Transparency International: Corruption perception Index 2009 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Transparency International: Corruption perception Index 2009

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwame Nkrumah, Nov 18, 2009.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wakuu list ya most corrupt countries kwa mwaka 2009 imetolewa tayari na TRANSPARENCY INTERNATIONAL.

  Angalia http://www.transparency.org/policy_research/surveys_indices/cpi/2009/cpi_2009_table

  Tanzania ni nchi ya 126 kati ya nchi 180 zilizopimwa. New Zealand ni nchi ya kwanza. Uganda ya 130.

  There are some interesting facts in the report too, Kenya, Zimbabwe, Russia na Sierra Leone are all tied at 146. Somalia ni nchi ya mwisho at 180.
  Angola ni ya 162 pamoja na utajiri wote wa Almasi na mafuta. Libya pia ni ya 130.Ghana ya 69. South africa 69. Botswana 37, and i think according to this report, the least corrupt country in Africa. USA is at 19.

  Nimeshangaa kidogo pia Kenya kuna rushwa zaidi kuliko Tanzania !! Do we need to pat ourselves on the back ? Soma ripoti and share your views,

  =====================

  Amidst a surging global economy, rising environmental challenges,poverty and food crisis ,corruption continues to pervade most human societies.This is revealed in the annual global corruption and country indices report prepared by Transparency international. The 2009 Transparency international Corruption Index released on Tuesday in Berlin,Germany indicates " that no region of the world is immune to the perils of corruption".

  As usual this blog has always taken an interest in the corruption index and makes it a point to discuss the report on annual basis. In this years Corruption Index Kenya has improved with a point from 2008 where its corruption perception index was placed at 2.1 to 2.2 in 2009.Indicating that there has been some relative improvement. The Corruption Perceptions Index (CPI) is used in measuring the perceived level of public-sector corruption in 180 countries and territories around the world. The CPI is a "survey of surveys", based on 13 different expert and business surveys.The survey involved a random sampling of 3500 households between April and May 2009.


  It is good to note that among public institutions that have drastically improved include the Kenya Ports Authorities and Private Universities. New entrants include the Ministry of Public Works, the National Hospital Insurance Fund(NHIF),the National Social Security Fund(NSSF) and the Teachers Service Commission. This revelation leaves many Kenyans worried as such institutions directly relate to their preset and future well being.The top 20 most corrupt institutions in East Africa(i.e Kenya Uganda and Tanzania) according to the report by rank were:

  • 1.Kenya Police
  • 2.Tanzania Police
  • 3.Ministry of Defence-Kenya
  • 4.Judiciary/Courts-Tanzania
  • 5.Uganda Police
  • 6.Immigration-Tanzania
  • 7.Uganda Revenue Authority
  • 8.Judiciary-Kenya
  • 9.Uganda Public Service
  • 10.Ministry of Defence-Uganda
  • 11.Ministry of Public Works-Kenya
  • 12.Northern Uganda Social Action Fund-Uganda
  • 13.Ministry of Lands-Kenya
  • 14.Judiciary-Uganda
  • 15.Nairobi City Council-Kenya
  • 16.Ministry of Labour-Kenya
  • 17.TANAPA-Tanzania Mombasa City Council-Kenya
  • 19.Mulago Hospital-Uganda
  • 20.Umeme-Uganda

  Interestingly 90% of those surveyed in Kenya ranked Kenya as being between corrupt and extremely corrupt indicating why the fight against corruption should receive serious concerns for all of us.Since in essence corruption is carried out by individuals.As a lot Kenyans were seen as pessimistic as to whether corruption would decline in the next coming year.

  In Africa Botswana is placed a the least corrupt Country at 5.6 points followed by South Africa at 4.7 and and Namibia 4.5. In East Africa Ethiopia is perceived as the Least corrupt in the Transparency internationals report followed by Tanzania. Sudan and Somalia are almost placed in the same margin which is quite an indictment.You can download the East Africa Bribery Index report(PDF)at the following link EABI LINK
   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Mkuu:

  Index hii haitumiki katika mashindano kwamba nchi moja imeishinda nyingine. Hiki ni sawa na kipimo cha ugonjwa kinachopima idadi ya virus katika miligram moja ya damu (viral load).

  Hivyo hakuna cha kupongezana hapa. Kazi ni kutafuta tiba.
   
 3. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Agreed. Kama ni hivyo basi nchi yetu ni gonjwa sana, ukilinganisha na nchi kama Botswana, Tuna safari ndefu.
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  mbona hujasema Tanzania imeporomoka toka nafasi ya 94 mpaka 124 ikiwa chini ya Vasco Da Gama wako? Acha ushabiki tunaumia!
   
 5. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nilikuwa sijagundua hilo. Mimi siyo mshabiki wa Vasco. TZ ni ya 126, siyo 124.
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180

  Geza Ulole unaboronga katika ku-interpret index. Cha kuangalia ni index yenyewe na sio nafasi ya nchi.

  Index ya Tanzania hipo palepale. Kilichofanyika ni nchi zingine ku-improve index zao na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya 124. Lakini ukweli wa mambo index ya Tanzania hipo palepale kwa miaka mingi.

  Hii hapa ni index ya Tanzania kuanzia 1998 - 2009 ikianza na mwaka, nafasi na index yenyewe:

  1998 - 81 - 1.9 (Nchi zilizoshiriki 85)
  1999 - 93 - 1.9 (Nchi zilizoshiriki 99)
  2000 - 76 - 2.5 (Nchi zilizoshiriki 90)
  2001 - 82 - 2.2 (Nchi zilizoshiriki 91)
  2002 - 71 - 2.7 (Nchi zilizoshiriki 102)
  2003 - 92 - 2.5 (Nchi zilizoshiriki 133)
  2004 - 90 - 2.8 (Nchi zilizoshiriki 145)
  2005 - 88 - 2.9 (Nchi zilizoshiriki 158)
  2006 - 93 - 2.9 (Nchi zilizoshiriki 163)
  2007 - 94 - 3.2 (Nchi zilizoshiriki 179)
  2008 - 102 - 3.0 (Nchi zilizoshiriki 180)
  2009 - 126 - 2.6 (Nchi zilizoshiriki 180)

  Ukiangalia score ya Tanzania hipo kati ya 1.9 na 3.0, kitu ambacho kinaonyesha bado rushwa ni mtindo wa maisha.
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
 9. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180

  Mkandara:

  Kuna thread chini kule inazungumza haya. Ninachoona ni watu kushindwa kutafsiri index zenyewe.

  Hakuna ushindani katika index hii. Kinachotakiwa ni kuangalia score yako na kujitibu. Hivyo hata Tanzania ikishika nafasi ya saba, lakini score yake ikawa bado ni 3.0 bado itakuwa nchi corrupt. Na vilevile Tanzania kuwa nchi ya 126, haina maana imefanya vibaya kuliko miaka mingine.

  Hii hapa ni index ya Tanzania kuanzia 1998 - 2009 ikianza na mwaka, nafasi na index yenyewe:


  1998 - 81 - 1.9 (Nchi zilizoshiriki 85)
  1999 - 93 - 1.9 (Nchi zilizoshiriki 99)
  2000 - 76 - 2.5 (Nchi zilizoshiriki 90)
  2001 - 82 - 2.2 (Nchi zilizoshiriki 91)
  2002 - 71 - 2.7 (Nchi zilizoshiriki 102)
  2003 - 92 - 2.5 (Nchi zilizoshiriki 133)
  2004 - 90 - 2.8 (Nchi zilizoshiriki 145)
  2005 - 88 - 2.9 (Nchi zilizoshiriki 158)
  2006 - 93 - 2.9 (Nchi zilizoshiriki 163)
  2007 - 94 - 3.2 (Nchi zilizoshiriki 179)
  2008 - 102 - 3.0 (Nchi zilizoshiriki 180)
  2009 - 126 - 2.6 (Nchi zilizoshiriki 180)
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ripoti inayzunguzia Tanzania nzima iko wapi?

  hawa jamaa si wako hapo Nairobi tuu au wametimuliwa?
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nakusoma mkuu, score inaonyesha scope ya corruption hivyo hata zikiwa nchi mbili Ubaya wa score ama uzuri wake utabakia palepale..Kama vile mashindano ya kucheza dance au diving!
  Ila hiyo kushika nafasi ya 126 inatuonyesha zaidi upana wa survey yao hivyo kwa wale wanaotaka kulinganisha nchi wapate kujionea ya Firaun, maanake waswahili ubaya wakitu hutazama kwa jirani na sii nafsi zetu wenyewe. Ukitaka kuelewa how worse Corruption ipo nchini ni kwamba tupo tofali moja tu juu ya the worsiest..inatisha!
   
 12. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  GT:

  Nadhani methologies wanazotumia sio science. Hivyo wakitoa ripoti nzima, itabidi uwaulize jinsi walivyofikia vigezo vyao na takwimu gani wanatumia. Maana mwaka huu wameiweka Somalia, wakati hakuna mtu anayeweza kutia mguu kule kufanya research.
   
 13. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Hiyo nafasi isikutishe mkuu. Kwa sababu index yenyewe ni sawa na index ya ustaarabu.
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  hii safi

  kwa hiyo next time mtu akija na mbwembwe za quotes from TI tutajua kuwa hawa jamaa hawako credible au vipi

  na pili si vibaya kupitia profiles za hao waliosaidia kuandika ripoti ya Tanzania ya 2003

  ahsanteni
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Zakumi,
  Hapana mkuu wangu Corruption yetu naijua iliposimama kwa hiyo inanitisha hata kabla ya hizi index, kitu kimoja tu ni kwamba inawaeleza hata wale wasiotujua kwamba sisi ni corrupt. Lazima hofu iwepo unapozingatia uwekezaji..Inaondoa uwezo wetu mkubwa wa mafanikio.
   
 16. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180

  Mtu asiyekujua haji Afrika. Wanaokuja wanatujua.
   
 17. M

  Mkandara Verified User

  #17
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hiyo kweli kabisa...Lakini ndio sehemu zote dunani mkuu wangu. Wanokwenda Poland wanakujua na wanaokwenda US wanakujua vile viole laasivyo Wa US angekuwa Poland.
  Waswahili wanasema bora ya kuwa mkia, mtu wa mwisho kuliko kinyeo kilichofichwa na mkia!
   
 18. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Hila rushwa inarudisha maendeleo kwa wananchi wazawa. Lakini kwa wawekezaji, they make a kill. Hivyo kama kubadilika ni kwa manufaa ya nchi yako na sio kuvutia wengine.
   
Loading...