Usalama wa rais wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama wa rais wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jack Beur, Jul 14, 2010.

 1. J

  Jack Beur JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Naomba kuuliza haya mazoea aliyonayo Rais wetu ya kukumbatiana na watu hayahatarishi kweli usalama wake? Hasa enzi hizi za zama za ugaidi (suicide bombers na Biological weapons terrorism) au kwa vile nchi yetu ni kisiwa cha amani?

  Imekuwa ni mazoea kuona mara kakumbatiana na wasanii, marafiki zake wa zamani, wanaorudi CCM kutoka upinzani na watu wengine wengi.

  Yes tunajua ana kikosi chake cha kumlinda lakini sidhani kama muda wote wanakua stand by maake wakumbatiaji wengine huwa wanatokea kwenye mikutano yenye watu wengi ambapo sidhani kama huwa kuna security check up in advance.
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Alitakalo mwenyezi Mungu binadamu hawezi kulipinga!!
   
 3. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  Sasa ulitaka akumbatiane vijiti? Ndio maana ana ulinzi.... wana utaalamu wa khakikisha mambo kama hayo hayatokei... japo sio kwa asilimia 100%.
   
 4. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Naona mazoea mazuri tu kwa sababu tutakuwa tunapunguza gharama kwa walipa kodi na mafisadi kupungua au wewe unaonaje?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mwache akumbatie mpaka michungwa na minazi na mipapai ...amdhuru nani...kwa lipi hasa...hata akitembea kwa miguu toka ikulu mpaka mwananyamala hakuna wa kumdhuru
   
 6. O

  Ogah JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Na pia aache kugawa pipi kwa watoto.......inatishia usalama wa Rais...........lol
   
 7. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Who cares?
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni namna mojawapo ya kampeni za danganya toto!
   
 9. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni rahisi kusema unachosema lakini si kweli unayoyasema. Pole kama unamwelewa hivyo, lakini wengine wetu hatutakubaliana na unachosema. Kama unapenda aonekane hivyo, hapo umepatia
   
 10. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,887
  Trophy Points: 280
  Hapo furaha yako iko juu kama vile umenyakua kombe la dunia, doh!
  :sick:
   
Loading...