Do you still have confidence in the government? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do you still have confidence in the government?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Dec 28, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Dec 28, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,209
  Trophy Points: 280
  There is another enemy which we must add on the list of these enemies poverty, disease, ignorance, I think we must add another enemy. Let us face it sir, we can talk all this idealistic nonsense about the right of the people to govern themselves and all that. You establish a Government of the people. They have hopes and during the whole struggle of the nationalist movement we have been raising the expectations of our people.

  They have been expecting a Government which is going to lift their standard of living. How? By raising taxes and using them to wage this war. Our people hope they are going to have a Government which is going to spend their taxes properly in waging this war. They expect they are going to have a government which is going to be determined to see that justice is done in this country.

  What is the enemy of that? What is the enemy of this expectation? Not merely poverty; we can do something about poverty. Not disease; we can do something about disease as long as honest men are carrying out the job. Not ignorance; we know that enemy too, we know we don't want people who are ignorant. But if our people can not have absolute confidence in their Government, in the people to whom they have entrusted their welfare, how sir are you going to wage this silly war against poverty, disease, and ignorance? You have got to have the people with confidence in their own government and when I say in their own Government I don't mean in a few Ministers sitting somewhere around a Council of Ministers, I mean every man and woman in the county who is in a position of responsibility, in local government, in the trade unions, in the cooperative unions, in the political movement, and in the Central Government itself.

  Now sir, I think I would be less than honest if I said that all is well, because it is not. There is corruption. Now sir, I think corruption must be treated with ruthlessness because I believe myself corruption and bribery is a greater enemy to the welfare of a people in peacetime than war. I believe myself corruption in a country should be treated in almost the same as you treat treason.

  If people cannot have confidence in their own government, if people can feel that justice can be bought, then what hope are you leaving with the people? The only thing they can do is to take up arms and remove that silly Government. They have no other hope. I feel, sir, as we move, as we go forward, and we are going to wage war against poverty, disease, and ignorance, we have got to have the confidence of the people. We have got to have people in local government, in the trade unions, in the cooperative movement, in the political organizations, in the Civil Service, and in the Government itself, in whom our own people have absolute confidence.

  If we can't have it then I cannot see how the people of Tanzania are going to get the true benefits of the independence for which they have been struggling.- Julius K. Nyerere
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  WELL,
  there is this thing,VOTE OF NO CONFIDENCE WITH THE EXISTING GOVERNMENT!ingawa ni lazima kuwe na mtu who is taking the LEAD towards ''mapinduzi''........i think you know what i mean
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,209
  Trophy Points: 280
  when the people lose confidence in their government what alternative do they have?
   
 4. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  they normally vote them off the following election but do tanzanians have another alternative? tusubiriri machi nowa waje na mapendekezo yao
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,417
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  They become suicidal in many aspects of their everyday lives. Hope and the rule of law dies out. Liwalo na liwe!
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mie bado nina imani na Serikali ya CCM kuwa WATAENDELEZA ufisadi wao hadi siku watatunguliwa kama Kidege cha Kirusi huko Afghanistan.

  Ili hili litimie, CCM wanafanya UPUMBAVU wa hawa asilimia 70 uzidi kuwa mwingi. Hii asilimia hata wakiteseka vipi, wao wataendelea KUISHANGILIA CCM. Watawapandikiza kila aina ya ujinga na kuzalisha vyama PRO CCM kibao. Watahakikisha Pombe zinakuwa bei poa na Gongo, Bangi ni halali kunywa. Ndombolo, Mayenu, Nzawisa, Kwasakwasa, Loketo, na mitindo mingine ya miziki huku miziki ya RAP ikiongoza kwa MATUSI na kufundisha vijana jinsi ya kufanya ngono ikizidi kuwatengeneza member wapya ili hii asilimia izidi. Na Radio kama Clouds na magazeti ya Shigongo na udaku mwingine watazidi kusafisha akili za vijana ili waweze kuwa Shamba bora la MPANZI wa kila aina ya UPUUZI duniani.

  Hebu ione hiyo 70% inavyoelekea KUCHINJWA kiakili na wakati IKISULUBIWA kimawazo.

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 7. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  What is goverment? Most of the citizen go for individual rather than goverment as a team of people?

  They built confidence around successfuly individual (who in reality succeded by corruption and exploit their resources) they knew not!

  Basically, starting point is to make citizen understand the meanig of and what goverment ought to do to its people? set the standard for success and failure??

  Unless we have a proper, unbiased goverment perfomance measurement parameters it will be nightmare to have a confidence in any goverment?? it will always be subjective opinion drives by person interest!

  Why? mwenye sauti, magazeti, kanisa, misikiti... atapaza sauti sana kuhadaa watu...bila kuangalia vigezo halali vya kupima serikali kwa standard known to all people.
   
 8. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 8,602
  Likes Received: 4,650
  Trophy Points: 280
  Anybody who still has even an iota of confidence in this ramshackle of a government needs to have his head examined but then what would Bongo be like if it didnt have its share of sycophants and bootlickers. Definitely not a country of beggars bent on worshipping the FISADIS, but that's what we really are with no way out for those who are yearning for change - yet all it requires is courage and determination.
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Dec 29, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,094
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni kama gari bovu ambalo breki zake zinafanya kazi kwa "kupigwa pump." Gari la namna hiyo hukubali kuendeshwa na dereva aliyelizowea tu; na mara zote dereva huyo huwa si mtu makini kwa vile dereva makini angetaka kuhakikisha breki zote za gari lake zinafanya kazi sawasawa. Inapokuwa gari liliopo ni hilo bovu tu, basi madereva makini wote wataonekana hawafai na wale wasiokuwa makini lakini wamelizowea gari hilo ndio watakaoliendesha tu. Matokeo ya kuwa na gari bovu barabarani linaloendeshwa na dereva asiye makini ni kuwepo kwa accident za mara kwa mara zenye madhara makubwa. Madhara hayo ndiyo yanamfanya MKJJ atuulize kama kweli dereva (serikali) tuliye naye anatufaa; hata hivyo huenda pia ni vizuri kujiuliza kama kweli sisi wenyewe (gari bovu), tunaoukubali kuendeshwa na madereva wasiokuwa makini tu, tunafaa kuwa barabarani bila kufanyiwa matengenezo.

  Kwa maoni yangu kazi ya kwanza ni kulitengeneza gari letu liwe katika hali nzuri kusudi likubali kuendeshwa na madereva makini tu, baada ya hapo madereva uchwara hawatapata mwanya wa kushika usukani wetu na accident zitapungua sana au zitakwisha kabisa.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,419
  Likes Received: 2,664
  Trophy Points: 280
  A political revolution...let me end here.
   
 11. SYLLOGIST!

  SYLLOGIST! JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 28, 2007
  Messages: 263
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  MwanaKijiji,

  Which one?
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,209
  Trophy Points: 280
  mbona unaogopa? Nyerere alienda mbali zaidi juu ya hilo. Yeye alisema hivi kuhusu wananchi wanapopoteza imani na serikali yao.

   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,209
  Trophy Points: 280
  the government in power now.
   
 14. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have 100% confidence with this Government Of Hon.JK
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,071
  Likes Received: 5,209
  Trophy Points: 280
  that is very good. Una imani na serikali hii au na JK?
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Dec 29, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,419
  Likes Received: 2,664
  Trophy Points: 280
  Thanks for understanding me, let me say this very painful word, it seems war is the only solution at hand now!

  Hold on...


  Moja ya vitu ambavyo vinaonekana dhahiri kuwa Tanzania imevikosa ni kuwa hakuna generation ya watu waliokufa ili kulijenga hili taifa. Nchi mbalimbali duniani zilizoendelea ni kuwa mataifa yao kuna kizazi kiliteseka hata kufa kutokana na vita au udikteta-safi!

  American was born in streets, baada ya kuchapana sana wakakaa chini na kusema tulijenge taifa, mkishachapana na kutulia, kila mtu anakuwa na adabu a si kama hivi sasa Tanzania watu hawana adabu wanakula mpaka mayai ya vizazi vijavyo!

  Lazima kuna kizazi kife au kiteseke ili taifa halisi lijengeke , Nyerere well, aliplay part ya kuichukua Tanzania salama kutoka kwa wakolon. Ujamaa sio kuwa una matatizo ila usimamizi wa Nyerere kwenye ujamaa ulikuwa wa kitakatifu. Nyerere was supoosed to be a dictator, Sera za ujamaa ziko contrary na human nature..'usawa' ili kufuata ujamaa Nyerere alitakiwa kuwa dictator na siyo kama alivyokuwa mtakatifu, mtu akifilisi shirika hili anapelekwa shirika lingine, as a result watoto wa kisiasa wa Nyerere leo hii wengi wezi.

  Nimetumia udikteta-safi kwani kama rais ana vision nzuri na yuko kwa lengo la kuwatumikia wananchi basi huo udikteta ni mzuri

  So watanzania tumekosa vitu vyote; kupigana wenyewe kwa wenyewe na kumwaga damu na tumekosa msimamizi dictator wa ujamaa Nyerere alikuwa mtakatifu kivyake na alikosea sana kudhani kila mtu anawaza kama yeye.

  Leo hii vyama vya upinzani ni wastage of time, kusema CCM wataondoka madarakani is another daydream, kusema wananchi wataigeuka serikali wasiipigie kura is nightmare.....kusema wananchi waandamane nchi nzima hata polisi wakitoke tupigane nao, haiwezekani kwa Tanzania ya sasa


  Solution ni mapinduzi, au kusubiri next 100yrs!! wakati madini, na mali asili zingine, au nchi nzima imeshauzwa!

  I repeat nchi nyingi waliopigana vita wameendelea sana kuliko Tanzania, they have arleady paid their price to be called nation, nchi ambayo haijajengwa kwa damu na jasho matokeo yake ni haya kila mtu anaimega!!
   
 17. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,690
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  kaka nimekusoma, kila siku naongelea hii 70% ampapo mi naiita 80%. hii ndo inayochagua Rais, Wabunge na madiwani. Na asilimia iliyobakia 20% hii ipo mjini na humo ndani imejaa wanafiki, wanaopenda kujikomba komba bila sababu. asilimia kama 5 iliyobakia ndiyo tupo sisi wapiganaji kwa kweli, mimi, wewe mkuu na akina Dr Slaa na wengine wachache sana

  Sasa kuikomboa nchi hii tunahitaji kizazi kingine, kwa sasa I dare to say "NEVER" hatuna Uzalendo, hatuna elimu ya uraia, wanafiki wakubwa.
   
 18. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi nina imani ndogo sana na serikali iliyopo madarakani. Nina imani ndogo kwasababu nyingi, ila hapa nitataja chache.

  1. Serikali imekosa mwelekeo/dira: Serikali imekosa dira ya maendeleo na uwezo wa kuweka vipaumbele vinavyoendana na hali halisi ya ukuaji wa uchumi na maendeleo ya jamii. Hatua mbalimbali zinazochukuliwa hazijibu mahitaji halisi ya wananchi.

  2. Serikali haijatekeleza ahadi za uchaguzi kwa kiasi kikubwa: Ahadi nyingi zilizotolewa na viongozi wakati wa uchaguzi zimebaki kuwa kauli za kuombea kura badala ya kauli za utekelezaji. Matarajio yaliyokuwepo yamefifia na hivyo kusababisha lawama nyingi kwa serikali.

  3. Ubinafsi wa viongozi: Viongozi wa chama tawala na serikali wamekuwa wabinafsi na kulinda/kutetea maslahi yao na washirika wao kuliko maslahi ya Taifa.

  4. Siasa chafu: Viongozi wanaendekeza siasa chafu na malumbano yasiyo na tija kwa ustawi wa Taifa. Mgawanyiko wa wazi unaanza kujitokeza (matabaka) ndani ya utawala wa nchi. Hali hii ikiachiwa kuendelea, umoja na mshikamano wa Taifa utapungua, na wananchi wataanza kujitambulisha kimakundi (kidini, kikabila, n.k.)


  5. Ubadhirifu na ufisadi:
  Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya nchi yetu, serikali imesimama upande wa wavunja sheria muhimu za nchi (wabadhirifu na mafisadi). Wakati serikali ikifanya hivyo, wananchi wa chini wameendelea kuhukumiwa kwa makosa madogo na yasiyo na madhara makubwa kwa Taifa kama yale ambayo serikali imekuwa ikiyafumbia macho madhambi yanayofanywa na viongozi wenzao kwa kisingizio cha ushirika kisiasa.


  6. Mfumuko wa bei na maisha duni kwa wananchi:
  Mfumuko wa bei umekuwa ukipanda siku hadi siku. Mara ya mwisho kufuatilia mfumuko wa bei, ulikuwa umefikia 10% kutoka 5%(2005) wakati serikali ikiingia madarakani. Ukuaji wa uchumi nao umekuwa ukishuka kutoka 7% hadi 4.2% sasa, baada ya kushuka kwa 2.8%.


  7. Kutojiamini katika uongozi:
  Kwa siku za karibuni, kumetolewa vitisho kwa wananchi wanaofikiria kuwania nafasi za juu za uongozi wa nchi. Kauli ambazo zimeungwa mkono na ofisi ya juu kabisa ya serikali. Hii inaonyesha hofu na kutojiamini kwa viongozi na hivyo kutamani kila linalowezekana kuokoa nafasi zao za uongozi.


  8. Mabadiliko ya Katiba: Uwezekano mdogo wa serikali kusimamia Katiba inayoweka uhuru, usawa na uongozi bora. Katiba itakayoweza kuweka misingi imara ya uongozi na kupunguza umungu-mtu kwa baadhi ya viongozi. Katiba itakayoweza kuhakikishia usawa (wa kweli) wa kuchagua na kuchaguliwa.

  Naamini kuwa ili tuweze kujikwamua kutoka katika tabia hii inayoanza kukua kwa kasi katika uongozi wa nchi yetu, inawezekana ikabidi kuchukua hatua ngumu, za hatari.
   
 19. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na serikali,JK siyo serikali
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,944
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Unajua wakati mambo watu wengi wa kawaida wanaona hayako sawa, pengine wakuu wanaona yote yako sawa tu.
  Wanasiasa walioko madarakani mara nyingi ni ngumu sana kupokea ushauri wa watu ili mambo yasiharibike.Huwa wanaamini wanaouwezo wa kuzima lolote kwa mkono wa chuma.
  Nikiangalia historia, ambayo huwa ina tabia ya kujirudia, naona ugumu huo huo kwa Mobutu, Samuel Doe, Savimbi na wengine wengi ndani ya Afrika. Hitler naye ilikuwa hivyo hivyo. Wanajeshi wake wakubwa, waliokuwa wanajua maendeleo ndani ya medani ya vita walimshauri sana atafute political solution kabla mambo hayajaharibika. Yeye alikataa katakata akiamini alikuwa na uwezo wa kupigana na kushinda vita vile.
  Well, mwisho wa yote ni mfano wa Congo DRC kutoeleweka, au Liberia ilivyoharibiwa au Hitler ambaye siku zake za mwisho alikuwa anaspend muda mrefu akiwa na ramani iliyopangwa vifaru, akijifariji jinsi vifaru vile vitakavyowatwanga maadui zake, vifaru ambao in actual fact vilikuwa havipo ila vimebakia kwenye ramani tu.
  Tusije kufika huko kwa kukataa kusikia na kuendeleza ukaidi usio na tija yoyote kwetu.
   
Loading...