Poleni wafanyakazi wenzangu

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
Kikwete aelewe sisi ndio tunaofanyakazi usiku na mchana madaktari, walimu, makarani, wahandisi, manesi na wauguzi, mahakimu, polisi, wanajeshi, marubani, viwandani, maofisini, migodini, mashambani, kuhakikisha rais wetu analipwa vizuri anaishi vizuri yeye na familia yake lakini tumeambulia kutukanwa, kudharauliwa, kutishwa, badala ya kuwafokea na kuwatisha mafisadi anatufokea tunaomlipia nauli kwenda kutembea nje, amesahau juzi alipokuwa anaomba kazi kwetu tukamwajiri leo ametugeuka anasema yeye ndiye mwajiri mkuu............imeniuma sana.
 
Kule kwetu Zenj tunasema: wasaidaka wafaidaka wapundaka.Yani shukurani ya Punda ni mateke.Tumebeba ' viumbe wazito'tunaambulia matusi na kejeli badala ya faraja na msaada.
 
awafokee mafisadi hajipendi??? subutu yake, ikulu ataisoma kwenye gazeti
 
Back
Top Bottom