Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wajameni, salamu kwenu. Ni imani yangu kuwa wote tumeamka salama. Kuna tetesi kuwa jana kulizuka ugomvi kati ya mkuu wa wilaya ya ngara vs mwandishi wa ITV hali iliyosababisha wananchi kuondoka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Viongozi wenye utamaduni wa "choo kichakani" waongoze, wasiongoze? Council rejects School closure By The Citizen Reporter, Geita From The Citizen, 12 May 2010...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka huu tunaingia tena kwenye uchaguzi, jee yaliyotokea mwaka 2005 yatatokea tena mwaka huu?? Lengo la TAKWIMU hizi ni kuonyesha ni kwa kiasi gani kwa kila mkoa kati ya watu mia ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
* Hatma yasubiri maamuzi ya Waziri wa Utumishi Na Dunstan Bahai Tuesday, 11 May 2010 MAZUNGUZO yaliyokuwa yanasubiriwa kuamua hatma ya mdai ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Akumbusha wajibu wa viongozi kwa wananchi na Mwandishi Maalum, Mererani Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha amewataka wana CCM kuacha kujidanganya...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania, Nakuja nyumbani kuhubiri hili; Mbele yetu ipo nafasi ya kufanya maamuzi nyeti juu ya mustakabari wa taifa letu na juu ya mustakabari wa kila raia wa taifa hili. Tunayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Should we create a mandatory sentencing of either Life in prison (with hard labor) or capital punishment for public officials found guilty of corruption that involve the loss, missuse or...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
HakiElimu wamejitahidi kukusanya na kuchapisha ahadi za serikali ya JK zikiwemo alizotoa yeye mwenyewe. Source: HakiElimu
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Binafsi naona limefilisika kimawazo na kiuchambuzi. Mimi ni msomaji sana wa Mwanahalisi ila toleo la jana kuna makala ya Kubenea ihusuyo UDINI KUINGIA BUNGENI, likijenga hoja kuwa mawaziri...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vicky Ntetema wins bravery award for BBC albino report "I am worried that it is a year of elections and the witch doctors say politicians use the potions to try to make sure they win"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kwa harakati za kusaka jimbo la uchaguzi Pia adaiwa kuwamwagia misaada kibao Mwenyewe adai yuko gizani Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM). Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM) na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Henry Shekifu, wamemaliza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Wakili Alphonce Katemi anayemtetea mdai Paskazia Matete, ameiomba mahakama kutupilia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkapa ni mmoja wa marais wenye msimamo ambao Tanzania imewahi kuwapata. Ni katika kipindi chake ndiyo Tanzania imeshuhudia mapinduzi makubwa ya kiuchumi hasa katika kuuza na kubinafsisha mashirika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MAMAD2010 WAUNGWANA ZA KALE. MIMI NAOMBA BAADA YA MUDA MREFU NIINGIE KWENYE JAMVI HILI NIKIWA NA MAWAZO YAFUATAYO NA STRICTLY HAYA NI MAWAZO YANGU NA ATAKEONA MIMI BADO NI MJINGA AU SINA ELIMU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi Tanzania tunaviongozi au viongozwa ? mimi sijui, je wewe wajua? Najua wajua ila huna sehemu ya kulisemea kwa muda muafaka , sasa ngoja mimi ni seme yale ninayo ya jua japokuwa najua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NB: Baadhi yetu tuliofurahishwa na sehemu ya kwanza ya ushambulizi wa kihoja na kiakili wa hotuba ya vitisho kwa wafanyakazi ya Rais Kikwete tumempa moyo Mhadhiri Bakari Mohammed wa Chuo Kikuu cha...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wafanyakazi wa Tanzania na Watanzania wote wenye akili timamu, msiichangie CCM katika kampeni yake ya SMS au namna yeyote ya michango iwe ni matembezi =, karamu au mnada ili ipate pesa za uchaguzi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama kuna Jamhuri inayojua kufuja fedha na rasilimali bila kutumia akili ama kwa makusudi, ni jamhuri ya Tanzania. Serikali iliona ulazima kutumia fedha nyingi kiasi hiki eti kutoa fidia bila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom