Raisi na mwenyekiti wa chama tawala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi na mwenyekiti wa chama tawala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Donrich, Mar 3, 2010.

 1. D

  Donrich Senior Member

  #1
  Mar 3, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Wanasheria na wachambuzi wa siasa nisaidieni kutoa ufafanuzi kwa hili,Hivi ikitokea kwa mfano Mwenyekiti wa Chama tawala kama alivyo J.K.Kikwete ,kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa chama na kufanya kosa lolote la jinai au madai,hapa sheria na mahakama zitakuwa na nafasi gani?.

  1.Je sheria itachukua mkondo wake kama ilivyofanya kwa Katibu mwenezi wa ccm mkoa wa Dar-es-Salaam.

  2.Je sheria itashindwa kufanya kazi yake kwa sasa kwa kuwa mtuhumiwa anakinga ya uraisi?

  Nasema hivi kwa sababu mwaka mmoja uliopita nilikuwa Botswana,kulikuwa na kesi iliyovuta hisia za watu wengi sana ,Kilichotokea ni raisi wa nchi akiwa pia raisi wa chama tawala alimtimua kazi katibu mkuu wa chama kwa madai kuwa alikuwa akimpinga publically kwenye medias.

  Kilichofuata ni Katibu huyo kufungua kesi mahakama kuu ya kupinga kufukuzwa kazi,alitumia mawakili maarufu kutoka Afrika kusini huku akipata sapoti kubwa kutoka kwenye medias na wananchi kwa ujumla waliokuwa wakifurika mahakamani,lakini mwisho wa siku katibu mkuu alishindwa kesi with cost,ilitushangaza wengi kwani majaji walisema raisi hawezi kushitakiwa akiwa madarakani..sasa hapa ndio ninauliza hali kama hii ikatokea nyumbani Tanzania treatment yake itakuwaje,..Kumbuka aulizaye ataka kujua.
  Nawakilisha
   
 2. Kakati

  Kakati Senior Member

  #2
  Mar 4, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sina jibu la swali lakini naona kama shitaka la mwenyekiti litakuwa ni shhitaka la chama, na ni la kuhusu maslahi na ajira si jinai. Anayeshitaki anaweza kushinda chama sio Raisi
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 37,889
  Likes Received: 9,493
  Trophy Points: 280
  1. Rais kuwa mwenyekiti wa chama tawala ina open a can o worms.

  2.Watswana wana visa, nakumbuka kusoma habari ya Attorney General wa Botswana aliye ji sue mwenyewe, ali ji sue katika capacity yake kama mwananchi, wakati aliyemsue ni yeye mwenyewe, katika capacity yake ya Attorny General, kama si antics ni integrity ya hali ya juu. Chenge wouldn't dream of doing that in a million billion years.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...