Kikwete ni Bonge la Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ni Bonge la Rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigarama, Jun 14, 2010.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwa tabia yake ya kutostushwa na jambo lolote hata liwe baya kiasi gani, Kikwete ameonyesha ni bonge la Amiri Jeshi Mkuu. Kwa kutumia nguvu nyingi kuhalalisha mishahara "kiduchu" kwa wafanyakazi wa Tz amethibitisha kwamba yeye ni Chaguo la Mungu

  Uwezo wake wa kuzima hoja ya Kadhi kwa kumtupia Lawama Augustine Mrema na Juma Ngasongwa ameonyesha yeye ni mtu mwenye uwezo wa hali ya Juu wa mazingaombwe.

  Kwa kusema kwake kwamba watoto wa tanzania wataanza kutumia Kompyuta kusomea wakati hata madawati na madarasa ya kutosha hakuna, amethibitisha yeye hawezekaniki.

  Magari yake anayosafiria yanapozimika zimika na kutoka matairi yeye anaona ni mipango ya Mungu. Kwa KWELI Kikwete ni bonge la Rais ambaye hajapata kutokea Tanzania na hatapata kutokea katika nchi yetu!!
   
 2. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 377
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Anastahili kuwa mwenyekiti wa kijiji, NO, sorry nilmaanisha balozi wa nyumba kumi kumi kijiji cha mwanzo mgumu!
  Hivi alipataje jukumu la kuongoza taifa la watu Milioni 40?
  Hivi katika sheria za uchaguzi, hakuna kipengele cha kimpima mgombea akili ili ijulikane kama ana akili timamu ama la?
  Naona jamaa, haso got probs kichwani, na uwezo wakufikiri is below zero mark!
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,690
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha, umenipa raha asubuhi hii... Monday Morning yangu kidogo inakuwa na unafuu
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,094
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Ingawa amefanya jambo jema sana. swali linalonikuna hapa ni kuwa hizo pesa Kikwete kazitoa kwenye bajeti gani.
   
 5. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 477
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Heeeeeeeeee

  Hiiii kweli Blue Monday.tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe:A S-eek::roll::pound:
   
 6. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaazi
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Mimi nilifikiri binge kwa unene...na kwa kuwa sijamwangalia siku nyingi nikadhani kanenepa ghafla
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  BRAAAAAAAAAAAAAAAAA:lalala::lalala: HILA SAMAHANI MKUU SINA LA KUSEMA KWA PRESADAA HUYU
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  JK ni Bonge la Rais na ndiyo maana ni Mwenyekiti wa Chama chetu kinacho jenga Nchi kuu kuu
   
 10. b

  ba mdogo Member

  #10
  Jun 14, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  rais wa marekan lincoln aliwahi kusema hakuna mtu yeyote duniani mwenye uwezo wa kutawala binadamu yeyote mpaka apate ridhaa yake. kwa hiyo ndugu yangu JAXONWAZIR naona mchezo huo hata mwaka huu utajirudia tena. hebu tusubiri
   
Loading...