Seif, Karume waitibua CCM
Mwandishi Wetu
Disemba 30, 2009
Yadaiwa wamekwenda kinyume cha maagizo ya NEC Butiama
CUF: Ni uoga wa vigogo CCM
MARIDHIANO ya Rais Amani Karume na Katibu Mkuu wa...
Wavamia makampuni makubwa kuomba fedha za kampeni
na Mwandishi Wetu
IKIWA imebaki siku mbili kabla ya kuanza mwaka mpya, homa ya uchaguzi mkuu mwakani inazidi kupanda huku baadhi ya wagombea...
Na Mwinyi Sadallah,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, kimeitisha maandamano makubwa kushinikiza viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) warejeshe huduma ya umeme...
Jamani jana nimeangalia taarifa ya habari zilizogubikwa na maafa yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini. Cha kunishangaza ni kwamba Mkuu wa nchi eti alikatiza ziara ila sijajua ni...
Aliperejea nchini baada ya kumaliza ziara yake ya takribani siku 10 na zaidi na kujibu hoja ambazo zimekuwa zikitolewa na wakosoaji wa utawala wake kuwa kuwa hashangazwi na kauli zao kwa kuwa...
Waungwana nimepata kisa hiki kwenye gazati la habari leo na nimeguswa na maoni ya mmoja wa wasomaji wa gazeti hilo. Hebu jisomee na wewe:
Habari yenyewe
WALIMU wawili mkoani Singida wanatuhumiwa...
2009-12-29
By Mkinga Mkinga
Officials of the Ministry of Natural Resources and Tourism not directly linked to promotional activities will no longer travel abroad.
Announcing the ban yesterday...
Nimerudi tena mwanakijiji, mbuga zangu kuzinyatia
Siwahukumu wa magharibi, hata wale wa ghuba,
kukicha mitutu wanaikoki, wanyama wangu kuwaua,
Sheria ni kwa sisimizi, kwa tembo eti huzikwa,
Nasema...
By ThisDay Reporter
28th December 2009
SENIOR government officials in the Ministry of Energy and Minerals and the state-run Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) are alleged to be...
CCM wasipogawanyika ndani ya miaka 10 ijayo basi nchi yetu wataitafuna yote. Tumeshuhudia makundi mawili ndani ya chama hiki kikongwe kabisa lakini kadri siku zinavyozidi kusogea kwenye uchaguzi...
A philosophical mind game. Do we have to change or we don't have any other option but change. Je yawezekana kuendelea bila ya kubadilika au kuendelea kwenyewe kunaashiria mabadiliko? Mfumo...
By ThisDay Reporter
28th December 2009
A FEW GOOD MEN -- From left to right: President Kikwete, Foreign Affairs Minister Membe, Livestock and Fisheries Minister Dr Magufuli and Attorney...
Takukuru, mmefanya la maana sana; tena anzieni Kyela.
Takukuru kuchunguza fedha chafu za kuwang`oa wabunge
Na Thobias Mwanakatwe
29th December 2009
Ni mamilioni wanayomwaga...
Kazi kubwa ya Bunge ni kusimamia serikali, kuhakikisha serikali inafanya inachopaswa, na serikali inapokosea kuihoji na kuiwajibisha. Serikali inafanya kazi siku zote, je kwa nini chombo...
There is another enemy which we must add on the list of these enemies poverty, disease, ignorance, I think we must add another enemy. Let us face it sir, we can talk all this idealistic nonsense...
Salim Said
SHEIKH mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba amemfananisha Rais Jakaya Kikwete na mti uliosheheni embe mbivu, hivyo wabaya wake hawataacha kumpopoa kwa mawe.
Katika siku...
Ndugu wana JF,
Naandika kuuliza swali nikiwa na simanzi kubwa rohoni.
Nimempoteza rafiki yangu katika mazingira tatanishi. Rafiki yangu hivi karibuni aliweka bayana nia yake ya kugombea...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilaya ya Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela, amepotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.