Tanzania na sera za uwekezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na sera za uwekezaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijiji Chetu, Dec 30, 2009.

 1. K

  Kijiji Chetu Member

  #1
  Dec 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimerudi tena mwanakijiji, mbuga zangu kuzinyatia
  Siwahukumu wa magharibi, hata wale wa ghuba,
  kukicha mitutu wanaikoki, wanyama wangu kuwaua,
  Sheria ni kwa sisimizi, kwa tembo eti huzikwa,
  Nasema haiingiii akilini, waporaji kupewa mbuga,
  Tanzania umekosa vingi, hata mapori unawekeza?

  Mwisho wa siku watatimka, nyasi na mchanga kutuachia,
  Watoto wangu watakuja lia, hata vitukuu wataja shangaa,
  Washindia shuka kutimliwa,eti loliondo wameivamia,
  Mwanakijiji kukicha ninalia, watunga sera wanachechemea,
  Masikio yao wameyaziba, huku mwanakijiji nikiteketea,
  Tanzania umekosa vingi, hata mbuga unawekeza?

  ....................... n.k
   
Loading...