Tanzania on verge of striking oil GOVERNMENT TO EARN JUST 12 % | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania on verge of striking oil GOVERNMENT TO EARN JUST 12 %

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdondoaji, Jul 15, 2010.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  A London-headquartered company, Ophir Energy, is on the verge of striking oil in southern Tanzania after signing a $50 million contract for the first ever deepwater drilling project in the country.

  The company will in August this year deploy a specially-built offshore rig to start drilling for oil in the country.

  Norway's Odfjell Drilling said its rig "Deepsea Stavanger" had been given a contract by the Africa-focused oil and gas explorer, Ophir Energy, to drill the first deepwater wells in offshore Tanzania.

  The contract is scheduled to commence within the next two months and the duration provides for drilling of two firm wells with provisions for a third in the first such campaign offshore Tanzania, privately-held drilling rig firm Odfjell Drilling said.

  "We estimate the contract at 100 days. The rate level is around $450.000 per day," Odjell Drilling's managing director Ketil Lenning told Reuters.

  "Deepsea Stavanger" will be delivered next month from South Korea's Daewoo Shipbuilding & Marine Engineering.

  Ophir Energy, which has operational offices in Mtwara, is hiring the rig on behalf of the blocks 1, 3 and 4 joint ventures where the company partners with BG Group.

  Deepsea Stavanger is a state-of-the-art sixth generation deepwater and harsh environment semi-submersible rig. The drilling platform is designed for operations in harsh environments and water depths of up to 3,000 metres.

  It is equipped with a full conventional mooring spread for operations in water depths from 70 to 500 metres.

  "The Deepsea Stavanger will be used for the first deepwater drilling campaign ever conducted in Tanzania," said Ofdjell in a statement.

  Blocks 1, 3 and 4 offshore Tanzania cover a 28,050 square kilometre area of the Mafia Deep Offshore Basin and northern portion of the Ruvuma Basin, located in water depths ranging from approximately 100m to greater than 3,000m.

  In October 2005, Ophir Energy was awarded a 100 percent interest in Block 1, offshore Tanzania. The Tanzanian government has back-in rights of just 12 percent in the event of a commercial discovery.

  The UK company acquired a 100 percent interest in Blocks 3 and 4 which commenced in June 2006. The Tanzanian government has a back-in right of just 15 percent in the event oil is discovered in these two blocks.

  Apart from the potential of striking oil, the company said its Tanzanian assets also have natural gas reserves.

  "The Group is optimistic that the petroleum system in the deepwater areas may be oil-prone but is also considering whether a gas-prone system may be commercially attractive as the structures mapped are substantial," said Ophir Energy on its website.

  "The potential size of the accumulations means that, in the event of gas being discovered, a viable LNG (liquefied natural gas) programme is likely to exist."

  In a related development, Australia’s Beach Energy Limited last week agreed to invest at least $46 million in Tanzania searching for oil and gas in the unexplored western Lake Tanganyika area.

  The company has already signed a Production Sharing Agreement (PSA) with the government.

  The Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja, told journalists in Dodoma that the contract with the Australian firm brings to 14 the number of oil and gas explorers operating in Tanzania.

  According to the Chairman of the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), Robert Mboma, the Lake Tanganyika concession was highly prospective for oil.

  The government is understood to be negotiating more PSAs with foreign companies in other areas such as the northern part of Lake Tanganyika and Malagarasi.

  The search for oil in Tanzania has gained momentum since it started way back in the early 1950s.

  There are already concerns that the potential influx of petrodollars could encourage corruption, harm the environment and result in the so-called "resource curse."

  Uganda is already set to attain oil producer status in the near future. The neighbouring country's oil assets are situated in the Lake Albert basin, in the west of the country with proven reserves of at least 700 million barrels of oil.

  Africa's new oil producers are under pressure to effectively manage production and ensure that oil production benefits the population. The problems experienced in Nigeria and elsewhere in the continent are a good example of oil production gone wrong.

  Source: This Day.

  Mtazamo: Niliwahi kusema nyuma kuwa Tanzania ina mafuta ijapokuwa viongozi wetu wanajaribu kudownplayed hili jambo. Sasa jamaa wameanza kubuild offshore drilling stations kusini. Pia kuna jamaa wanaenda Lake Tanganyika kuweka offshore drilling stations.

  Zanzibar kuna wazungu wako mbioni kufanya hivyo hivyo ijapokuwa zanzibar wamekuwa wanaweka ngumu TPDC. Anyway akija Shein labda ataweka mambo sawa.

  The big question is how does Tanzania benefit from this Oil money? Au few Tanzanians will benefit from it?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh isije ikawa ndo laana yaja kwetu kama tunavyoona huko Nigeria, Angola vita mtindo mmoja
   
 3. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu 12% bila ya kuwekeza hela yeyote sio ndogo hata kidogo especially kama hazina ya mafuta yaliyogundulika ni kubwa. Pia nadhani sekta ya utafiti wa mafuta na gesi ya Tanzania ina misingi mizuri iliyowekwa toka enzi za mwalimu (kupitia TPDC).

  Hii nitofauti na sekta ya madini ambapo kumekuwa na UFISADI mkubwa kutokana na kuingia kichwa kichwa bila ya kuhakikisha kuwa maslahi ya serikali/TZ yatalindwa na nani (mf. tungeitumia STAMICO kulinda maslahi yetu kwenye migodi yote mikubwa).

  Watafutaji wote wa mafuta wamekuwa wakilipa ada ya utafutaji kati ya 4 USD to 16 USD kwa kilometa ya mraba hiyo ni mbali na gharama nyinginezo kama kodi n.k.

  Tafadhali tazama lik hii ili upate ufafanuzi wa jinsi mgawanyiko wa mapato unavyokuwa pindi wese linapopatikana:

  http://www.tpdc-tz.com/new/fiscal1.htm
   
 4. T

  Tom JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2010
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa CCM ilivyotuweka sawa TZ hata ingepata asilimia mia moja ya mapato yote ya mafuta bado hatungefaidika - tungekua sawa na Nigeria tu. Cha kufanya kwanza ili hata hiyo asilimia kumi na mbili iwe na faida kwetu ni kubadili mfumo wetu kwanza ambapo kubana matumizi iwe ni kama ndio kazi.

  Wakuu wa Wilaya, Wabunge nk bado wanatumia magari YA GHARAMA NA YA STAREHE bila sababu yeyote, viongozi wanatibiwa nje kwa gharama za walipa kodi bila sababu za msingi, nk, nk, nk, Kimsingi hatuwezi kupata maendeleo kwa sababu serikali yetu ipo holiday beach fulani hivi. Huko ni maraha tu na totos, mchemsho na biers. Maendeleo yatajengwa na kusimamiwa na serikali safi inayojali watu tu - CCM si safi.

  Pia huwezi endeleza TZ nzima kwa mpigo, hivyo serikali za majimbo ziwe na nguvu na zichangie tu hazina kuu. Lakini CCM wanapojiwekea fuko lole la pesa hazina kuu ndio maana hata hawajui kua nchi hii ni maskini sana. Wanachota watakavyo na kuponda maraha. Fikiria pesa ya mafuta yote wawe na uwezo wa kuisimamia - "CHENGE NA VISENTI" itakua ndio sera ya CCM.
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe saw binafsi 12% ni ideal kwetu ukichukulia hatutoi hata senti tano kujenga hizo drilling station. But kuwepo na mpango unawezesha tanzania ikamiliki hizo drilling station baada ya miaka fulani ingelikuwa wazo zuri sana. Vilevile, kama hizi offshore drilling zinafanyika ingelikuwa vema mapato hayo yakatumika regional wise ili kukuza infrastracture sectors na kutoa kazi kwa watu wetu. Pato likienda tu hazina halafu likaliwa na walafi itasababisha regional conflict ambayo itatupelekea kuwa kama Nigeria. Tukiwezesha watu Mtwara, Lindi ukawa ni petro city with plenty of job opportunity tutanufaika sio kwa 12% ya mafuta but rather job creations, na tax income from expatriates na local. Tukiweza kuweka mazingira kama hayo nadhani 12% itakuwa ni pato la mafuta but pia tunaweza kutengeneza kazi na kuongeza pato la nchi. Pia tutapunguza watu kujazana Dar, instead watu waende mikoa ya kusini. Hivyo mie naona tunaweza kufaidika Tanzania nzima na sio pesa kwenda Hazina halafu ikaliwa na mafisadi.
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Well I am sorry to say this but inaweza pia kuwa laana kwetu kama hatutaweka mazingira ambayo hayo mafuta yakafaidisha wananchi wote.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Guys?? 12 % ?? Really??

  Can someone explain this to us?
   
 8. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hakuna kitu kama hiki. Aidha wameona dalili za mafuta au hawajaona. Hakuna kitu kama KARIBU watagundua mafuta! Tutadanganywa mpaka lini?

  Amandla........
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwanini unasema hivyo una data zozote kujustify your argument?
   
 10. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Give it time....New Billionaires will be heard soon.....
   
 11. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Sasa kwanini wapoteze hela zao?
   
 12. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,822
  Likes Received: 20,801
  Trophy Points: 280
  watz waoga sana ya nigeria/angola hayawezi kutokea milele,otherwise kwa uozo unaofanyika yangeshatokea...........
   
 13. JS

  JS JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Another massive project which will cater the needs of the very very few in our dear country.....................
   
 14. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mijitu inajiandikia tu mihabari! Nani kasema nchi itapata 12%. Umeona PSA liyoingia na TPDC? Ifike waandishi wa-specialise katika uandishi wa habari zao.....andika katika maeneo uliyobobea. Kwa ufupi sekta ya mafuta na gesi watz wengi hawaijui kabisa.

  PSA waingiazo TPDC na hayo makampuni ni nzuri sana na zinalinda maslahi ya nchi, si kama uchafu wa Mkapa kwenye madini ya dhahabu.
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Indeed, unajua watu wengi wanaona kama maskhara kwanini viongozi wetu wanajaribu kutwambia hamna mafuta but ukweli unashangaza wakati wanaendelea kutwambia hamna mafuta nyuma ya mapazia mikataba ya pesa nyingi inatengenezwa sasa hili si jambo la kubezwa. Kama munamfahamu rais wa Equatorial Guinea President Teodoro Obiang Nguema jamaa ni filthy rich ana majumba ya kifahari Marekani lakini wananchi wake maskini wa kutupa.

  someni habari zake follow the link below:

  Equatorial Guinea leader's son buys $35m US mansion | World news | The Guardian
   
 16. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Just exploration projects, no discovery yet. fungeni mabakuli kwanza mpaka kipatikane kitu. Kweli mtu ukizoea kuibiwa, utakuwa unahofu kuibiwa tu hata kama cha kuibiwa huna!
   
 17. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Okay wewe unayejua tujuze badala kulalamika uandishi mbovu. Inawezekana ikawa ni more than 12% iliyotangazwa na mwandishi wa This Day au ikawa pungufu. Toa data kujistify arguments zako mzee
   
 18. J

  JokaKuu Platinum Member

  #18
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,755
  Likes Received: 4,976
  Trophy Points: 280
  ..tatizo ni kwamba tumeuza kila sehemu yenye dalili za mafuta kwa kutumia mgawo wa 12%.

  ..kuna maeneo yalipaswa kubakishwa wakati tunajenga uwezo wa kitaalamu na kiuchumi kuweza kutafiti wenyewe, au kuingia mikataba mizuri zaidi.
   
 19. JS

  JS JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwenye bold hapo juu umemaanisha nini?????

  Its only natural kuhisi kuibiwa all the time ukiishi kwenye mazingira ambayo ni uwizi tu unendelea kila kona.
   
 20. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu inaelekea TzPride ndio walewale viongozi wa nchi yetu wanaosema hakuna mafuta ili kusudi wayale kwanza vizuri wakishashiba watuachie makombo sie wadanganyika tukalambe mabakuli yao. Kama tunaweza kuweka mazingira mazuri ya kugawana mafuta kabla ya kupatikana kuna ubaya gani? Mbona wewe ukitaka kununua gari au nyumba unafanya kwanza utafiti kwanini katika rasilimali tusubiri mpaka ipatikane ndio tujue tunagawana vp?
   
Loading...