Msiba Los Angeles - Mtanzania aliyepotea LA, akutwa amekufa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba Los Angeles - Mtanzania aliyepotea LA, akutwa amekufa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Keil, Jun 10, 2010.

 1. K

  Keil JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  [​IMG]  Takribani mwezi mmoja uliopita kulikuwa na tangazo kwenye blogs na hapa JF kwamba kuna dada yetu mmoja alipotea na akawa anatafutwa na ndugu zake.

  Taarifa iliyotolewa kwenye local TV stations za Southern California zinasema kwamba mwili wa huyo dada ulipatikana jana nyuma ya nyumba aliyokuwa akiishi. Ulikuwa umefungwa kwenye mifuko ya plastic na blanket kama takataka.

  Mume wa marehemu anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo. Dada huyo alikuja kwa ajili ya kusomea kozi ya Uuguzi na alikuwa anasoma ili awe Registered Nurse. Ameacha watoto 2.

  Lilian Mgonjwa alihojiwa na kituo cha TV kutoka makazi yake huko Long Beach. Kama kutakuwa na taarifa za ziada ninatumaini tutaendelea kujulishana.

  Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.

  NB: Modes, kwa kuwa tangazo lilitolewa hapa kwenye Jukwaa la Siasa niliona ni vyema nikatoa taarifa hizo hapa na baadaye mnaweza kuihamishia popote mtakapoona inafaa kuwekwa.
   
 2. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hofu yetu imetimia. Mungu ailaze roho ya merehemu mahali pema peponi!
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  So sad, RIP Caroline
   
 4. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Habari hizi ni za kuhuzunisha sana..bado tulikuwa tunatarajia angepatikana akiwa na uhai.
  Mungu amlaze pema peponi.
  Amen
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Duh..dunia tambara la deki.

  Poleni wafiwa

  RIP Marhum
   
 6. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mungu awajalie FARAJA yake.. Poleni sana!
   
 7. L

  Lady JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  poleni sana!
   
 8. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rip
   
 9. K

  Keil JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Samahani kwa kunielewa tofauti. Aliyefariki ni Caroline Mmari. Huyo Lilian Mgonja ni ndugu wa marehemu.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Poleni Sana,

  Nakumbuka yule binti ni Carolyne Mmari, na huyo mtoa taarifa Lilian Mgonja maidem name yake ni Lilian Mmari, jee hawa ni ndugu?

  Pia yoyote mwenye taarifa zozote kuhusu binti anayeitwa Joyce Mmari, Helga Mmari na Hosiana Mmari ambao wote wako huko US naomba anitumie kwa PM. (mimi ni private interested party)

  Ndugu, jamaa na marafiki, poleni sana.

  RIP CAROLYNE MMARI.
   
 11. K

  Keil JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
 12. JS

  JS JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ohooo i was shocked with news ndo maana. Huyo Lilian atanisue.
   
 13. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  RIP Caroline.
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Nadhani kuwa huyu Lilian Mgonja ni mke wa Gray Mgonja anayekabiliwa na kesi hapo dar; na huyu marehemu Caroline pia ni ndugu yake.

  Kupotea mtu mzima kwa muda mrefu si jambo la kawaida; hata mini nilikuwa na wasiwasi kuwa ndugu yetu huyu anaweza kuwa hayupo hai tena. Kwa kuwa mwili wake umekutwa ukiwa umefungwa kwenye mfuko, ni wazi kuwa aliuliwa na mtu wa karibu naye. Ukweli utajulikana hivi karibuni tu, polisi wa wenzetu wanajua sana kutatua kesi za namna hiyo

  Mungu ailaze pema pepono roho yake.
   
 15. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sasa miezi yote hiyo wamekuta mwili au nini? This is sad indeed. Ila taarifa ya awali haikusema kuwa ameolewa na pia ilisema ameacha mtoto mmoja tu. Poleni sana wote
   
 16. c

  cerezo Senior Member

  #16
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Rip
   
 17. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #17
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa mkuu.

  Familia nawapa poleni na Mungu amweke mahali pema peponi.Amen.

  This is extremely sad.
   
 18. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Pamoja na masikitiko haya, Binafsi naomba hili liwe fundisho kwa wale woote walioona hili kama tukio la mzaha na kuanza ku-joke. Ni rahisi ku-joke tukio lisilo kuhusu. Wengine tuliona hatari mapema sana. That is US.
   
 19. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,814
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  doh,R.I.P CAROLINE,lakini kuna swali najiuliza hapa,kwanini hawa dada zetu wanapotea ghafla na mara wakipatikana ni maiti tayari,tena mara nyingi inakuwa hivyo imekatwakatwa vipande na imetiwa ndani ya mfuko,inasikitisha sana kwakweli.
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Inasikitisha sana; Nawaza hali waliyonayo wanawe! Mungu awatie nguvu wote walioguswa na hili!
   
Loading...