Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Katika nchi ambayo watu huthamini pesa kuliko ukweli,
Kama mtu huna Nguvu ya pesa ,
huwezi kuwa na NGUVu ya kisiasa.
Kwa hiyo, kama kuna yeyote anahitaji sera za siasa zake kuwa na nguvu,
sharti awe na nguvu ya kifedha.
Wenye pesa husikilizwa zaidi kisiasa.
Hivyo basi, hata vyama vya Siasa ambavyo haviko vizuri kifedha,
havitafua dafu katika siasa.
Kujiingiza katika siasa bila fedha ni kujipotezea muda kama wanachi hawajui thamani ya demokrasia na utu wao.