Passport kubadilishwa tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Passport kubadilishwa tena?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Apr 29, 2010.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi kwamba hati za kusafiria zinabadilishwa tena:yuck:
  Kama kuna mwenye habarari za uhakika tunaomba mtusaidie..
  Kama kweli...tueleawe kwanini?si miaka mingi selikari ilibadisisha :target::angry::painkiller:

  WFT is going on na hii selikari ya JK...this is BF
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kama ni kweli nakubaliana na wazo/hoja ya kubadilisha hizi passport zetu....................zinachezewa mno na wasomali, wanigeria, wakenya na wacongo....ofcourse wakishirikiana na maafisa wa serikali yetu
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tetesi!!!!!!
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  hapo hata wakibadilisha zikawa vp haitasaidia k2!!
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ogah - mbona unajichanganya? kama wanaoghushi wanashirikiana na maofisa wa serikali, je hizo mpya? si watashirikiana tu?

  MODs, bila ya concrete proof, ondoa hii thread, au angalau iweke ktk Habari Mchanganyiko.
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Tetesi huku siko.
   
 7. Bright

  Bright Member

  #7
  Apr 29, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safari hii tubadilishe bila malipo wala kujaza fomu upya!
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,225
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280

  Kabisa! Tumechoshwa kwenda kupanga foleni kubadilisha pasi hizi!
   
 9. O

  Ogah JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sending a message kwa wahusika...............
   
 10. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I beg to differ! Kwanza hii ni rumour; pili; una maana gani kusema "zinachezewa..."? Kama sioo undundu wa maafisa pale hizi passport ni ngumu sana kuzifanyia mchezo wowote kama kuforge au kutengeneza dublicate, beleive you me!! Kuanzai utengenezaji, na uhalali wa hizi passport etc is one of the most secure passport issiance system in Africa, if not the world!
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Vidunda,
  ....niliposema "zinachezewa" nilikuwa na maana passport zetu zimekuwa zikitumiwa sana na hawa watu ilikufanikisha malengo yao ambayo mimi na wewe hatuyajui......lakini it ends up kuipa sifa mbaya Taifa letu......kwamba Passport zetu ziko kama njugu barabarani........i've got this personal experience.........oneday nikaambiwa kuna mtanzania amekamatwa sehemu....................only ku-find ni M-DRC...................sehemu nyingne tena.....nikakuta ni Mkenya.......and so on so on................sasa what is this "Coincidence".................

  Yes passport zetu zaweza kuwa na teknolojia maridadi kabisa......lakinikama maafisa wetu pamoja na sisi wenyewe hatuko makini..........hili jambo lina/tatu-cost............
   
Loading...