Chama Cha Mapinduzi hujinadi kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi, japo kwa siku za karibuni ile M imehusishwa na Mafisadi.
Jana wakati Mwenyekiti wa Chama hiki, wakati akiwahutubia...
Kuna tetesi kwamba hati za kusafiria zinabadilishwa tena:yuck:
Kama kuna mwenye habarari za uhakika tunaomba mtusaidie..
Kama kweli...tueleawe kwanini?si miaka mingi selikari ilibadisisha...
Kama vitu kwa mtazamo wangu havihitajiki katika nchi hii ya tanzania ni kuwa na mfumo wa serikali kupatikana kwa njia ya demokrasia.Najua nitapingana na wengi labda wakidhani kama hakuna...
Mining tax 'ensures Australians share in boom'
By Melissa Clarke
Updated Sun May 2, 2010 4:06pm AEST
The Government will use about one-third of the revenue raised from the resource...
sambaza kwa email za wafanyakazi wenzako! Inaonekana serikali imeamua ubabe badala ya maelewano; hakuna serikali duniani imewahi kushindana na nguvu za wafanyakazi ikasimama!
Mgomo: Tucta...
I have been puzzled for so long with these 'wakereketwa'. Vilio kila mahali kuhusu hali ngumu ya uchumi na mbaya zaidi 'kila kukicha afadhari ya jana' lakini hawa 'wakereketwa' hawataki kukubali...
The Guardian
Capitalism is deepening in the Tanzania job market, according to figures recently put out by Synovate, a research group, and the government says the development is in the...
Nampenda sana rais wa nchi yangu prezdaaa Kikwete,hata kama watu wanamponda lakini mimi naona kuwa baba wa watu anajitahidi,hata Obama kuna aliyoahidi lkn bado hajatekeleza!
watu ni wavivu...
guys,,hivi huu mwenge wa UHURU ni kweli mpaka leo HII tunauhitaji?kuna mtu anaweza akatupa budget yake ya kuuzungusha mikoani pamoja na significances zake wakati unaanzaishwa?whts the worst cud...
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbrod Slaa ameongea na waandishi wa habari kwamba chama chake kitatumia Tsh bil 5 tu na kuishinda CCM ambayo itatumia bil 50!
SOURCE: TBC1.
Dk. Slaa: Sitagombea urais
na Deogratius Temba
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema hana mpango wa kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao...
Hivi unajua kwamba mzee makamba aliwahi kufukuzwa shule baada ya kumpa mimba mwanafunzi wake yeye akiwa mwalimu????
Jee unajuaaliyemshauri nyerere makamba apewe nafasi kwenye chama ni marehemu...
Hii inaonyesha jinsi wabunge wanavyolipwa pesa nyingi zaidi ya mahitaji yao. Serikali inatakiwa iwape waalimu mishahara inayotosha kukidhi huduma zao muhimu, na sio kupewa misaada na watu...
The JK popularity Paradox digg
President Jakaya Kikwete
By Lucas Liganga and Bernard James
President Jakaya Kikwetes consistent high ratings in opinion polls in which his Cabinet ministers...
Mtu usiye hata na chembe ya uzalendo katika kope za macho yako. Mwenye kuthubutu hata kuidanganya hadhira na jamii tena kwa HONGO ili apate kibali na haki ya kuwaibia wanyonge. Mpumbavu usiyejali...
Jamani hii sio story ni kitu ambacho kimeniuma sana. Kwanza nianze na ya Dodoma. Nilienda dodoma kikazi nikakuta mmbunge mmoja amemtafuta fundi Carpenter anatengeneza mabango kama yale ya project...
CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
Na Waandishi wetu
2nd May 2010
Yataka wafanyakazi kutochagua wasiowatetea
Yawahimiza kujitokeza kwa wingi uchaguzi mkuu
Rais wa Tucta, Ayub Omar
Pamoja...
Uhusiano wa Karume, Seif Sharif wahojiwa
WAKATI Jumuiya ya Kimataifa ikisifu uhusiano mpya kati ya Rais Amani Abeid Karume na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Shariff Hamad, wazee waliokuwapo wakati...
Katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Rais ni JK
Makamu wake ni Dkt Shain
Namalizia na Mtoto wa Mkulima kama Waziri Mkuu.
Naomba uiendeleze safu yetu hiyo hadi kufikia Mwenyekiti...