Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nape katangaza kuwania ubunge kupitia jimbo la ubungo. Kati ya wagombea watano wa ccm waliotangaza nia ni wazi kuwa nape atapenyeza na hatimaye kukutana na kijana mwenzie, mnyika kwenye mchuano wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ati mgombea mmoja wa urais waganga wake wamedhibitiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kiasi kwamba ameambiwa hawezi kumtimua huyo jamaa kwa sababu akimtimua tu mambo yake yataenda kombo. Kumbe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jk alipo ingia madarakani mwaka 2005 mimi ni mmoja wa watu walio kuwa na matumaini makubwa sana na awamu ya tatu. Labda ilikua ni utoto. Labda kama wengine nili bumbuwazwa na ujio wa "raisi"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wanaJF, Wabunge waliomaliza ngwe ya kwanza ya awamu hii ya nne wanaranda sana majimboni kumwaga vijisenti ambavyo yumkini wamelambishwa toka Bungeni baada ya kutumikia Bunge kwa miaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi kwa nini mtu mmoja agawiwe nyadhifa hizi mbili wakati kuna raia wema kibao wanaranda huku na huko kuyatafuta maisha bora kwa kila Mtanga na nyika (Mtanzania). Wana nini cha kipekee ambacho...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Alhamisi saa sita ya usiku tutamuuliza tena Pweza mrume.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dakika chache zilizopita Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amewapokea waliokuwa viongozi wa CCJ, Richard Kiyabo aliyekuwa Mwenyekiti, Dickson Ng’hily...
0 Reactions
126 Replies
11K Views
Naomba kuuliza haya mazoea aliyonayo Rais wetu ya kukumbatiana na watu hayahatarishi kweli usalama wake? Hasa enzi hizi za zama za ugaidi (suicide bombers na Biological weapons terrorism) au kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua wengi watajiuliza kwa nini nisiandike Simba Vs Yanga au CCM Vs Chadema. Nimeandika Simba na Yanga Vs CCM na Chadema kwa makusudi kabisa kujaribu kuoanisha mahusiano ya fani hizi mbili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
By LEVINA KATO, 15th July 2010 @ 00:51 THE Civic United Front (CUF) national Chairman, Prof Ibrahim Lipumba, has congratulated President Jakaya Kikwete for being nominated the CCM Presidential...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF Bunge ndilo hilo leo lime vunjwa na kuashiria kuanza kwa kampeni rasmi. Kwa muda wa miezi michache serikali itaongozwa na watendaji wake wa kuajiriwa kwa maana wengi wa viongozi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimehudhuria heshima za mwisho kwa Prof. Jwan Mwaikusa zilizo fanyika Nkruma Hall, UDSM
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana vipindi (miaka) ya chaguzi na kugundua kuwa fedha nyingi sana hapa Tanzania zinapotea kisa tu kufanikisha demokrasia. Naomba nieleweke, tatizo hapa sio demokrasia bali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama gani kitakwenda mahakamani kupinga uteuzi wa Dr Shein? Kufuatana na story ya kuu Mwanahalisi wiki hiiuteuzi wa Dr Ali Mohamed Shein kuwania kiti cha urais wa Visiwani ni batili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani,je UDSM ina ma Professor Emeritus?Ukiangalia treatment ya akina Prof Baregu na kuuwawa kinyama kwa Prof wa Law,juzi eti na majambazi ni jambo la kusikitisha sana.
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Mtikila alikomaa hadi akapata usajili wa kudumu. Subira na uvumilivu na ari ya kupambana ndizo zilipeleke D. P kusajiliwa. Hawa viongozi wa C . C. J waliojitoa, sidhani kama wana nia ya kudhati ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
A London-headquartered company, Ophir Energy, is on the verge of striking oil in southern Tanzania after signing a $50 million contract for the first ever deepwater drilling project in the...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
muda huu rais kikwete ameingia bungeni dodoma kuanza mazungumzo na wabunge wa ccm kabla ya kuvunja bunge leo jioni, taarifa ya kinachozungumzwa italetwa hapa keep tuned.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari hizi kuwa wakati mwenyekiti wa chama tawala akikaribia kumtangaza mgombea mwenza huko Dodoma 11 Julai 2010 aliongea masuala ya kitaifa na alikazia hotuba kwa kusisitiza kuwa yeye rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika tukio la kihistoria tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa 1945, UNGASS ( Baraza kuu la Umoja wa Mataifa) kwa kauli moja tarehe 2/7/2010, walipitisha na kuanzisha chombo kipya au Taasis ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…