Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,013
- 78,975
Naombeni kuuliza? Huu mtindo wa wafanyabiashara haswa hawa wenzetu wenye asili ya Kiasia kutaka publicity wanapotoa misaada inanikera! Hebu angalieni hii picha hapa chini ya
huyu mhusika wa CMC Automobile anam-pimp Rais wa nchi kama kwenye kile kipindi cha PIMP MY RIDE cha Xhibit na probably baada ya kumkabithi funguo alimvuta koti lake kwa juu na kumwambia you are official pimped Mr Wakubembea!! halafu wa kubembea atakuwa alirudi Ofisini akaning'inia na kujizungusha kitini na kusema thank you CMC Automobiles for pimping my hospitals! Hahahah we got a President here!
JK (Wakubembea) anapokea ambulance mbili toka kwa huyu mhusika ndani ya Ikulu mtumeeee! Asalalalah! na ni kweli serikali hii ya Wakubembea iko pimped kwelikweli na ganstars
Jamani hii ikulu imekuwa sehemu ya kupokelea zawadi sio? yale ya Mzee Ruksa yanajirudia tena? Hii ni aibu gani kwa taifa letu! Tujiulize je thamani ya magari hayo mawili ni nini? Na kwa nini zawadi hizi zisipokelewe na hospitali lets say Ocean Road Hospital au Muhimbili kuna wakuu pale! Ni kwanini napinga huu mwenendo wa Wakubembea kukumbatia watui wenye personal interest na utawala wake! Ikumbukwe hii zawadi inatoka kwa mtu au kampuni binafsi na sio taasisi na hainijii akilini mpk lini tutaendelea kupuuza malalamiko ya wadanganyika juu ya Ikulu kudhaminiwa?
Juzijuzi pia Bwana Mwema alipokea zawadi toka kwa wale wanaojiita CEO Roundtable yaani vitu kama baiskeli, pikipiki, ving'ora, viatu na kofia pia! Sasa tujiulize hawaku-submit na authority yao pia kwa hawa mabwana? Ni serikali gani tuliyonayo inayoshindwa hata kununua viatu vya maafande wetu wakaheshimika katika kuilinda dola? Kodi yetu inaenda wapi? Mimi napinga kusaidia Polisi nakataa kabisa huu mchezo mchafu!! nauhakika leo hii mimi mlala hoi nikienda kuwashitaki jamaa wa CEO Roundtable sitapewa haki! Na kuhusu hizo ambulance, sidhani Ikulu ni mahali pa kupokea zawadi, huku ni kuiaibisha dola kulikokubuhu na kuonekana sawa namna hii, hizo ambulance zingeweza kupelekwa mahospitalini direct zikapokelewa na Mkuu wa hospitali! Bila ya kuanza kuleta picha chafu namna hii, ati Rais apokea ambulance mbili Ikulu na huyo huyo alikataa kwenda kwenye ufunguzi wa Hospitali Selian Arusha ambayo inapunguza makali ya serikali yake kwenye kutekeleza wajibu, where is his priorities?
Kwa wale wanaosema tunamchukia Kikwete naomba waangalie jinsi utaratibu unaokubalika unavyofanyika hapa chini tunaona WHO (an institution inaenda moja kwa moja kutoa misaada kwa wizara husika na hata kama Waziri asingekuwepo wao wasingejali! Kwa vile hawa watu (UN) wamepitia hizi zama za kurubuniwa na makampuni binafsi! Wakaelimika wakaja na Protocol sasa nashangaa unapokuwa na Katibu wa Ikulu na Msemaji wa Ikulu na msururu wa wasaidizi halafu wanashindwa kumshauri huyu Mkwere wetu ku-behave accordingly inatia kinyaa! haiwezekani kila mtu aende kutoa misaada kwa Rais! basi ni kwanini tunasema hivi? Hulka ya wafanyabiashara hutumia fursa hizi kwa interest zao binafsi! Na pia itasaidia kupunguza ile bad image na pia nafasi ya Rais kurubuniwa (Imagine kesho inagundulika CMC Automobiles wamekwepa kodi na katika utetezi huyo mhusika anasema pesa ya kodi alitoa msaada wa Ambulance mbili Ikulu! Je Wakubembea atajiuzulu na kashfa hiyo itashughulikiwa vp how tainted will the State House be?)! Guys get it, that is not acceptable only in Tanzania (with the exception to other third World Countries) that happens!
Hapa Dr Mwakyusa anajaribu gari jipya toka WHO
Na hapa pikipiki mpya! hamna siasa au mambo binafsi ni ofisi kwa ofisi! naomba Wabunge walione hili na hata kulitungia sheria Ikulu isiwe mahali pa kupokea mayai, vitumbua na mikate toka watu/kampuni binafsi!
Picha zote kwa hisani ya Faustine baraza blog (www.drfaustine.blogspot.com)