ni kweli tunauhitaji,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni kweli tunauhitaji,,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vox, May 3, 2010.

 1. vox

  vox New Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  guys,,hivi huu mwenge wa UHURU ni kweli mpaka leo HII tunauhitaji?kuna mtu anaweza akatupa budget yake ya kuuzungusha mikoani pamoja na significances zake wakati unaanzaishwa?whts the worst cud hv happened if we stop the whole thng?wana jamii tunaomba mawazo yenu.thanx in advance
   
 2. H

  Hume JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Hauna maana kabisa. N mwendelezo wa matumizi mabaya katika nchi hii.

  Mambo ya msingi serikali inalalamika haina pesa, ila kwa mambo yasiyo na maana ndo kipaumbele chake.
   
 3. m

  magee Senior Member

  #3
  May 4, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwenge wa uhuru........it goes back tulipopata uhuru,swali na kwamba was it kweli uhuru??ni kweli tuukimbize mwenge wakati hatuna uhuru mikono yetu imefungwa na wachache kiuchumi,kisiasa na kijamii??Haina maana kuendelea kuukimbiza mwenge wetu maana maana ya halisi ya kufanya hivyo haipo......tungekuwa na uhuru wala tusinge jali gharama za kuukimbiza mwenge maana tungekuwa na mafanikio kibao,gharama isingekuwa ishu,na tendo hili lingekuwa ni fahari ya kila mtanzania.
  Tutafute uhuru,sisi wote ni wafungwa chini ya serikali na sera zake sizizo huru.
   
Loading...