Tanazania police brutality.

Hivi hawa ni police au majambazi tuu ya mjini? haya mambo bado yanaendelea sana na wengi wanakufa sana mikononi mwa hawa majangiri yanayoitwa police/wanausalama,hizi ndio kazi za kina Zombe na wenzake

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom