Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na mjadala mpana kuhusu Dk. Wilbrod Slaa, Mbunge wa Karatu na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kugombea Urais mwaka huu ili apambane na Kikwete wa CCM. Kwa maoni yangu, Slaa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Zote hizi ni kwa mwezi: [24 x 2,422,000 = 21 x 2,046,000 = 27 x 2,080,000 = 1 x 4,850,000 = 1 x 4,850,000 = 323 x 1,921,000 = 127 x 1,921,000 =] [12] The process is also known as "the order...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Nyerere aliwahi kusema hivi "mtu akiwa anajua kuwa una akili timamu, akakwambia kitu cha kipumbavu na akajua unajua ni cha kipumbavu na ukakubari, atakudharau" Leo hii tunapojiandaa na uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
MIONGOZO iliyotolewa na madhehebu ya dini za Kiislamu na Kikristo nchini kuhusu uchaguzi mkuu, haina matatizo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Philip Marmo amesema. Pia amesema Rais...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi naona jeikei haitaji kura za wafanyakazi.............. HAZINA MAANA SANA KWAKE,kwasababu wafanyakazi wenyewe ni wachache sana ukilinganisha na watanzania wengi wenye njaa zao...... sasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi na wana jamii wenzagu Kiu -halisia mshahara wa kima cha chini cha zaidi ya US dola 300 kwa wafanyakazi wa Tanzania hautekelezeki. Haiwezekani na haiwezekani, mfanyakazi anayedai huo...
0 Reactions
294 Replies
30K Views
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimebadili utaratibu wa kuwapata wagombea ubunge na udiwani kwa kuruhusu wanachama wao wote kupiga kura za maoni, uongozi wa chama hicho wilayani Sengerema, mkoani...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika jimbo fulani kuna bango linalomnadi mbunge wa sehemu hiyo hivi: Baadhi ya misaada mbalimbali niliyotoa kwa wanajimbo langu binafsi: Nilisaidia upatikanaji wa majeneza pamoja na kusafirisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Raia Mwema Mei 12, 2010 Wakuu wa mikoa, wilaya wafanya mikakati ya siri Wafanyakazi serikalini, sekta nyeti wakosa morali SERIKALI haikujiandaa kupata wafanyakazi mbadala...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ONA HII Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kwa mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 75 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977,inawatangazia wadau wa Uchaguzi na Wananchi kwa ujumla kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I'm a youth, a CCM member, and one among the many victims of Jakaya's myths; infact i was on my final year (undergraduate) when this gentlemen visited the campus, and to be honest i was really...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sasa mwanzo serikali ilipiga kelele; sasa inakuwaje mizuri? Je ukiangalia ni upi kati ya ule wa waislamu na wakristo una tija kwa taifa letu? Kingunge yuko wapi sasa? Au amekwisha uelewa kwa muda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Oktoba 1966 kundi la wanafunzi kama 400, wengi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waliandamana hadi Ikulu kwenda kupinga sera mpya ya kuwataka kwenda kutumikia Jeshi la Kujenga Taifa wakiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kagame’s iron whip imposes tough discipline in Kigali By Harold Ayodo - The Standard, Nairobi A Kenyan stepping out of a downtown hotel in Kigali, Rwanda, immediately realises they are not in...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
......Pengine kwa nchi yetu hili lisingekuwa jambo la kutisha kama tungekuwa tumeanza kuona chama kizuri cha upinzani ambacho kinaweza kuiongoza nchi hii badala ya CCM. Hakijaonekana bado...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Uteuzi wa wagombea urais Bara, Visiwani kujulikana mwezi ujao Mwenyekiti wa chama CUF, Profesa Ibrahim Lipumba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha na Uchumi), Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini. Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya kusimamia utekelezaji wa kura ya maoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yasema vifaa vingi vya kura vipo tayari Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, wakihakiki majina ya wapigakura waliojiandikisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza sana,hivi safari zote za JK ndani ya US zinakuwa kutoka mualiko wa nani? Je Raiis wa marekani anakuwaga na taarifa za ujio wa raisi wetu, maana kuna wakati raisi anakaa zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tundu Antipas Lissu: Ataka ubunge Singida Kusini-Mashariki Gazeti MwanaHalisi MIAKA mitatu iliyopita, katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam, yalitokea mambo makubwa mawili...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…