Kwanini sisi tukuite wewe mtanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini sisi tukuite wewe mtanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by firstcollina, Apr 29, 2010.

 1. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtu usiye hata na chembe ya uzalendo katika kope za macho yako. Mwenye kuthubutu hata kuidanganya hadhira na jamii tena kwa HONGO ili apate kibali na haki ya kuwaibia wanyonge. Mpumbavu usiyejali hata utu na asili ya utu wa baba na babu zako. Muongo, Mnafiki, Mwoga hata kwa wageni wasio na hadhi ya daraja ulilonalo, Why should we call u our fellow Mtazania?

  Nijuavyo mimi thamani ya mtu hutokana na matendo atendayo kwa haki ya walio wengi, sasa iko wapi thamani yako wewe unayejali tumbo lako na la watoto wako pekee?

  Inauma sana kuwaona hawa walio na madaraka huku hawana hata chembe ya uzalendo na Taifa lao wala juu ya rasilimali za taifa. Walio tayari kuwapa wageni thamani ya utaifa kwa kupokea Senti a ubuyu.

  Go to hell.....!
  Huu si upuuzi? Mtu unashabikia tena unakuwa tayari hata kuuza nchi nzima eti kwa kisingizio cha Uwekezaji, ni uwekezaji wa namna gani huu usiyo na mipaka, wala sheria ya ku-counter check the viability and monitoring of the agreements. Uwekezaji usio kupa fursa ya kuuliza muendendo chanya ama Hasi ni uwekezaji huu au ukoloni? Uwekezaji usiokupa fura ya maamuzi wewe mwenye mali bali yule mgeni....! Eheeeeh!! Who are you now, I will be very very wrong to call you Mtanzania.

  Help me to stop these.......!!!! Fu*.../$#K!!
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  There is such a thing as flaming.UTanzania ni haki ya uraia, regardless ya tabia ya mtu. Hata kama mtu fisadi wa kutupwa lakini kama kazaliwa Tanzania na/ au ana uraia basi ni Mtanzania tu.

  Ni kama ndugu katika familia, huwezi kumkataa ndugu yako kwa sababu kafanya vibaya, utakuwa katika denial tu.

  Utanzania si sifa ya kitawa wala kiwalii.
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Jamii nzima imeoza, kuanzia wapiga kura hadi wapigiwa kura!
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Tatizo taifa halina muongozo, na kama upo kwenye makaratasi viongozi wa kuuweka kwenye matendo hawapo. Kwani tulio nao wanahitaji na wao kusimamiwa.
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mi si ndio maana sipigi kura
   
 6. M

  Madevu Member

  #6
  May 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii sio dawa mkuu, piga kura za hapana kwa viongozi wasio Bora na shawishi wengine kuwapigia kura viongozi bora...
   
 7. M

  Madevu Member

  #7
  May 3, 2010
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee huyu mtu atakuwa amekukera sana, lakini hizo ndio tabia za viongozi wetu wengi tulionao hapa nchini, Tutumie nafasi zetu kuleta mabadiliko ikiwa ni pamoja na kubadilisha viongozi waliokuwepo....
   
Loading...