Waziri Mwangunga anasulubiwa! Live toka Bungeni

Mayolela

JF-Expert Member
Sep 21, 2009
384
6
Wana JF, kwa sasa wazizi wa uatali Shamsa Mwangunga anajieleza bungeni baada ya mbungu wa Loliondo kuwasilisha hoja yake ya unyanyanyasaji wa wafugaji kule Loliondo - kweli anapumulia mashine kwani yupo out off kabisa anaomba muda uishe ili bunge liaoirishwe.

Mbunge wa wa Loliondo ana hoja 14 ambazo anataka majibu. Waziri hakika anajichanganya sana kiasi kwamba wabunge kuguna.

Ndio huyu mnataka awe mbunge badala ya Keenja haiwezekani uelewa wake ni mdogo sana, kang'anag'ania sana karatasi.
 
"Ndio huyu mnataka awe mbunge badala ya Keenja ,aiwezekani uelewa wake ni mdogo sana,kanganagania sana karatasi."

sijajua kahoja yako ni kujichanganya kwake au ishu ya ubunge ebu eleza vizuri maana hata wabunge walioko bungeni wako wenye uelewa mdogo na pia kuna mawazili wanajchanganya piaa..!!
 
Mwangunga ni matunda ya kubebana na kupendeleana katika siasa za nyumbani Tanzania, mara zote ona anavyo jieleza kunapokua na issue za moto. hakika Loliondo mwangunga ni maji mazito , hawezi kuyaoga. Ikulu wanamajibu, huenda Pinda atamuokoa.
 
kwani ukibadilisha font na color unaumia sana???
 
Kweli amebanwa! Km alivyosema Ole Sendeka maelezo mengi si ya kweli anayoyatoa ndio maana alikuwa anasitasita sana katika kusoma taarifa yake
 
Wana JF, kwa sasa wazizi wa uatali Shamsa Mwangunga anajieleza bungeni baada ya mbungu wa Loliondo kuwasilisha hoja yake ya unyanyanyasaji wa wafugaji kule Loliondo - kweli anapumulia mashine kwani yupo out off kabisa anaomba muda uishe ili bunge liaoirishwe.

Mbunge wa wa Loliondo ana hoja 14 ambazo anataka majibu. Waziri hakika anajichanganya sana kiasi kwamba wabunge kuguna.

Ndio huyu mnataka awe mbunge badala ya Keenja haiwezekani uelewa wake ni mdogo sana, kang'anag'ania sana karatasi.

Mwache wambane kwani kazi yake haijui na kama haijui aliyempa kazi naye hajui? na kama naye hajui bado wanafanya nini badala ya kujiuzulu?
 
Hayo ni matunda ya viti maalum ambavyo CCM wanatumia kujaza Bunge kwa kuwagawia rafiki zao wasio na uwezo.
 
"Ndio huyu mnataka awe mbunge badala ya Keenja ,aiwezekani uelewa wake ni mdogo sana,kanganagania sana karatasi."

sijajua kahoja yako ni kujichanganya kwake au ishu ya ubunge ebu eleza vizuri maana hata wabunge walioko bungeni wako wenye uelewa mdogo na pia kuna mawazili wanajchanganya piaa..!!
Yanakwenda yote yanakwenda pamoja,kipi uelewi????
 
wewe jadili Issues achana na mambo yangu binafsi na utashi wa namna wa kutambulisha na kuweka mbwembwe.

mbwembwe zako zimezidi... nashindwa kusoma unachoandika ... anyway ninajitahidi kusoma though huandiki kitu cha maana.
 
Naona umemaliza kozi ya introdaksheni tu kompyuta ndio unatuletea hayo mapozi yako ya introdaksheni tu mikrosofti wedi...kua dogo badili hizo fonts zinakera na punde nitakushitaki kwa modereta.
 
mbwembwe zako zimezidi... nashindwa kusoma unachoandika ... anyway ninajitahidi kusoma though huandiki kitu cha maana.
Mipaka yako yakufikiri inakutesa kifikra, uhuru wangu wakujieleza na kutoa maoni nautumia vilivyo, bila kuathiri haki yako na ubinadamu wako na wawengine wote.
Sitoi maoni kwaajili ya kufurahisha hadhira wala nini.
Swala la wewe kutokuona hii font aah ,hilo sijukumu langu naamini natunia namba 3 , hii inatosha sana. kamwone daktari wa macho.
 
Hayo ni matunda ya viti maalum ambavyo CCM wanatumia kujaza Bunge kwa kuwagawia rafiki zao wasio na uwezo.

Inabidi tuangalie hawa wabunge wa viti maalum wanawajibika kwa nani hasa. Kikatiba mbunge anawajibika kwa wanannchi waliomchagua. Je hawa wa kuteuliwa wanawajibika kwa nani hasa? Bila shaka anawajibika kwa aliyemteua hawezi kuwajibika kwa wananchi (Watanzania). Kujichanganya kwake ni kwa sababu anafuata matakwa ya Bwana Mkubwa
 
Mipaka yako yakufikiri inakutesa kifikra, uhuru wangu wakujieleza na kutoa maoni nautumia vilivyo, bila kuathiri haki yako na ubinadamu wako na wawengine wote.
Sitoi maoni kwaajili ya kufurahisha hadhira wala nini.
Swala la wewe kutokuona hii font aah ,hilo sijukumu langu naamini natunia namba 3 , hii inatosha sana. kamwone daktari wa macho.

Inakula space na ni kero mkuu
 
sijajua kahoja yako ni kujichanganya kwake au ishu ya ubunge ebu eleza vizuri maana hata wabunge walioko bungeni wako wenye uelewa mdogo na pia kuna mawazili wanajchanganya piaa..!!

NI VIGUMU FISADI KUMUELEWA MTU KAMA KILANGO.MWAKYEMBE UKITAKA KUELEWA ZAIDI RUDI KWENYE CHAMA OMBA MSAADA
 
Back
Top Bottom