Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Mwandishi wetu, Mwanza KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Isamilo wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, Bahati Stepahano (50) amefariki dunia baada ya kuvamiwa ofisini kwake na kuchomwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Tumeendelea kuboresha Sheria ya Gharama za Uchaguzi, lakini, lile la takrima ni gumu. Mfano katika mkoa wa Kilimanjaro huwezi kuwaita wazee ukazungumza nao bila kitochi," alisema Kikwete...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Limeibuka wimbi la mauaji ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mazingira yanayoacha shaka kwamba huenda kuna mikono ya kisiasa katika vitendo hivyo. Wakati wakazi wa Jiji la Mwanza wapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"....................Takrima iliasisiwa na serikali ya Mkapa. Baadhi ya wenzetu wakadhani JK aliye ‘chaguo la Mungu’ hataweza kuivumilia; ataifuta. Mahakama Kuu ilipoifuta, mashabiki wake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ASEMA WAKATI WAKE RUSHWA HAIKUWEPO RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa ameshangaa kukithiri kwa rushwa katika utawala wa awamu ya nne ikilinganishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatutaki Tena Hekaya za Alinacha Mwezi wa kumi (10) Watanzania wenye umri usiopungua miaka kumi na nane (18) watapiga kura kuchaguwa Rais na wabunge kupitia vyama vyao wanavyo viamini kuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mauaji ya kinyama sasa yaandama makada CCM Na Waandishi wetu, NIPASHE Limeibuka wimbi la mauaji ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mazingira yanayoacha shaka kwamba huenda kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awali ya yote naomba nitumie nafasi hii kuwasalimu nyote Wanajamii Forum na Kuunga Mkono Mtazamo,itikani, Imani, na Hoja mbali mbali mnazozitoa kuhusiana na Mwelekeo wa Uchaguzi wa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Elizabeth Suleyman MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assembles of God (Tag) Macmilan Lyimo MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assembles of God (Tag), lililoko eneo la Mabibo jijini Dar es...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
We differ in our views when it comes to the politics of our country but, we're going to elect new leaders on all levels of the gov. What do you think we should consider in this coming election...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CHAMA Cha Jamii (CCJ), jana kilishindwa kuwasilisha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, maombi ya usajili wa kudumu na kitendo hicho sasa kitafanyika mapema wiki ijayo. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Whose Slave Plantation is it Anyway? A Critical Reading of Wole Soyinka’s Distinguished Nyerere Lecture on ‘New Imperialisms’ “My observation – which I fully expect will be strongly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tulimshuhudia Kikwete akiwakaripia wafanyakazi (TUCTA) pamoja na vitisho vingi dhidi yao na kuhitimisha kwamba hazihitaji kura zao (kama vile tayari ameshachaguliwa kuwa mgombea wa urais na chama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sasa uwakilishi wa wananchi hasa bungeni hauna mwongozo (uregulated). Raia mmoja anaweza kuwa mbunge kwa zaidi ya miongo minne. Ni ukweli usiopingika kuwa mwakilishi wa wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa UVCCM, Hamad Masauni Yussuf, anadaiwa kughushi cheti cha kuzaliwa kwa lengo la kudanganya umri ili aweze kupata nafasi ya uongozi. Anamiliki cheti cha kuzaliwa bandia chenye namba...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
WAHISANI wamepunguza mchango wao kwenye bajeti ya serikali kwa mwaka 2010/2011 kwa sababu mbalimbali, ikiwamo kasi ndogo ya serikali katika kutekeleza mageuzi katika sekta za umma. Taarifa ya...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema utekelezaji wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi hasa katika kipengele kinachokataza takrima, ni mgumu. Rais Kikwete alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na viongozi wa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku cheti maalumu Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha kwa ufanisi mkubwa kufanyika kwa mkutano wa World Economic...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yadaiwa ni mkono wa mtu Aliugua gonjwa la ajabu Alikataa kubadili nia hiyo Jiji la Mwanza lazizima Mwanamke aliyekuwa ametangaza nia ya kuomba uteuzi wa kugombea ubunge katika jimbo la...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…