Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 31, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  I'll say it maana naona kila mmoja anaogopa kulisema.

  This mediocre bwana Tido kaamua kuhamia Lowassa.(Tv ya Lowassa) I'm sure wapambe wake wakiamka asubuhi watampa taarifa kuwa kabandikwa tena JF.

  Sasa Tido wala usipate taabu if anything usharahisishia watu kazi na kinachosubiriwa ni hiyo barua yako.

  Now the question is bwana Tido ataendelea kuwaficha staff wake mpaka lini.

  Nimekuwa naitazama TBC channels zote if anything naona hakuna kipya alichokileta Tido zaidi ya kutumalizia kodi zetu kwa seminars zisizokwisha.

  it gets more interesting kuwa huyu bwana alitaka kujimould kama John Reith lakini kasahau kuwa marehemu Reith alikuwa na Principles ambazo zimeifikisha BBC pale ilipo.

  Lakini msishangilie sana kwani at the moment TBC is run by a bunch of Political Correctness twats ambao wanapewa ushauri ka top echelon ya TBC ambayo if anything imehaa ma extreme Cultural Marxist social engineers. I guess we dont need to any further reasons for understanding why their programmes manage to combine extreme tedium with a visceral anti-Govt bias.

  Uzuri ni kuwa some of us havent bought any Tido's Cultural Marxist claptrap and we are never likely to.


  Sasa stay tuned na maswahiba wake ambao wata register kuja kumtetea hapa jf...obviously tunajua post count zao.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  I was just wondering GT hajaonekana hapa for a couple of weeks kumbe yuko jikoni anapika. Welcome back GT. Na kuhusu Tido kuhamia kwa Lowassa mbona hilo halishangazi. It was Lowassa who brought him back from London.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mambo mengine haya ni magumu sana kuelewa
   
 4. M

  Masesa Member

  #4
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hivi kwani mkataba wake na TBC umemalizika? kama umeisha si vibaya aende na huko akatumie ujuzi wake kwenye kampuni binafsi tuone matunda yake.Je hiyo tv ya mheshimiwa lowasa ilishazinduliwa rasmi lini? huku mikoani mbona hatuipati
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Atajishushia CV tuu kheri abaki TBC
   
 6. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mkuu GT,
  hebu nifanyie uungwana bwana, mimi hapo nimetoka kapa...tafadhali sana nifafanulie kwa lugha murua nipate ujumbe bila mikwaruzo.
   
 7. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kama jamaa anamlipa vizuri kuliko TBC aende tu. Green pasture si lazima ukubwa wa kampuni, bali kipato.
   
 8. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2009
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  i love you man............!
  That makes two of us!
   
 9. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila kajitahidi tahidi kubadilisha RTD kuwa TBC! Huko nako atabadilisha Lowasa Kuwa Mmasai!!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I am loving it' esepcially kama ni kweli --- Ukirejea lile somo la metamorphosis ya vile vidudu (has vyenye madhara utaona vinaanza kama malaika na baadae kuishi kuwa watoa roho) nadhani ni biology ya primary na o-level ....yaani unagundua kabisa mbondei alivyoanzia kwenye egg:confused:, larva:(, pupa:eek: na sasa anaelekea kuwa adult kamili:D

  Mkono mtupu haulambwi
   
 11. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  GT,

  It's one thing not accepting outcome of his work and completely another to show hate towards the individual.

  The latter is well below standard (even here).

  YY
   
 12. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #12
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NIITE SWAHIBA au vyovyote upendavyo sio kila mchele unaonekana mchele mbele za watu wengine wajionea PUMBA..

  Acheni WIVU jamani TBC imebaidirka toka alipokuja TIDO, hata FA tunaiangalia sisi wacheni nyie mafisadi mnaoweza kulipia 76 USD kwa mwezi, ITV walipoona TBC iankuja eti nao wakata kuonyesha na kuishia lawama baada ya KUSHINDWA mlikuwa wapi jamani.

  we tido katafute greener pastures bwana mabadiriko TBC yapo MENGI SANA.
   
 13. t

  tk JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huenda Mkataba wake umekwisha. Kwani tatizo ni nini? Mtu yuko huru kwenda anapotaka. Ana option pia ya kumjoin Mzee Mengi, maana wamependeza kweli kwenye hiyo picha.

  Kusema kwamba hakuleta mabadidiliko TBC 1 hiyo sio sahihi. Kajitahidi sana hasa chini ya mazingira magumu ya kufanya kazi Bongoland. Ushahidi ni kuwa private TV zote zilikuwa zinailalamikia TBC 1 si kwa lolote lile ila kwa ufanisi wake katika kutoa habari sahihi, kupanga mahojiano yenye uzito, burdani etc.
   
 14. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwenye ujambazi pia ni green pastures za kupata utajiri wa haraka haraka! Integrity man!
   
 15. M

  Mundu JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwa uzoefu wa Tido kwenye sekta ya mawasiliano kwa njia ya redio, ningefurahi zaidi angekuwa mjasiriamali na akaanzisha radio/TV station ya kwake. Haiingii akilini kuendelea kukumbatia ajira na kutumikia wengine wakati uwezo wa kuanzisha ya kwake anao.

  Biashara au investment yeyote ni rahisi kurithisha kizazi chako... lakini hizi ajira hizi!? kama ni kweli yatatokea yale yale ya wahariri wa gazeti la Rai; profession wanaiweka kapuni wakibaki kutekeleza matakwa ya wenye mali.
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,598
  Likes Received: 18,605
  Trophy Points: 280
  This mediocre ,if anything usharahisishia watu kazi na kinachosubiriwa ni hiyo barua yako.
  Nimekuwa naitazama TBC channels zote if anything naona hakuna kipya alichokileta Tido zaidi ya kutumalizia kodi zetu kwa seminars zisizokwisha.

  it gets more interesting kuwa huyu bwana alitaka kujimould kama John Reith lakini kasahau kuwa marehemu Reith alikuwa na Principles ambazo zimeifikisha BBC pale ilipo...at the moment TBC is run by a bunch of Political Correctness twats ambao wanapewa ushauri ka top echelon ya TBC ambayo if anything imehaa ma extreme Cultural Marxist social engineers. ....extreme tedium with a visceral anti-Govt bias.

  Uzuri ni kuwa some of us havent bought any Tido's Cultural Marxist claptrap and we are never likely to.


  Sasa stay tuned na maswahiba wake ambao wata register kuja kumtetea hapa jf...obviously tunajua post count zao.


  Call me Swahiba wake or what you may, ila 'Mnyonge Mnyongeni, Haki yake Mpeni', TBC ya Samwilu Mwafissi siyo TBC ya Tido Mhando. Pamoja na kuwa siyo malaika and could be a devil, then 'Give The Devil His Due'!
  Yes Tido might not be the best fot TBC, but so far is the best we have ever had!

  Japo sujui mkataba wake na TBC, mikataba mingi ya serikali huisha 30th June au 31st December, hivyo Tido might be kwenye kundi la 31st December yaani leo. Kama hataongezewa, then its fine and is free kwenda popote.
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  GT it would be better to the reader if you had differentiated fact from your opinion of the person!
   
 18. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #18
  Dec 31, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I agree with u man. Tido kwa uzoefu wake angeliweza kabisa kuanzisha TV station yake binafsi na akawa ndiye mwamuzi wa nini kirushwe badala ya kufanywa kibaraka wa watu wasiotosheka wanaotaka kujitafutia uongozi kwa nguvu hata kama uwezo wa kuongoza hawana!
   
 19. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #19
  Dec 31, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kumbe ni rahisi kiasi hicho?????
  Nahisi na wewe utakuwa mjasiriamali kwenye line ya professional yako!!!!!!
   
 20. M

  Mundu JF-Expert Member

  #20
  Dec 31, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Uoga unakusumbua ndugu. Sio kila profession unaweza kuwa mjasiriamali. kwa mfano kwa Rubani kununua ndege na kuanzisha sekta ya usafiri inaweza ikawa ni challenge kubwa. ILa kwa madereva wa daladala au Taxi inawezekana. Ni mfano tu! Lakini kwa uzoefu wa Tido kwenye habari, i strongly believe that he can be a successful investor in that sector. Kama kuna mtu humu kundini ana CV ya TIDO, aiweke hapa ili Kandambilimbili asiendelee kufa masikini.

  lakini kwa taarifa yako tu, ujasiriamali ni suala la kuthubutu na kuamua kuchukua RISK. na kwa kiasi kikubwa wajasiriamali wengi walichukua RISK kubwa mwanzoni. na mifano ipo mingi ndugu.

  Kumbuka kuwa hata kumiliki Salon ni ujasiriamali. Wish u a prosperous new year 2010.
   
Loading...