Tanzania inahitaji chama mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania inahitaji chama mbadala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juaangavu, Nov 6, 2009.

 1. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2009
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wadau, Tanzania yetu ilipofika inahitaji chama mbadala, tofauti kabisa na hiki kilichotudondosha mikononi mwa mafisadi. Dukuduku langu linakuwa ni kipi hasa kitakachotumia udhaifu wa viongozi wa hili chama letu la mafisadi, ili kuweza kuwanusuru watanzania wanaokata tamaa kila kunapokucha.
  Mazingaombwe si mazingaombwe, Maigizo si maigizo ili mradi ni mazonge kila mahali. Mola hatuepushe.
   
Loading...