Barabara zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamasala, Nov 19, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tulitakiwa tuwe na barabara kama hizi tangu uhuru,Dar-Dodoma,Dar-Iringa maana roads zetu ni chinjachinja

  [​IMG]
   
 2. K

  Koba JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Topic kama hii ni police post kwa wengi maana hawana cha kuongea zaidi ya majungu ya kina Simba na Makamba,unategemea maendeleo gani kwa watu ambao wako consumed na nani kasema nini?
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Usitake nilie machozi kwa ujinga ambao nchi zetu zimekuwa nao. Kinachonisikitisha ni jinsi itakavyochukua tena miaka mingine zaidi ya 100 kabla ya kitu hii haijaonekana Tanzania:(
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwa magari mangapi?
   
 5. D

  Dina JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kwa TZ, that's asking for too much...manake hayo maporomoko yaliyopo kwenye vinjia vyetu, utafikiri dhoruba iliwahi kupita.
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  You couldnt have said beter, reminds me of what happeded today in the morning. The jam to town, 2 hrs 30 minutes in a jam for just 26 kilometres. Keli bongo tambarare??????? No nadhani tuko kwenye mteremko halafu brake zimekatika na mbele kuna kona.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha kwa uongozi huu na siasa ya nchi yetu tutaendelea kuziangalia barabara nzuri kwenye picha kama hivi
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ni kwa kodi ipi kila mtanzanaia anyoitoa?
  Wenzetu wanafanyakazi bwana,na kulipa kodi.
  Sie kutwa kufukuzana na biashara za aina ya machinga, na hizo barabara tutajengea kwa hela za mawe?
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nashangaa...toka uhuru tuwe na barabara za namna hii.... isingewezekana....kwanza wenye magari wote majina yao yalikuwa ikulu kwa Nyerere........... na ukikamatwa na dilali moja utaeleza ulikoitoa .......... kuwa na TV ilikuwa ni anasa isiyo kifani.......... Itakuwa hizo barabara.???? Tutaishia kuziona kwenye picha tu kama ilivyokwisha kusemwa na mmoja wa wachangiaji.
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Bado tuna nafasi ya kufanya haya....mbona India ndo wanazijenga leo? bado hatuja chelewa!!! CHADEMA inaweza kujenga walau moja.....wasi wasi wangu je ni lini watachukua madaraka?
   
 11. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nashangaa hata wakati wa Nyerere,kwa nini aliwakubalia contractors kujenga barabara ya Single lane from Dar to Dodoma.Bila shaka Nyerere alipokuwa Scotland aliona barabara za wazungu.TANROADS is a joke,ni ulaji tu.

  Chinjachinja ilikuwepo miaka ile wakati Mrema akiwa Home Affairs,mpaka akabadili usafiri wa mabus kuwa mchana njia ya Dar to Dodoma.Wakati wa Ukoministi wa Chinese wangeweza kutujengea barabara nzuri tu kwa pesa ndogo kama walivyofanya TAZARA
   
 12. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa viongozi gani kutoka chadema kina mbowe na mwafrica mawzo yao yamejaa mvinyo (akili ndogo) na kuendesha biashara ya disco lol..chadema itaongeza idadi ya walevi tanzania ndani ya miaka mitano ya mwanzo..miaka inayofuatia watafukuzwa ikulu kama umbwa mwitu mungu aepusha balaa la chadema lol.
   
 13. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tumain wewe ni kada ya CCM it seems.We talk about roads in Tanzania!about Chadema,it is pu to the learned electrolate!Bahati mbaya wananchi wetu bado sana,
  ambao wengi wako vijijini
   
 14. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #14
  Nov 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hujui unachoongea... Search hapa hapa JF kuhusu barabara za Tz, kuna somo zuri juu ya hilo!

  Ukimaliza kusoma uje na hoja yako mpya, na sio aina hii ya mada!
   
 15. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Haya ndo matunda ya kuzaliwa na mzazi akiwa balozi wa ccm hata fikra na mawazo yanalenga kutetea chama na si kuangalia ukweli wa mambo.Kwani kama ni kufukuzwa hata waliopo ikulu sasa hivi nafuu kama una hao mbwa kawaondoe maana wanatugeuza watanzania kuwa vichwa vya wendawazimu zaidi.
  Barabara zetu ndo wanajaza michanga kila leo ili tu masika izolewe na mvua kiangazi wapate ulaji.
   
 16. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #16
  Nov 20, 2009
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa ufisadi ulioota mizizi hata ukilipa kodi kiasi gani hakuna kitakachofanyika. Suala si tu kulipa kodi bali ni uwajibikaji wa hao wanaotunza hazina yetu. Hakuna mantiki kulipa kodi kwa ajili ya kunufaisha wezi wachache.
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Nov 20, 2009
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni. NYERERE
   
 18. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #18
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu huna haja ya kuserach hii. Ukitoka nje tu ya hapo ulipo unaweza kuna hali halisi. Au safiri kwa kilometa 50 tu utaona hali ilivyo. Serikali ya Mkapa ilijitahidi sana kujenga barabara lakini still bado hatujaweza kufikia level ya mkoloni.

  Barabara zetu ni mbaya, let us admit it.
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 20, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  tujipe miaka 20 ijayo labda kwa huu utawala maisha bora kwa kila mtanzania
   
 20. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #20
  Nov 20, 2009
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi Tanzania kuna magari mangapi? Huyo aliyesema kuwa barabara ya lane tatu kwenda Dodoma ingekuwepo toka enzi za uhuru yuko serious kweli?

  Tatizo ni msongamano, tena sanasana hapa Dar. Sasa Dar to Dom kuna msongamano gani? Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna magari kiasi hicho, leo magari yameongezeka sana tu...sasa si ni jukumu la waliopo sasa kutengeneza.

  Sehemu ngapi ukipita unakuta nyumba zimepigwa 'X' kwa sababu zimejengwa ndani ya road reserve, walioweka hio masterplan si ni wakoloni na serikali ya awamu ya kwanza.
  Ile barabara ya Bagamoyo ilitakiwa ijengwe lane mbili kila upande, lakini wao wameweka tatu barabara nzima, wheres the logic?

  Lowassa alikuja na mpango wa kutumia lane za upande wa pili wakati wa rush hour Ali Hassan Mwinyi Road, now kaondoka yeye na utaratibu wake kaondoka nao.

  ...Ndivyo Tulivyo!
   
Loading...