Kwanini cheo cha Kafulila asipewe Lwakatare?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,226
79,516
Jamani huu ni muda muafaka wa kujipanga vizuri ýaani kama daladala anatoka mtu anaingia mtu! Inaonyesha baadhi ya vijana wana ndoto za madaraka tu! Wakishindwa kuyapata basi wana-quit!
 
Kwani kila mtu kaandikiwa kuwa kiongozi?, basi wengine tuwe washauri sio kukosa madaraka unaamua kujivua uanachama ukisemwa kudogo unaamua kujivua uanachama tusiwe na roho ndogo ya kuzira.
 
simaanishi kupeana as you think! Lwakatare anaweza kuwa msaada zaidi kwa vile ni muelewaji
 
Lwakatare = Kufulila..maana ni watu wa kuhamahama vyama kama kawaida..lol..do you still believe thins kind of people...chadema mmeishiwa kwelikweli..hakuna mwanachama mwingine ajabu..?
 
Back
Top Bottom