Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,063
- 22,755
Nasikia baada ya TANROADS Arusha kubomoa uzio wa wa hoteli ya Crest iliyofunguliwa na Raisi, ujenzi wa haraka umefanyika kwa gharama za walipa kodi. Yawezekana hata fidia imelipwa kinyemela - je, twaweza kuambiwa kiasi kilichotumika ? Isije ikawa huu ulikuwa ni mpango wa .......