Kihwele finally on his way out | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kihwele finally on his way out

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 22, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  Chief Executive Officer

  Category: Senior Management
  Location: Dar es Salaam, Tanzania
  Employment Type: Full-Time

  Summary: Tanzania Postal Bank (TPB) was established in 1991 by the Tanzania Postal Bank Act No. 11/1991. In 1992 it became operational as a separate entity from the then Tanzania Posts and Telecommunications Corporation. TPB is among the longest serving banks in Tanzania. Its mandate is to mobilize local savings and promote savings habits of the Tanzanian population and to provide banking services and facilities countrywide.

  TPB now seeks to recruit a results driven Chief Executive Officer (CEO). The successful candidate will be responsible to the Board of the Directors and to provide vision, direction and leadership to the Bank. He/she will work with other members of Senior Management to ensure that the Bank acquires and maintains a solid reputation as a successful financial institution by implementing the right business strategies and economical management of resources.

  Description: Main Responsibilities and Duties

  The CEO will be in charge of implementation and realization of the Bank's mission and vision so as to achieve its strategic goals. The successful candidate will be the overall manager of the day to day activities and have the power to make final decisions at management level.

  In addition he/she will:


  • Ensure the Bank develops and recommends to the Board of Directors short, medium and long term plans and strategies to achieve its objectives
  • Coordinate and assess performance in order to make timely changes in strategy, structure and resource allocation
  • Establish, monitor and maintain appropriate financial systems for effective and efficient control of operations
  • Build and sustain a cultural environment that is driven by competitive recruitment, staff motivation, communication and loyalty while taking into consideration interest of various stakeholders
  • Mitigate risks by complying with the Laws, EOT regulations and guidelines, internal policies and procedures, the Board directives and banking best practices
  • Keep the Board informed of all important developments in the banking industry and recommend appropriate reactions
  Requirements: Competencies and Attributes


  • Knowledge of the best internationally accepted banking practices
  • High integrity and strong public relations skills, and ability to engage with different stakeholders
  • Proven business skills, articulation and ability to effectively market the Bank locally, regionally and internationally
  • Understanding of commercial credit management and experience in microfinance techniques
  • IT knowledge
  • Treasury, assets and liability management
  • Ability to build, work and Iea4 teams
  Minimum Educational Requirements

  Master's Degree in either of the following: Business Administration Commerce, Finance, Banking or Economics.

  Minimum Experience

  A minimum of ten years (10) professional working experience in a senior managerial position preferably in the banking industry.

  How to Apply

  Interested candidates should send their applications and detailed CVs by email


  Tanzanian National only
   
 2. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndo Heri Bomani anaenda kuchukua nini?
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,235
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Mbona hakuna email babu ingawa ni kweli anatakiwa aondoke pale
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,548
  Likes Received: 1,927
  Trophy Points: 280
  Huyu huyu wa Stan Chart na KCB? Kwani kuondoka kwake bank zote hizo kulisababishwa na nini? Ni kweli that is the best of what we have?
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,570
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  sasa Credit apewe nani wana JF kwa kampeni ya kumngoa ama?
   
 6. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kheri B. ameamua kuwa DJ....Yes DJ.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  GT.. tuliposema kuwa Kikwete bado ana nafasi mbili za ubunge ambazo hajazijaza haikuchuka muda wakakimbia kuzijaza; na sasa tulipodokeza kuhusu Kihwele.. naona wameamua hatimaye kuagana naye. Nadhani pongeze wapewe wao waliochukua maamuzi.
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,196
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  I love JF, credit wapewe JF, ndiyo Bunge hasa.
   
 9. W

  WildCard JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,494
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Zimetangazwa nyingine mbili za TANESCO na DAWASCO lakini hadi leo hazijapata watu. Kihwele ataendelea kuwepo tu labda yeye mwenyewe aamue kuondoka kama Rashid alivyofanya.
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  una majibu ya ki- Yesu Mkjj. Do you remember 'Je wewe ni mwana wa Mungu' naye akawajibui akisema "wewe wasema" lol
   
 11. W

  WildCard JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,494
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Zile za Ubunge zilijazwa na maendeleo mapya ya CUF/CCM. Rais hakuwa analazimika kuzijaza.
   
 12. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,457
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145

  TPB wakimpa Heri wameumia, jamaa is non performing!!
   
 13. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana MMKJJJ kwa sababu nadhani kama miaka miwili hivi iliyopita ulianika uozo wa huyu Mkulu wa Benki ya Posta pamoja na vibaraka wake waliotafuna mipesa ya benki hiyo (mwenyewe huitamka BENGI) pamoja na kugushi barua ya mkataba akaendelea kuwa kazini (kosa la jinai), lakini ikapelekea wakurugenzi watatu kusimamishwa kazi na hatimaye mmoja kufukuzwa kazi eti ni wao waliotoa siri hiyo kwa JF. Kazi kubwa uliyoifanya hatimaye imezaa matunda, sasa anaondoka.

  Lakini hiyo haitoshi. Mbona serikali haijashughulikia tuhuma nzito zilizotolewa dhidi yake za kutafuna pesa za bengi hiyo na badala yake anaondoka tu hivi hivi ???? Aidha mkataba aliogushi ulimalizika Novemba mwaka jana ila tena namwona bado tu yuko kazini - hata jana nilimwona akiingia ofisini bila barua yoyote.

  Hongera sana Mzee Mwanakijiji na wana JF wote kwa kusimama kidete kuhakikisha mafisadi wote TZ wanaumbuliwa ili kila wanakopita tuwazomee na jamii iwajue wanaotufanya tuendelee kuwa masikini. Asiondoke hivi hivi, lazima ufisadi alioufanya ufikishwe mbele ya vyombo vya dola/sheria. TUNASUBIRI MATOKEO.
   
 14. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naona ma CEO wa kibongo kwenye Foreign Bank wanazidi kuchemsha,yule wa Barclays Bank kaondolewa,sasa KCB...next nafikiri atakuwa wa UBA,...watakuja wakenya tu....sasa sijui kweli wanashindwa ku deliver au ni majungu tu..
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,737
  Likes Received: 7,507
  Trophy Points: 280
  hazikuwa katika play; ilikuwa ni kuonesha kuwa JK anaunga mkono mazungumzo ambayo wao waliamua kumuweka nje baada ya kuwa irrelevant! Au mmeshasahau kuwa ni Makamba ndiye alikuwa afanye mazungumzo na Seif? hadi pale alipowazunguka?
   
 16. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bravo !!!!!!!!!!! Hatimaye mbuyu wa benki ya Posta unang'oka !!!! Hata siamini !!!!! Alikuwepo tangu enzi za Nyerere, Obote na Kenyatta hadi leo yupo tu. I tell you he is 73 years old not in his 60s.
   
 17. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yule wa CBA anaonekana kupata mafanikio (kama alivtotoa taarifa ya maendeleo ya benki yake 2009 kwenye media ) kwa kupata faida kubwa na kupanuka zaidi..

  Huenda akaomba hiyoo nafasi ya Kihwele kwani anapenda sana kufanya kazi katika taasisi za umma kwa malengo ya kisiasa baadaye pia..
   
 18. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yaai Tanzania ni ajabu sana maana nafasi kama hizi huwa wanatangaza saa ngapi
   
 19. H1N1

  H1N1 JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 4,247
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Imeatangazwa ili ishindaniwe,kwa Tanzania yetu,imetangazwa ili kukidhi matakwa ya kisheria lakini kimsingi kuna mtu ambaye ameandaliwa kwa nafasi hiyo,hata angetokea aliyebora namna gani taasisi iliyopewa nafasi ya kushortlist na kushauri haiwezi kuwalazimisha wampe namba moja hata kama ni bora. Wao tayari wanajua mtu wanayemuhitaji kana kwamba Bengi ni mali binafsi. Mwakihwele yupo ofisini anadunda mzigo kwa raha zake,yeye akinjinadi kuwa hajapewa mtu wa kukabidhi ofc,ukweli ni kuwa alimba kwa kupiga magoti aongezewe japo miezi 6.ambayo hakuna anayejua kama alikubaliwa au la !! Hii ndiyo Tanzania ya KJ.
   
 20. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,457
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Jamaa wa CBA is performing well, na anaonekana yuko serious sana na kazi. Naona hata benki yake ina fly sana sasa. Ila akijiroga aende TPB kaumia....kule siasa na kujipendekeza ndo kwingi. Sidhani kama kijana smart kama CEO wa CBA ataenda TPB kuharibu CV yake!!

  Lets wait and see...
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...