeki
 
Maandamano ya kumuunga mkono Fisadi? Bora kajisemea mwenyewe maana ni aibu huku unachota pesa ya walipa kodi halafu nafsi yako inakupinga.

Nafsi yake inamsuta; mimi mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hivi kweli huyu Jakaya kama angekuwa anatoa fedha toka mfukoni mwake angefanya safari hizi ya kitalii akifuatana na genge kubwa la wapambe? Jibu ninalolipata ni kwamba anafanya hivyo kwasababu fedha anazotumia sio zake na hawaonei uchungu wenyewe wenye mali.!!!
 
Nasikia maandamano yalipangwa kumalizwa na ALBADIR nzito ya kuwalaani na kuwaombea wapate MABUSHA wooooote wanaomsema vibaya Rais Fisadi.....! Kudadadeki

DUH. HII KALI!! Lakini ingewarudia wao au kumwendea wanaedhani kumtetea maana mpango huu wa maandamano ulikuwa ni mchongo wa watu kutokea.
 
Nasikia maandamano yalipangwa kumalizwa na ALBADIR nzito ya kuwalaani na kuwaombea wapate MABUSHA wooooote wanaomsema vibaya Rais Fisadi.....! Kudadadeki

DUH. HII KALI!! Lakini ingewarudia wao au kumwendea wanaedhani kumtetea maana mpango huu wa maandamano ulikuwa ni mchongo wa watu kutokea. Na kuna habari pia walitaka wawezeshwe ili wazunguke nchi nzima.
 
Source ni kwa mujibu wa kauli ya mmoja wa waliotarajiwa kuzungumza ktk maandamano hayo. Yeye ni mhadhiri wa kiislam anaetokea mkoa wa Mbeya

Mkuu umeelewa swali lakini?Source ni kwa mujibu wa kauli maana yake nini hasa?Huyo mhadhiri wa kiislam alikwambia wewe uko kijiweni?And if thats the case sorce ndo kijiwe?Kuwa specific basi mbona hujishughulishi hata kidogo kufikiri?
 
Wadau msipumbazwe,hiyo ni kete ya JK kujipatia umaarufu.
keshokutwa mtamsikia akijisifia kuzuia hayo maandamano kwa madai eti anafuata msingi wa utawala bora ili aonekane anaweza hata kuzuia watu wanaotaka kumtetea in a public
 
Mkuu umeelewa swali lakini?Source ni kwa mujibu wa kauli maana yake nini hasa?Huyo mhadhiri wa kiislam alikwambia wewe uko kijiweni?And if thats the case sorce ndo kijiwe?Kuwa specific basi mbona hujishughulishi hata kidogo kufikiri?

NAAM MKUU, SOURCE NI KIJIWE. Issue yenyewe aliandaliwa na kuratibiwa na mwanamihadhara huyu wa kiislam. Alitumia mwanya wa kupitia kwa mzee mmoja na mwanachama wa siku nyingi wa ccm ambae nae hupata ghahawa kijueni hapo. Alimfuata ofisi ndogo ya ccm lumumba kumshawishi juu ya azma yake ya kuandaa maandamano na alipokubaliwa ndio akawatafuta wanamihadhara wa kikristo wanaobishania dini pamoja ili watakapoenda kuomba kibali polisi isionekane kwamba ni waisilamu peke yao wanaotaka kuandamani. Hivyo walikubaliwa na kuahidiwa ulinzi kabla ya kusitishwa siku moja kabla. Kilichosababisha yasitishwe ghafla ni habari za kiintelejensia zilizogundua kuwa mwandaaji wa maandamano haya miezi kama mitatu hivi iliyopita alipandishwa kwenye jukwaa la CUF na alimkanyaga Kikwete kinoma. Na hivyo kusababisha wasi wasi ikiwa kuna dhamira ya kweli ya kumuunga mkono mheshimiwa Kikwete au ni janja ya kutaka kumharibia zaidi.
 
Wewe Wacha acha kumtukana Rais wangu kwa kumwita fisadi.Tafadhali aisee acha hizo

Ninavyojua jina lake mpaka leo hii limo kwenye ile orodha ya mafisadi (List of Shame) iliyoanikwa na mzalendo (mwenye uchungu wa kweli na rasilimali za taifa) pale Mwembeyanga, Temeke. Tafadhali aisee unatuongezea uchungu.
 
Back
Top Bottom