HARAKATI za kuwania urais zinahusishwa kuandaliwa kwa mtandao mpya wa Rais Jakaya Kikwete ambao unadaiwa unawarejesha baadhi ya wajumbe wake wa zamani, unampigia debe Spika Samuel Sitta na...
Unastahili tuzo(Tuzo ya mwanamke jasiri 2010-toka USA) hiyo kwa kuwa umekuwa mstahili wa mbele kutetea haki za waTZ ikiwa ni pamoja na wanawake kwa ujumla.
Ni wachache sana wanaweza fanya...
WAZIRI Mkuu na Makamu wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba (69), amepelekwa Afrika Kusini kwa matibabu baada ya afya yake kuzorota; Tanzania Daima imebaini.
Habari za uhakika ambazo gazeti...
Kuna haja ya kumpendekeza magufu agombee.
Tumechoshwa na watu kama kikwete ambao kwao cha maana ni safari za ughaibuni kila kukicha, huku wakiacha wazawa wenye hali duni tukifa na kutopea kwenye...
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na...
CHAMA CHA JIHADI?
ETI ni kweli kwamba CCJ ni chama cha Jihadi na kwamba waathirika wengi wa mauaji Mwembechai na Zanzibar wamejiunga na chama hicho?
Mambo ....ambayo CCM lazima...
Wanasheria na wachambuzi wa siasa nisaidieni kutoa ufafanuzi kwa hili,Hivi ikitokea kwa mfano Mwenyekiti wa Chama tawala kama alivyo J.K.Kikwete ,kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa chama na...
Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo
1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao...
RAIS wangu, siko hapa kumhubiria mtu au watu, bali kuihubiri habari njema ya ukweli, upendo na haki.
Katika watu waliofanikiwa sana kiuongozi kisiasa katika nchi hii kwa nyakati zao ni pamoja...
Absalom Kibanda
HEKAHEKA za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimepamba moto, na tayari vituko kadha wa kadha vya kisiasa vimeshaanza kuonekana kadiri miezi na siku za kuelekea Oktoba 31...
Yes indeed dear friends! It has been four years since we entered into the arena of public discourse in a fashion and manner never seen before; in online debates, political columns in our...
Kauli zake zaivuruga CCM, Kamati ya Mwinyi
na Mwandishi Wetu
MWENENDO na kauli zinazotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, zimekivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Rotarian Faye Cran, known by all as Mama Kuku, was brutally beaten by thieves at her home in Duluti on Saturday 27th February. She was coming home from a fundraiser to help the community, and this...
Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni
Mtoto wa Jakaya Kikwete ,Ridhiwan Kikwete avuruga mkutano wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM -Taifa) Masauni Yusuph Masahuni.
Taarifa zinasema...
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii.
1. Gideon Cheyo- Ileje.
2. John Chilligati -...
Hosea Kutojiuzuru kama pendelezo la kamati teule ya bunge na kuthubutu kuwahoji wabunge kuhusu posho mbili mbili kipindi hicho hicho- na
Bunge kunyongonyezwa msimamo wake wa richmond - na
Lowasa...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, imemkingia kifua Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, kuwa alitaja mali zake wakati akitoka madarakani.
Kwa mujibu wa sekretarieti hiyo...
na Marietha Mkoka, DSJ
RAIS Jakaya Kikwete amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, Patrick Tsere kuwa balozi mpya nchini Malawi.
Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya...