MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Nimekuwa najiuliza sana,hivi safari zote za JK ndani ya US zinakuwa kutoka mualiko wa nani? Je Raiis wa marekani anakuwaga na taarifa za ujio wa raisi wetu, maana kuna wakati raisi anakaa zaidi ya wiki US na hatuoni matukio ya kukutana na raisi au kiongozi mkuu yeyote kule mara nyingi.
sasa kama raisi kila mara anaenda US, inaonyesha yupo karibu na nchi ile na raisi wao, mbona Obama hatujamsikia akija huku?? hata mara ya mwisho alipotembelea Africa alienda sehemu tofauti kabisa......Kuna umuhimu wa safari za JK zikamulikwa vizuri tukapata maelezo yakuturidhisha maana zinaligharimu taifa....