CCM mwingine kagushi vyeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM mwingine kagushi vyeti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saitama_kein, May 16, 2010.

 1. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  MWENYEKITI wa UVCCM, Hamad Masauni Yussuf, anadaiwa kughushi cheti cha kuzaliwa kwa lengo la kudanganya umri ili aweze kupata nafasi ya uongozi.

  Anamiliki cheti cha kuzaliwa bandia chenye namba E. 00023509 kilichotolewa Juni 15, 2007 na kuonyesha kwamba amezaliwa Oktoba 3, 1979.

  KUMBE

  Detail toka Pasi ya kusafiria ya Januari 28, 2005 zina maelezo kwamba alizaliwa Oktoba, 1973.

  KATIBA YA CCM: Nitasema ukweli daima, fitina kwangu ni mwiko!!
  :)::KICHEKESHO:::)

  Source: Tanzania daima
   
 2. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hilo lisikustajabisheni kwani Baba yake aliyemzaa ndie aliyekuwa Mtoa Pass hapa Zanzibar akishirikiana na mama mmoja kwa jina Bi Asia nasikia yupo mbele ya haki kwa sasa.

  Bila ya Mzee Masauni ilikuwa Ng'oo kuipata pass hapa zanzibar na wahindi wengi pamoja na watu wa mataifa ya karibu waliondokea kwa pass za Tz kwenda Ng'ambo miaka ile.

  Kwa taarifa yako mzee Masauni ndie aliyeifanya Batili na kuwa halali ule mwaka ?? palipo bakia utajaza
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mrithi husana.
  Alianza baba yake kuwa fisadi yeye anaendeleza tu ila hizi taarifa kama za upande mmoja na source ni chombo cha habari makini Tz daima tulitaka mizani ya habari kwa kumtafuta Yussuf mwenyewe naye ajibu "mashitaka" yake.
   
 4. R

  Rayase Member

  #4
  May 16, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unapokuwa mwongo lazima uwe na kumbukumbu
   
 5. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  Sishangai kwa serikali hii ya CCM. Wao walishabariki kila aina ya ubazazi including forged certificates(being academic or birth).

  Kama mnakumbuka, kulitolewa orodha ndefu ya wabunge na mawaziri/manaibu mawaziri waliokuwa na forged academic certificates, lakini katika hali ya 'huyu ni mwenzetu', spika 6 alifunika hiyo ishu na kuna taarifa baadhi wameingia darasani kutafuta elimu ya kweli kweli. Ni kitu serious kinachoweza hata kugharimu serikali ku-collapse pale mawaziri/manaibu mawaziri watano wame-forge elimu wanapothibitika kufanya hivyo ila kwa CCM, mambo ni tambarare (business as usual). Wapo wengi tu.

  THE WAY FORWARD:
  Hawa CCM wameshajiaminisha kwamba hakuna Tanzania bila CCM, na mbaya zaidi wamashaamini kwamba watanzania ni 'hamna kitu' (brain dead) kiasi kwamba hawana hofu kutenda kosa lolote. Hii ni dharau iliyopitiliza.....let's put them aside for a while wajifunze.
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Asante Sonara...kweli Zanzibar ni zaidi ya tuijuavyo.....
   
 7. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tanzania yenye neema inawezekana bila ya CCM jamani eeeh.......
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  huyo ni mmoja kati ya waliowengi cha msingi kama alivyowahi kusema mwanasiasa mmoja kwamba kama wakifuata haki basi hakuna mwanasiasa safi katika taifa letu wote wanamatatizo yao cha msingi ni wakati wa sasa kuongelea mfumo na si mtu binafsi kwani kinachoonekana ni tatizo la mfumo ambalo lipo na si la watu wenyewe

  watu wenye kuweza kubuni mifumo sasa ndio wakati wao kuliokoa taifa katika janga la ufisadi katika kila sekta
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi watu wa tabia hii huwa hawajibu simu kutoka namba ya wasiyemjua. Hata hivyo atakanusha tu, bila ya kutoa hoja zozote, kama vile RA anavyokanusha tuhuma zake kem kem. Wamezoea hivyo.
   
 10. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  mkuu kwa kigezo cha umri tunawafukuza wengi wa kina Edwin sanda, beno malisa
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani kuna ubaya gani wakifukuzwa?
   
 12. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Katiba yao inasema "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko".....
   
 13. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #13
  May 16, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kumtendea Masuni haki ni pamoja na kutoa data ya kusupport hiyo ya kugushi. Labda kulikuwa na makosa wakati wa kutoa pasi ya kusafiria ambapo iliandikwa mwaka 1973 badala ya 1979. Lakini kwa kuwa hakuishi kwenye dunia yake pekee, tofuati ya miaka 6 ni kubwa sana! Mathalani shule ya msingi wengi walianza wakiwa na umri wa miaka 6-7, tukipata shule alizosoma na miaka aliyosoma itatupa mwanga zaidi ya kuanza kubaini ukweli. Kwani hawezi alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 0, na wala hawezi kuwa alisoma peke yake, unless awe mzee wa Igunga

  Sijui chama chao cha kifisadi kama kitamwajibisha kwa kuwa ile ahadi ya kusema ukweli daima siku hizi imezidishwa kwa hasi moja.
   
 14. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #14
  May 16, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yafaa watu wacheki na vyetu vya shule pia, manake hawa huwa hawaishii hapo tu so long wanauwezo wa kutengeneza documents za kuwasaidia kufikia malengo yao.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee wa Igunga ni habari nyingine mkubwa! Hatakiwi hata kugushwa nchi hii bwana......!
   
 16. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndio Tanzania yenye wenyewe....Huu mfumo hauwezi ku last we need to do something kama taifa...ni pale ambapo tutaweza kuweka tofauti zetu za kisiasa,kidini na kikabila pembeni na kupambana na uchawi,ukafiri, vinyago vya namna hii...! sijui tunawarithisha nini watoto wetu....any way sikumbuki hata mimi nimerithi nini!

  HAKI HUINUA TAIFA, BALI DHAMBI NI AIBU YA WATU WO WOTE Mithali 14:34
   
 17. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,519
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Sina cha kuongezea Mkuu Nono maana hapo ni pagumu kwa Mh. Masauni kujinasua kuwa kaanza shule akiwa na umri wa miaka sifuri au akiwa kichanga cha mwaka mmoja, tunaomba waliokuwa wakimbeba na kumpa 'kichanga' hiki chupa ya maziwa darasani (shule ya msingi) watuletee data.
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  May 16, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duu kama habari hizi ni za kweli basi kweli kimeo..Ila kama ni za kughushi it is unfair kumsingizia.
   
 19. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hahaaaa.......
   
 20. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #20
  May 16, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Adui mkuu wa CCM wasomi au watu waliopata elimu kwa hiyo vyeti feki ni mradi wa CCM panapokuwa na mbumbu wengi ni lahisi kuwaburuza wasomi watakuuliza unatupeleka wapi?Hicho ndio chanzo cha matatizo yote mikataba isioeleweka na maamuzi ya ajabu ajabu na kauli za ajabu ajabu .MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
Loading...