Inasemekana kwamba Mtendaji Mkuu wa TANROADS Ephraem Mrema yupo katika wakati mgumu ambapo atamaliza muda wake kesho tarehe 3 June 2010.
Habari zilizopatikana katika gazeti la Tanzania Daima...
Ninaomba kunukuu baadhi ya vipengele kwenye hotuba ya Zito ambavyo ningependa tuvijadili:
"Mheshimiwa Naibu Spika, Mheshimiwa aliyetoka kuzungumza hivi sasa [mheshimiwa Mzindakaya] alizungumza...
It's been an interesting five years since the election of Jakaya Kikwete in 2005 until now. We have seen a political enlightenment from a people who in these short five years have seen scandals of...
Wakati naangalia mpira wa kombe la dunia, lilipita Tangazo moja la Yingli Solar, nimeliona mara moja tuu, na sijaliona tena. Nikapata shauku kuwatafuta kwenye mtandao, nao wako hapa Yingli Solar...
Latupa lawama kwa Jeshi la Polisi
Kanisa Katoliki limesema kwamba limechoshwa kuzika waumini wake wanaouawa na majambazi ambao wamekuwa wakilitetemesha eneo la Kimara jijini...
`Dollarisation` hurts Tanzania economy
By Adam Ihucha
13th June 2010
Extensive use of the US dollar in major and minor transactions in large urban centres in the country, especially in...
*
Nimesoma maoni ya mwenzetu aliyo orodhesha Jitihada za Mh Rais. Sijui ndugu yetu hoja zake amezipataje lakini mimi nikaona nifuatilie hii suala na nimepata majibu yafuatayo,
1...
UN - Secretary-General Appoints Augustine P. Mahiga of United Republic of Tanzania Special Representative for Somalia
United Nations Secretary-General Ban Ki-moon today announced the appointment...
The CCM and their politicking would determine what would happen and
who becomes what, they have their own basis of choosing who flies
their flag but Tanzania is bigger than the CCM and options...
Kwa tabia yake ya kutostushwa na jambo lolote hata liwe baya kiasi gani, Kikwete ameonyesha ni bonge la Amiri Jeshi Mkuu. Kwa kutumia nguvu nyingi kuhalalisha mishahara "kiduchu" kwa wafanyakazi...
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro anaetoka Maeneo ya Turiani Bw Marcussy Mgweno (pichani) Ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wananchio wa Jimbo la Uchaguzi...
WanaJF Naomba ushauri
Nimepitia budget ya 2010/11 nimeona hakuna jipya ndo mana nikajiuliza hivi kwanini serikali haitumii Think Tank kama wataramu wetu wa vyuo??
Tatizo la Serikali yetu...
Chama cha Jamii kikiendelea kuonesha dhamiri yake ya kutokukubali kusukumwa pembeni kimetangaza jana baadhi tu ya ajenda zake ambazo ndio kiini cha kuwekewa mizengwe ya kupata usajili wa kudumu...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto ambaye amekitupia lawama Chama Cha Mapinduzi kwa kushindwa kupunguza umaskini nchini
Exuper Kachenje, Dodoma na Leon Bahati
MBUNGE wa Kigoma...
Haya ni baadhi tu ya orodha ya majaribio ambayo binafsi nayaona yanaweza kumfanya JK akose raha hata kama atakuwa bado ana kiburi cha kuendelea na awamu nyingine ya Uongozi.
Mikopo kwa...
Miaka yote tz tunajua wakati kama huu waganga wa kienyeji ndio wanatajirika kwa pesa toka wa wanasiasa....hivi ni lini tutafuta kabisa huu upupu unatuchafulia sifa taifa letu?....jamani mimi hata...
Takribani mwezi mmoja uliopita kulikuwa na tangazo kwenye blogs na hapa JF kwamba kuna dada yetu mmoja alipotea na akawa anatafutwa na ndugu zake.
Taarifa iliyotolewa kwenye local TV stations za...
Exuper Kachenje, Dodoma
KAULI ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuwa uanzishwaji wa Chuo Kikuu cha Dodoma haumo katika Ilani ya CCM na kuwa chama hicho kimeshindwa kufikia hata nusu ya...
Safari za kwenda Marekani za Rais.
XP: Watazamaji wa Television ya luninga, leo tena tunawaletea mahojiano yasio rasmi ya viongozi wetu vijana, yaliofanyika Ikulu nyeupe kule kwa bwana...