Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekua na tabia ya watu wengi,kuzitofautisha awamu za serikali ya CCM katika awamu ya 1,2,3na ya 4. hii ilichagizwa sana na mkuu wa sasa [JK], pale alipoiita awamu ya 4 ni ya nguvu mpya kasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mzee Mkapa yuko wapi?Sijamuona katika msiba wa Mzee kawawa, kulikoni?.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mh. Dk. Slaa nadhani ni miezi imepita tangu uutaarifu umma kwamba ulitegeshewa vifaa vya kijasusi vya kurekodi sauti katika chumba chako pale Dodoma. Swali langu ni kwa nini hujaueleza umma ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
We have indeed come a long way since the eminent historian John Illife reviewed the question on whether African Capitalism exists or not in his book 'The Emergence of African Capitalism.' It is...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kongamano la wanataaluma linakutana kutwa nzima ya ijumaa. Je matarajio yako ni nini hasa? Litakuwa kama makongamano mengine yaliyosifiwa kwa kutoa kauli kali na maazimio yenye vipengele hadi vya...
0 Reactions
125 Replies
13K Views
Very simple: a. Complain about how your thing is bad and doesn't work as it is supposed to. b. Say your thing can not be restored or rehabilitated; just say it is doomed! "hali yake ni mbaya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ningeweza kutumia maneno mengi kuelezea kosa hili ambalo hata hivi sasa bado tunalifanya lakini hatuna budi kujisahihisha kama mabadiliko tunayoyataka yataweza kupata nafasi yoyote. Kosa hilo ni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu Heri ya Xmass na Hongereni kwa mapumziko kwa wale mlioko mapumzikoni,naamini tumepata muda mzuri wa kutafakari kwa kina mafanikio tuliyoyapata mwaka huu yawe ya binafsi ama ya taifa...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Mwandishi Wetu, Morogoro TATIZO la rushwa katika chaguzi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), linaonekana kuzidi kukua baada ya uchaguzi wa viongozi wa chipukizi taifa kukumbwa na matukio ya utoaji...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM yazidi kugawanyika Na George Marato 3rd January 2010 Mgawanyiko mkubwa umekikumba chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Musoma mjini kufuatia viongozi kadhaa kusimamishwa nyadhifa zao kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna taarifa za ndani kuwa kuna zaidi ya magari 200 yameingia jijini Dar es Salaam kupitia bandari hiyohiyo, wasiwasi wangu ni kama yamelipiwa ushuru... Tetesi nilizo nazo tayari yamezua mzozo...
0 Reactions
109 Replies
12K Views
Mbunge amcharukia Mwenyekiti UV-CCM Na Thobias Mwanakatwe 3rd January 2010 B-pepe Chapa Maoni Mbunge wa Mbeya Mjini, Benson Mpesya Mbunge wa Mbeya Mjini, Benson...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulikuwa na jitahada za kuwepo umoja wa vyama vya upinzani Tanzania, wakati fulani niliona Chadema, CUF, NCCR-mageuzi na TLP wakisema wameunda umoja wa vyama vinne? Swali umoja huu bado upo? na...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
http://www.ed.ac.uk/news/all-news/021209-nyerere
0 Reactions
9 Replies
2K Views
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WATANZANIA, TAREHE 31 DESEMBA, 2009 Utangulizi Ndugu Wananchi; Kama ilivyo ada...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
http://www.jambovideos.com/bongos/dec09/Mr_Presedent.mp3 Nawatakia kila la heri kuelekea 2010
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwandishi Maalum Septemba 23, 2009 Rais Jakaya Kikwete KABLA sijazungumzia mada hii, niseme kidogo juu ya mada yangu ya juma lililopita, iliyochambua hatua ya Rais Jakaya Kikwete kuwazuia...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President! Infact add the whole BOT management and Board!
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wadau, juzi nikiwa safarini huko kwenye mapori mazito ya Kibondo-Kahama kutoka mwisho wa reli kurudi makazi yangu, nilipokea ujumbe wasimu kutoka kwa rafiki yanku kuwa Mzee Kawawa katutoka. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwisho wa mwaka ni wakati wa kutafakari tulipotoka, tulipo na tunapotaka kwenda katika mwaka mpya. Kwa taifa ni fursa ya kufanya tafakari hiyo katika muktadha wa hali na mwelekeo wa taifa kisiasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom