Hongera Mahiga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Mahiga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Jun 10, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  UN - Secretary-General Appoints Augustine P. Mahiga of United Republic of Tanzania Special Representative for Somalia

  United Nations Secretary-General Ban Ki-moon today announced the appointment of Augustine P. Mahigaof the United Republic of Tanzania as his Special Representative for Somalia and Head of the United Nations Political Office for Somalia (UNPOS). Mr. Mahiga replaces Mr. Ahmedou Ould-Abdallah (Mauritania) who has served in the position from September 2007.

  Mr. Mahigabrings to this position many yearsof both Government and United Nations experience. He combines extensive experience in conflict management, mediation, humanitarian and recovery/development activities. In particular, Mr. Mahiga has lengthy and pertinent experience in the Horn of Africa and other parts of the continent, which will be invaluable in his new position.

  Since 2003, Mr. Mahiga has served as the United Republic of Tanzania’s Permanent Representative to the United Nations in New York. In this capacity, he has been actively involved in various United Nations reform initiatives, including co-facilitating negotiations on establishing the Peacebuilding Commission (2005) and co-chairing intergovernmental consultations on System Wide Coherence reforms, including Delivering as One in eight pilot countries (2008). Ambassador Mahiga has been engaged in intergovernmental and informal working groups on issues of development, peace and security, human rights, and strengthening the partnership between the United Nations and the African Union.

  Before joining the Tanzanian Foreign Service in 1983, Mr. Mahiga worked in the President’s Office as Acting Director General and Director of Research and Training from 1977–1983. He served in various capacities with the United Nations High Commission for Refugees (UNHCR), including as Chief of Mission to Liberia, Coordinator and Deputy Director of the humanitarian and refugee crisis in the Great Lakes Region, and UNHCR Representative in India, Italy, Malta, the Holy See and the Republic of San Marino.

  Mr. Mahiga holds a PhD in Philosophy and International Relations from the University of Toronto, Canada. He was born on 28 August 1945 and is married with three children.

  The Secretary-General expresses his deep appreciation to Mr. Ould-Abdallah for his dedicated service and exemplary leadership on Somalia over the last three years. During his tenure, Mr. Ould-Abdallah has worked hard to bring international attention to Somalia — one of the world’s worst humanitarian and political crises. Through his efforts, the people of Somalia have the Djibouti Peace Agreement, on which current peace and reconciliation efforts in Somalia are built on, as well as the recently adopted Istanbul Declaration that serves as a political pact between the International community and the Somali people on political, security, development and reconstruction issues.


  Source: Secretary-General Appoints Augustine P. Mahiga of United Republic of Tanzania Special Representative for Somalia
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Mahiga. Mungu akubariki na Tanzania yetu. Watanzania mko juu kimataifa.
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Congratulations to Dr Mahiga. kazi kubwa aliyonayo mbele yake ni namna ya ku-deal na wale MAHARAMIA(Pirates) wa kisomali wanaoteka Meli, pia reconcilliations na hatimaye kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Somalia.
   
 4. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Bingo! Hongera sana na kila la kheri.
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Balozi Dr. Mahiga, japo najua dhamira yako baada ya UN ilikuwa ni ku-head TISS, sasa Mungu amekujalia kitu kubwa zaidi ya TISS na ukimaliza baada ya miaka 4, itakuwa ni 2014, rudi nyumbani, ongoza moja kwa moja kijiji kwako, 2015 chukua fomu, si unajua tena kuwa ghorofani anapanda Membe, wewe lazima upewe au Foreign au Utawala bora hivyo kuwa boss wa TISS na kutimiza ndoto yako, na kukamata ulaji, hivyo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.

  Kuna vitu mtu unatamani unakosa unabaki ukisikitika, kumbe Mungu anakuepusha na mambo fulani, hebo ona mwenzako anavyo anavyotahayari!, Mzee Mwinyi kalambwa kibao!, mara msafara wa mkulu unapigwa mawe, mara anaitwa kukabidhi zawadi kwa wasiohusika, mara anafungua jengo kwa majidai huku wamekiuka sheria kwa kujifariji, rais akishafungua tuu, ndio kuhalalisha ukiukwaji wao wa sheria, na rais kweli akalifungua na kesho yake ukuta chali, mara gari la mkulu linachomoka tairi, mara sasa kajaziwa mafuta ya taa badala ya petroli! etc, etc, bora huko uendako!

  CONGRATULATIONS!..
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tunataka vita ikomeshwe somalia
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Jun 10, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,137
  Trophy Points: 280
  ..ina maana Tz haina balozi UN?
   
 8. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Congs Dr. Mahiga
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Mahiga ame head usalama kabla ya TISS kwenye early 1980's huko under Nyerere (wenyewe wameiita "Acting Director General and Director of Research and Training from 1977–1983" hapo juu)

  What gives you the liberty to assume that he wants this now thankless job?
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Nampongeza Dr Mahiga nakumuombea kila la kheri. Asisahau kuwa heshima ya kupewa kazi hiyo ni kubwa kuliko deal ambazo zinachafua jina la Tanzania kama ile kashfa iliyotokea bunge la africa.
   
 11. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hongera Mahiga.. ila position yenyewe, mh!!
   
 12. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 772
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 180
  Noma!

  Kwetu Tanzania mtu akipewa kazi ya cheo tunashangilia na pati tunafanya, lakini kuna kazi nyingine zinahitaji kutangulizwa pole na maombi zaidi ya hongera na chereko.

  Ki-Moon kasema ngoja Muafrika akahusike na wenzie chinja chinja wa Pembe ya Africa huko.
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  JokaKuu,
  Sefue anakwenda UN. Maajar anakuja Washington D.C. Got it? Na rafiki yetu Massinda anakwenda Canada.
   
 14. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hongera..
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Habari za uhakika nilizonazo ni kuwa Balozi Sefue anayetuwakilisha US ndiye atachukuwa nafasi ya Mahiga. More info to come.....
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  mimi nampa pole tu... kazi unayo.. ila sijui anaenda kuwakilisha Somalia, Somaliland.. na atakuwa anafanya nini maana sidhani kama atakanyaga mguu huko..
   
 17. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ambasada Mahinga - pole!

  Hivi bado una-NIA ya kungia mjengoni 2015? Maana naona huko walikokupeleka siko - Somalia? Publicity hapo hautaipata Mh Balozi.
   
 18. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Kiranga, freedom of expression gives the liberty to think aloud as long as you break no law.
   
 19. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 772
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 180


  Inaonekana Mahiga na Bernard Membe wamekuwa wakiomba kazi nje ya nchi lakini wamekuwa wakipigwa chini. Membe hataki tena Uwaziri wa Mambo ya Nchi za nje?


  At UN, Somalia Post Handed from Ould Abdallah to Mahiga...
  By Matthew Russell Lee


  UNITED NATIONS, June 9 -- The UN's envoy on Somalia Ahmedou Ould Abdallah, who called for a moratorium on press reporting of civilian deaths in Mogadishu and cut a stealth deal about Somali off shore rights with Kenya and Norway, has been relieved of his functions.

  Sources last week told Inner City Press that he was being replaced by Tanzania's current Permanent Representative to the UN, Augustine Mahiga. The affable Ambassador Mahiga has been seeking a UN job for some time. He put himself up for the number two post in the UN Development Program,
  running against his own foreign minister. Secretary General Ban Ki-moon and UNDP's Helen Clark bypassed the African Group and gave the post to Rebecca Grynspan of Costa Rica.

  Now, five days after Inner City Press publicly asked about Mahiga and Somalia, Ban Ki-moon has formally named Mahiga to the Somalia post, which is actually based in Nairobi, Kenya.
   
 20. Sun Tzu

  Sun Tzu Member

  #20
  Jun 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Afadhali umehoji hili, kule kwetu hii tabia inaitwa kimbelembele. Hongera Balozi Mahiga. Changamoto kubwa kwako ukiwa Somalia ni kuhakikisha Somalia inakuwa na Utawala wenye Mamlaka ya kutawala na kudhibiti mipaka yake ikiwa pamoja na suala la uharamia. Kubwa zaidi ni kuweza kuwa na uwiano kazi yako na mambo ya siasa silizopita ukomo (Fundamentalism) ya akina Al Shabab. It is unknown territory hata wakubwa inawashinda.

  Lakini ukiweza kwa kutumia Mandate ambayo UN imepewa huko Somalia na kupendekeza mpewe mandate nyingine ambayo itawezesha kupata ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la Somalia, kazi yako itakuwa imefanikiwa. Kila la kheri.
   
Loading...